macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
CCM inazidi kudidimiza nchi ka sababu ya ''ubongo kisoda'' kama wewe. Ameuliza: hii serikali inaweza kufanya nini? Wewe unamletea habari za Marekani. Pumbavu kabisa. Haya Marekani wamesharusha rocket mpaka mwezini! Mbona sisi hatujarusha?Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu