unataka wamkemeee nan ? hiyo ni vita baina ya raia na serikali sio uvamiz , ELEWA ASEE MNTUFANYA WATZ WOTE TUONEKANE VILAZA kwenye civil wars raia ana haki ya kuikabili serikali kama ikikataa kutimiza natakwa yao , ila hao waasi wana asili ya kitutsi basi tunalazimisha ionekane vita baina ya rwanda na drc ila hatuna ushaidi ( kituko cha waswahili kuhukumu bila ushaidi )Cha kusikitisha
UN wako kimya,
EU wako kimya,
NATO wako kimya[emoji848]
Ukraine wako kimya[emoji848]
USA wako kimya[emoji848]
UK wako kimya[emoji848]
Haujui kitu wewe! M23 ni wa congo.
Haujui kitu wewe! M23 ni wa congo.
Wapigane afu waje KigomaSi wapiganeee tyuuh wajue mbabe nani, mbna Russia na Ukraine wanabondana, tumeshachoka na drama zao sie hapa, khaaaah.
Wizi tu Rwanda inajengwa kwa pesa chafuKwani hao rwanda nini hasa wanachokihitaji
Mzee acha kujifanya hauoni au na wewe ni wale wale?unataka wamkemeee nan ? hiyo ni vita baina ya raia na serikali sio uvamiz , ELEWA ASEE MNTUFANYA WATZ WOTE TUONEKANE VILAZA kwenye civil wars raia ana haki ya kuikabili serikali kama ikikataa kutimiza natakwa yao , ila hao waasi wana asili ya kitutsi basi tunalazimisha ionekane vita baina ya rwanda na drc ila hatuna ushaidi ( kituko cha waswahili kuhukumu bila ushaidi )
M23 we ulisikia wapi kwamba ulikufa Ila walikimbilia rwanda na Uganda, m23 haikufa walivyoona wameshidwa mapigana na kuzidiwa nguvu wakakimbilia nchi jirani kwa wazamini wao.😄😄😄 kwani M23 si ilipigwa ikafa Ile 2013.
Paukwa pakawa.M23 we ulisikia wapi kwamba ulikufa Ila walikimbilia rwanda na Uganda, m23 haikufa walivyoona wameshidwa mapigana na kuzidiwa nguvu wakakimbilia nchi jirani kwa wazamini wao.
tofautisha civil war na invasio , ttzo la waswahili ni mahabaMzee acha kujifanya hauoni au na wewe ni wale wale?
Nafikili hajui kilichotokea Congo mwaka 1996 October na 1998 Rwanda walifanya nn Congo.Mzee acha kujifanya hauoni au na wewe ni wale wale?
Samahani Kama huto jaliM23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
Mkuu sultani makenga alikuwa member wa RPA.tofautisha civil war na invasio , ttzo la waswahili ni mahaba
Nazan ni muda sasa DRC wawe na security pact(security guarantee)na nchi kama Tanzania au Kenya..wanapokua wamevamiwa kwenye ardhi yao basi jeshi la nchi walizoingia nazo mkataba ziingie vitani zikisaidiana na FARDC kuwakimbiza hao wavamizi..wasiingie mkataba na nchi kama Uganda wala Rwanda..maana wote hawa ni kitu kimoja. Maana hao waasi sio wakusumbua miaka yote hio..Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani
Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una wakazi milioni mbili ambao kama kitovu cha mashirika ya kimataifa ya misaada na ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa
........................................................................
The Democratic Republic of the Congo’s military has accused Rwanda of “no less than an invasion” after M23 rebels captured a key border town, marking a dramatic escalation in tensions between the two Central African neighbours.
Kinshasa’s military vowed on Monday that its forces would defend their homeland, hours after the Congolese town of Bunagana fell into the hands of the M23.
Bunagana is located 60km (37 miles) northeast of Goma, a city of nearly two million that also serves as a hub for international aid organisations and the United Nations peacekeeping mission, which is known by its French acronym MONUSCO.
“The Rwandan defence forces have this time decided to violate … our territorial integrity by occupying the border town of Bunagana,” General Sylvain Ekenge, spokesman for the military governor of North Kivu province, said in a statement.
Taking the key border town constituted “no less than invasion of the Democratic Republic of Congo”, he added.
There was no immediate reaction from the government of Rwanda, but Kigali has strongly denied accusations over the years that it supports the M23 rebels fighting in DRC.
SOURCE: AL JAZEERA
Vyovyote itakavyokua, wabondane wee wakichoka wataacha.Wapigane afu waje Kigoma
Mbna lizuri kwa matumizi ya binadamu lol.
Umenikumbusha history of central AfricaM23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
Unawaza kugawa tako tuMbna lizuri kwa matumizi ya binadamu lol.