Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Wewe wakuwekwa kwenye sandarusi hivi unafundishaga nini watoto wako hapo nyumbani???
 
Umenena vyema mkuu. Ok; Sasa walioko huko Serikalini hawasikilizwi, wakitoa ushauri wa Kitaalam , ushauri hauzingatiwi unatupiliwa mbali (ref CAG report) na wanasiasa walijiingiza humo wengine huwa na genda zao za siri za kuangushana. Kwa mantiki hiyo, ni bora kuwakwepa mazima. Inafikirisha sana kwamba maprofesa/PHd na wasomi nguli wengine wapo lakini ni kama wametulia vile na kuangalia game linakwendaje na mti utaangukia wapi.
Ndio kilichopo werevu wako kimya walishajichokea miaka mingi tu toka enzi za IPTL ya Mkapa.

Na akiletwa mtu wa kupambana nao wanaonufaika na huu utaratibu wa hovyo salaleh atatukanwa huyo. Huyu sijui hajui ataitia serikali matatizo, huyu anaharibu biashara, huyu anavunja morale ya watumishi etc with nonsense.

Shuda zaidi anajikuta ugomvi wake umekuwa mkubwa zaidi kwa sababu kuna wadandiaji ambao ni gullible public wana support tu jamaa ni mmbaya kwa kuambiwa na wengine tu; halafu huna backup ya boss kwenye hiyo vita. Sasa bi bora ukae kimya uwe sehemu ya mgao na wewe tu uendeshe maisha yako.
 
Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Usimamizi wa serekali , lazima uwe na usimamizi duni, ikiendeshwa kama kampuni binafsi hakuwezi kuwepo uzembe! wa kitanzania.
ANGALIZO :-
APEWE MWENYE UWEZO MKUBWA ASIYE NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI, NADHANI KWENYE NENO "UWEZO" NIMEELEWEKA.
 
Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Serikali haiwezi kufanya biashara. Popote duniania nchi ambzo Serikali inashikilia biashara ufanisi ni mdogo.
Serikali ibaki kukusanya kodi na kutoa miongozo ya Kisera na Kisheria.
 
Ndio kilichopo werevu wako kimya walishajichokea miaka mingi tu toka enzi za IPTL ya Mkapa.

Na akiletwa mtu wa kupambana nao wanaonufaika na huu utaratibu wa hovyo salaleh atatukanwa huyo. Huyu sijui hajui ataitia serikali matatizo, huyu anaharibu biashara, huyu anavunja morale ya watumishi etc with nonsense.

Shuda zaidi anajikuta ugomvi wake umekuwa mkubwa zaidi kwa sababu kuna wadandiaji ambao ni gullible public wana support tu jamaa ni mmbaya kwa kuambiwa na wengine tu; halafu huna backup ya boss kwenye hiyo vita. Sasa bi bora ukae kimya uwe sehemu ya mgao na wewe tu uendeshe maisha yako.
Enhee; ule kwa urefu wa kamba yako sivyo?
 
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Sasa si wabinafsishe na TANESCO?
 
Wenye akili wapi ila wamekaa kimya, ukiwa kwenye kundi la wajinga usipende kuonesha werevu sababu wajinga wengi wamejawa chuki na roho mbaya hawatasita kukuumiza ili maslahi yao yaendelee kuwepo hata kama inaikosti nchi.
Au wanasemaga eti "Ukila na Kipofu usimguse mkono"
Lakini itafikia mahali hata hao wajinga watabaini ukweli wa mambo na ku-react vinginevyo
 
nchi imeshindwa kuendesha mradi mdogo kama huo,kweli ni aibu,
ni sawa na baba kushindwa kuongoza familia na kuomba kwa baba wa jirani amuongozee familia yake
 
Back
Top Bottom