Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Mkuu kwanini Congo inasubiri kufanywa tajiri na France?DRC hua haitaki kua responsible na matatizo yake always hua inatafuta wakumbebesha Lawama.Kwa mfano mdogo tu,Jeshi la DRC wanajeshi wake hawana Nidhamu kabisa,Uzalendo kwa nchi yao Ni zero,Jeshi Hadi wanajeshi wake wanavaa kandambili wkt huo huo nchi inatumia mamilioni ya $$ kwny maandalizi ya kumkaribisha mfalme wa Belgium hapo Congo.Hapo France na Mabebebu wanahusikaje?

Viongozi wa Congo wabebe mzigo wao,waache kutafuta shortcut ya matatizo Yao.
 

Ni wapumbavu hawajielewi au wana maslahi yao na mabeberu
Hata Mobutu alikuwa kibaraka wao na utajiri mkubwa na kutawala kote wao ndio walikuwa nyuma

Yaani Haya majitu sijui yana matatizo gani
Hawawezi kubeba mzigo wao bali wanajua kinachoendelea

Wazungu wanafaidika na weusi wachache ambao wanaenda na kuishi Paris kama nyumbani mbali na nyumbani
 
Kwa hiyo wanaweza kututoa jasho ama
Huyu PaKa wazungu wanampenda kwa maslahi tu na siku akiwakatia mrija wa almasi na gold ndio siku wanamuuwa

Priti Patel kala nae dili ila naona limebuma kwenye European court
waswahili tuna tabia ya kudharau ila ndan ya Dona country tuombe isitokee vita , tunaeza kuwa DRC ya pili jamii zetu zina migawanyiko mikubwa sana na kwasabab za kimaslai huenda wachache wakatumia hiyo fursa kuiangusha serikali hata kwa kuwa puppets wa PK , PK nI mjanja na anajua weak lines zote za ukanda huu , so Naunga Mkono EA tuungane PK aangushwe tu
 
hata tz mgogoro wa Ngorongoro , primary cause ni Wamasai kuhamishwa kimabav ila serikali isipotumia hekima bas , Kenya anaeza jihusisha kwa kupitia mlango wa Nyuma kuwatumia wamasai hawa hawa watz kui destabilize Tz ili kuiba maliasili so usipo deal na primary cause kuilaumu Kenya itakuwa ni ku exagerate mgogoro na kuifanya Kenya ijihusishe kabisa , thats my point makosa waliyafanya serikali ya Kabila walikuwa wamevunja moja ya makubaliano na hao watutsi walipodai haki zao Serikali ikaanzisha hoja kuwa hao ni watutsi wa Rwanda wanatumiwa na Rwanda in other way hawakujua kuwa it was a wrong timing kuongeza majina ya maadui hata kama mtu hakuwa adui then lazm aanze kujiweka kuwa adui , watutsi wa Rwanda , Ug na Burundi wote wanashiriki hiyo vita sabab ya upopoma wa Serikali ya Kabila so kuondoa huo mgogor ni kukaa meza moja tu sababu asili ya mgogor ni Watutsi wa DRC walikuwa wananyimwa haki zao za kiraia na kuchukuliwa kama wakimbiz kweny nchi yao kisa wana asili ya Kitutsi
 

Umetoa hoja kubwa sana Mkuu
Ni ukweli huo kuwa kuna wengi wataiuza nchi
Wengi huwa wanajifanya wazalendo ila wanafiki wa kutupa kwani mifano tunaiona hata kwenye kuendesha nchi tu

Haiwezekani watu hawataki maendeleo ya nchi badala yake wanaiba tu

Hao wakiahidiwa chochote wanauza nchi

PaKa amalizwe tu
 
Kagame huyu huyu aliyepitia chuo chetu pale MALINDI?? Mna muoverrate sana huyo kichaaa.

Pamoja na ujinga wake wote ila KAGAME hatoboi kwa TZ.

TZ tumeweka madarakani maraisi Watatu hapa Afrika mashariki.

1. PAUL KAGAME
2. MUSEVEN
3. NDAYISHIMIYE

Pia tulimuwekea JOSEPH KABILA na NKURUNZIZA.

Najua nachosema.
 
Kagame alisoma Basic Intelligence Course hapa bongo,na Ni course inayochukua mwaka mmoja tu.
 
MKUU TUONYESHE HIVYO VIFAA VYA KENYA VINAVYOTISHIA NA KUOGIPESA HAPA EAST AFRICA .
Maana unaonekana Ni msomaji wa mitandaoni tuu hebu TUONYESHE.
 
Aaaaa Kaka Hakuna nchi amabzo Aina artillery, APC, tanks, japo inawezekana kuwa na uwezo tofauti kutokana na mahitaji yenu na bageti yenu.
Ishu ya helicopter wewe helicopter gani ya Kenya iliyokutisha hapa.
 
MRAP za Kenya gani wewe zinakutisha Kaka zipi hizo au hivi zilizoenda huko Somalia
 
πŸ˜„πŸ˜„ Nikiona helcopter Kama hizo nacheka Sana kwa kweli,kwa niliyoyaona Ukraine hakika waafrika nguvu zetu tungewekeza kwny kilimo tu.
Ndugu Vita sio vifaa vya kisasa Sasa sijajua huyu jamaa T14 Armata anaogopa Nini kulalamika kuhusu Tanzania na vifaa vya kijeshi tulivyonavyo mkuu. Vifaa vya kijeshi vya kisasa vinamsaada ila sio Sana.
Yaliyotokea Ukraine sio POA Kaka urusi na vifaa vyao vya kisasa vyote ila Moto wameona kule urusi wamepoteza battle tanks nyingi Sana , helicopter nyingi, Hizo PCV na ndege nyingi tuu,
Japo wanaendelea na kuadvance ila Hali sio POA.
 
Banyamulenge huko DRC wanaangusha mpaka helicopter za MUNISCO mwezi uliopita waliangusha ikawamaliza walinda amani Kama 8 , kazi ya M23 na m23 Sina uhakika Kama wanazo surface to air missile, Sina uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…