Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dosantos na Kikwete ndio walikuwa na uwezo wa kudhiti ujeuri na ajenda za siri za uogozi na jeshi la Rwanda kuhusu Jimbo la Kivu lote - Haya ya M23 ni maigizo tu i.e wanatumiwa kama chambo cha kujenga hoja kutaka Kivu ijitenge na kujiunga na Rwanda yanayo endelea Ukraine ndio yatakuja kujitokeza huko Congo kati ya jeshi ła Congo DRC na wanao
jitambulisha kama M23 a.k.a RPF - ushauri wangu: Viongozi wa SADC, Afrika kusini na Angola waionye Rwanda kwamba ikijaribu kuivamia na kukalia jimbo la Kivu kwa kisigizio chochote kile, basi majeshi yote ya nchi tajwa yataungana na kusäidia Congo DRC dhidi ya uvamizi wa kutaka kuimega Jimbo la Kivu.
Kuigawa Kivu ni ngumu sana kumbuka kuwa kivu ndo sehemu yenye madini mengi so kuiacha hivihivi Ni ngumu na wakongo wanavyoichukia Rwanda waikate hivihivi Ni ngumu Sana.
 
Mimi siko Bunagana ila KUTOKA kwa taarifa nilizozisikia Mimi raia wa bunagana wanasema wamewaona Askari wamevalia nguo za jeshi la rwanda wakiwasaidia waasi .
Mr Putin
Huu ni muendelezo ule ule wa RCD-Goma mpaka CNDP na Sasa M23.....hakuna uasi hapo hii ni operation ya nchi jirani.

Baada ya Bosco Ntaganda (Terminator) kupelekwa ICC na kina Nkunda na Makenga kutoweka nani kapewa huu mradi wa Sasa ?
mtu chake zitto junior Count Capone
 
Labda m23 walikuwa wengi mno sijajua Bado wapo wangani m23.
Ila nimeona video aliyotuma Mr Putin yani Askari wa Congo wanavaa ndala na yeboyebo katika mapambano, hawako serious kabisa.
Kukimbia labda walizidiwa nguvu nafikili.
Jeshi la Drc limeundwa na waliokuwa wapiganaji kutoka makundi ya zamani ya uasi, baadhi yao yalikuwa na mafungamano na nchi jirani zilizoshutumiwa kufadhili uasi.

japo kuna askari wa Drc waliopatiwa mafunzo mpaka na nchi za ulaya (Ubelgiji) ila bado wana makandokando mengi mno kuanzia nidhamu mbovu, uchache wa vifaa ( vifaa duni) mpaka maslahi kwa askari.....tatizo la kiuongozi linawagharimu pakubwa.

mtu chake Count Capone zitto junior
 
Huu ni muendelezo ule ule wa RCD-Goma mpaka CNDP na Sasa M23.....hakuna uasi hapo hii ni operation ya nchi jirani.

Baada ya Bosco Ntaganda (Terminator) kupelekwa ICC na kina Nkunda na Makenga kutoweka nani kapewa huu mradi wa Sasa ?
mtu chake zitto junior Count Capone
Show anasimamia sultan makenge.
Na alikuwa member wa RPA so jamaa anauzoefu was mapigano.
 
Jeshi la Drc limeundwa na waliokuwa wapiganaji kutoka makundi ya zamani ya uasi, baadhi yao yalikuwa na mafungamano na nchi jirani zilizoshutumiwa kufadhili uasi.

japo kuna askari wa Drc waliopatiwa mafunzo mpaka na nchi za ulaya (Ubelgiji) ila bado wana makandokando mengi mno kuanzia nidhamu mbovu, uchache wa vifaa ( vifaa duni) mpaka maslahi kwa askari.....tatizo la kiuongozi linawagharimu pakubwa.

mtu chake Count Capone zitto junior
Yes baada ya second Congo war kuisha, Askari wa makundi ya uasi waliyokuwa chini ya rwanda ndo waliwaingiza ktk jeshi la Congo, kumbuka hayo making I chini ya rwanda ndo walikuwa wanafanya mauaji na UBAKAJI mkubwa.
 
Back
Top Bottom