Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

Kwa kukosa maono, fikra zenye ukungu, na mawazo Mando, hututachelewa kusikia serikali hii ya CCM Ikitoa zabuni ili kutafuta muekezaji binafsi wa Kiarabu ili kuweza kuiendesha Ikulu kwa ufanisi.
 
Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
Hilo moja, swali la pili ni kuwa hivi nyumbu mnaweza kufanya kitu gani zaidi ya kumuabudu mbowe na kumuongezea uenyekiti tu kila muda wake unapoisha?!!
 
Mwarabu apewe ru hiyo tenda, makampuni ya Tanzania hawawezi watatusumbua tu. Inahitajika umakini wa hali ya juu na uwekezaji wa mabasi mengi
 
Wawekezaji wanatulipa kwa dola kulipa hiyo mikopo tuliyokopa kwa dola

Daladala ukiwapa kuendesha wana uwezo wa kuilipa serikali kwa dola ili hiyo mikopo ya dola ilipike ?
Na watumiaji watalipa nauli kwa dola ili hao wawekezaji waweze kuzipata za kuilipa serikali siyo? Chawa wa hovyo wewe!
 
Hilo moja, swali la pili ni kuwa hivi nyumbu mnaweza kufanya kitu gani zaidi ya kumuabudu mbowe na kumuongezea uenyekiti tu kila muda wake unapoisha?!!
Ulitaka wakuabudu wewe kwa lipi? Ona sasa nawe umemwabudu Mbowe hapo. Tofauti yako na wao ni ipi?
 
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
umejifikilia kweli?
 
"Waomba"????????
 
Attachments

  • IMG-20240327-WA0007.jpg
    135.6 KB · Views: 2
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote Marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba Serikali haiwezi kuendesha hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Nafikiri wewe ndio wakukaa kimya, huwezi kuilinganisha Tanzania na US kwa kitu chochote kile, kiwe kibaya au kizuri.
 
Wawekezaji wanatulipa kwa dola kulipa hiyo mikopo tuliyokopa kwa dola

Daladala ukiwapa kuendesha wana uwezo wa kuilipa serikali kwa dola ili hiyo mikopo ya dola ilipike ?
Wewe unazalisha nini kinachouzwa nje? Ili upate hizo foreign currency 💲 .. hizo pesa za kununua magari zinapitia bank kuu? Uwezo mdogo wa kufikiri kwa hiyo inawapa foreigner kwa sababu ya dollar ..? Njoo na sababu nyingine ila sio sababu ya dollar ..
 
Hivi hii Serikali yetu inaweza kufanya kitu gani hasa?
... rafiki yangu Erythrocyte, hebu wakati mwingine tuweke siasa pembeni tuangalie na 'nature' ya hao wanaokabidhiwa majukumu ya kuendesha biashara za serikali KAMA WAAJIRIWA!
Wabongo wamefilisi Viwanda na Mashirika ya Umma kibao, vikiwemo vyama vya ushirika, ... na adui mkubwa tunamfahamu wote kuwa ni udokozi wa mali ya umma! ... kipuli cha laki moja si Ajabu watu hawa wakaandika wametumia million mbili na bado wakuletee kipuri fake kifanye kazi siku mbili kinunuliwe kingine!
... UBINAFSISHAJI, hata kama hauleti faida, unaleta uhakika wa huduma na kuzuia Hasara kubwakubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…