Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,704
Congo war ndoa aliosababisha ndo hao haoCha kusikitisha
UN wako kimya,
EU wako kimya,
NATO wako kimya[emoji848]
Ukraine wako kimya[emoji848]
USA wako kimya[emoji848]
UK wako kimya[emoji848]
Usiwacheke labda walizidiwa nguvu .M23 ni Wa congo sio Wanyarwanda,wanacho pigania tofauti na makundi mengine.
imagine wanajeshi 600 kukimbilia Uganda. wa congoman baana!.
Mimi siko Bunagana ila KUTOKA kwa taarifa nilizozisikia Mimi raia wa bunagana wanasema wamewaona Askari wamevalia nguo za jeshi la rwanda wakiwasaidia waasi .M23 wanapata wapi uwezo mkubwa wa kudhibiti mji huo ?...hili ni jeshi la Rwanda limeamua kuingilia kati kuwasaidia vibaraka wao walioonekana kulemewa.
mtu chake zitto junior Count Capone Moronight walker
Jeshi gani zaidi ya askari 600 wanakimbilia nchi jiraniMimi siko Bunagana ila KUTOKA kwa taarifa nilizozisikia Mimi raia wa bunagana wanasema wamewaona Askari wamevalia nguo za jeshi la rwanda wakiwasaidia waasi .
Mr Putin
Kuigawa Kivu ni ngumu sana kumbuka kuwa kivu ndo sehemu yenye madini mengi so kuiacha hivihivi Ni ngumu na wakongo wanavyoichukia Rwanda waikate hivihivi Ni ngumu Sana.Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dosantos na Kikwete ndio walikuwa na uwezo wa kudhiti ujeuri na ajenda za siri za uogozi na jeshi la Rwanda kuhusu Jimbo la Kivu lote - Haya ya M23 ni maigizo tu i.e wanatumiwa kama chambo cha kujenga hoja kutaka Kivu ijitenge na kujiunga na Rwanda yanayo endelea Ukraine ndio yatakuja kujitokeza huko Congo kati ya jeshi Εa Congo DRC na wanao
jitambulisha kama M23 a.k.a RPF - ushauri wangu: Viongozi wa SADC, Afrika kusini na Angola waionye Rwanda kwamba ikijaribu kuivamia na kukalia jimbo la Kivu kwa kisigizio chochote kile, basi majeshi yote ya nchi tajwa yataungana na kusΓ€idia Congo DRC dhidi ya uvamizi wa kutaka kuimega Jimbo la Kivu.
Unahangaika sana ila Dunia nzima inajua M23 wanapewa nguvu na Kigali na ipo siku kila kitu kitakuwa wazi.M23 ni Wa congo sio Wanyarwanda,wanacho pigania tofauti na makundi mengine.
imagine wanajeshi 600 kukimbilia Uganda. wa congoman baana!.
Labda m23 walikuwa wengi mno sijajua Bado wapo wangani m23.Jeshi gani zaidi ya askari 600 wanakimbilia nchi jirani
Huu ni muendelezo ule ule wa RCD-Goma mpaka CNDP na Sasa M23.....hakuna uasi hapo hii ni operation ya nchi jirani.Mimi siko Bunagana ila KUTOKA kwa taarifa nilizozisikia Mimi raia wa bunagana wanasema wamewaona Askari wamevalia nguo za jeshi la rwanda wakiwasaidia waasi .
Mr Putin
Jeshi la Drc limeundwa na waliokuwa wapiganaji kutoka makundi ya zamani ya uasi, baadhi yao yalikuwa na mafungamano na nchi jirani zilizoshutumiwa kufadhili uasi.Labda m23 walikuwa wengi mno sijajua Bado wapo wangani m23.
Ila nimeona video aliyotuma Mr Putin yani Askari wa Congo wanavaa ndala na yeboyebo katika mapambano, hawako serious kabisa.
Kukimbia labda walizidiwa nguvu nafikili.
Ni kweli, sidhani hata kama raia wa huko wapo tayari kuwa sehemu ya Rwanda.Kuigawa Kivu ni ngumu sana kumbuka kuwa kivu ndo sehemu yenye madini mengi so kuiacha hivihivi Ni ngumu na wakongo wanavyoichukia Rwanda waikate hivihivi Ni ngumu Sana.
Show anasimamia sultan makenge.Huu ni muendelezo ule ule wa RCD-Goma mpaka CNDP na Sasa M23.....hakuna uasi hapo hii ni operation ya nchi jirani.
Baada ya Bosco Ntaganda (Terminator) kupelekwa ICC na kina Nkunda na Makenga kutoweka nani kapewa huu mradi wa Sasa ?
mtu chake zitto junior Count Capone
Yes baada ya second Congo war kuisha, Askari wa makundi ya uasi waliyokuwa chini ya rwanda ndo waliwaingiza ktk jeshi la Congo, kumbuka hayo making I chini ya rwanda ndo walikuwa wanafanya mauaji na UBAKAJI mkubwa.Jeshi la Drc limeundwa na waliokuwa wapiganaji kutoka makundi ya zamani ya uasi, baadhi yao yalikuwa na mafungamano na nchi jirani zilizoshutumiwa kufadhili uasi.
japo kuna askari wa Drc waliopatiwa mafunzo mpaka na nchi za ulaya (Ubelgiji) ila bado wana makandokando mengi mno kuanzia nidhamu mbovu, uchache wa vifaa ( vifaa duni) mpaka maslahi kwa askari.....tatizo la kiuongozi linawagharimu pakubwa.
mtu chake Count Capone zitto junior
AU Wako kimyaaaCha kusikitisha
UN wako kimya,
EU wako kimya,
NATO wako kimya[emoji848]
Ukraine wako kimya[emoji848]
USA wako kimya[emoji848]
UK wako kimya[emoji848]
Kuna wakazi wanasema wameogota vitambulisho vya wanajeshi wa Rwanda baada ya uvamizi wa M23.Mimi siko Bunagana ila KUTOKA kwa taarifa nilizozisikia Mimi raia wa bunagana wanasema wamewaona Askari wamevalia nguo za jeshi la rwanda wakiwasaidia waasi .
Mr Putin
Sultan Makenge?Show anasimamia sultan makenge.
Na alikuwa member wa RPA so jamaa anauzoefu was mapigano.