Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Sasa hizo rasimali Kama zinaweza kuifaidisha Rwanda zinashindwaje kuifanya Congo ikawa tajiri?

IMG_7045.jpg
 
Mkuu Ndio maana unaona machafuko hayaishi
Wanachonganishwa na France yuko nyuma mali zinaenda Paris Mkuu

Siku wakijielewa wataungana na kuzuia mali zao ili ziwafaidishe na wao
Dunia hii
Magogo yanamalizwa kwenda Ulaya na sasa China
Angalia YouTube wanavyosomba mali

Hawa France hawajui mwisho wao wamejimilikisha tangu 1800 nchi nyingi na mpaka leo wanavuna taratibu

Hawawezi kuifanya Congo tajiri kwa sababu ya ujinga wao na kukubali kuchonganishwa
Mkuu kwanini Congo inasubiri kufanywa tajiri na France?DRC hua haitaki kua responsible na matatizo yake always hua inatafuta wakumbebesha Lawama.Kwa mfano mdogo tu,Jeshi la DRC wanajeshi wake hawana Nidhamu kabisa,Uzalendo kwa nchi yao Ni zero,Jeshi Hadi wanajeshi wake wanavaa kandambili wkt huo huo nchi inatumia mamilioni ya $$ kwny maandalizi ya kumkaribisha mfalme wa Belgium hapo Congo.Hapo France na Mabebebu wanahusikaje?

Viongozi wa Congo wabebe mzigo wao,waache kutafuta shortcut ya matatizo Yao.
 
Ni wapumbavu hawajielewi au wana maslahi yao na mabeberu
Hata Mobutu alikuwa kibaraka wao na utajiri mkubwa na kutawala kote wao ndio walikuwa nyuma

Yaani Haya majitu sijui yana matatizo gani
Hawawezi kubeba mzigo wao bali wanajua kinachoendelea

Wazungu wanafaidika na weusi wachache ambao wanaenda na kuishi Paris kama nyumbani mbali na nyumbani
 
Kwa hiyo wanaweza kututoa jasho ama
Huyu PaKa wazungu wanampenda kwa maslahi tu na siku akiwakatia mrija wa almasi na gold ndio siku wanamuuwa

Priti Patel kala nae dili ila naona limebuma kwenye European court
waswahili tuna tabia ya kudharau ila ndan ya Dona country tuombe isitokee vita , tunaeza kuwa DRC ya pili jamii zetu zina migawanyiko mikubwa sana na kwasabab za kimaslai huenda wachache wakatumia hiyo fursa kuiangusha serikali hata kwa kuwa puppets wa PK , PK nI mjanja na anajua weak lines zote za ukanda huu , so Naunga Mkono EA tuungane PK aangushwe tu
 
Narudia tena, haki gani wanazopigania?
Huhitaji kuwa baridi moto kuitetea Rwanda kwenye hili, Rais wa Congo sio mwehu kwamba aanze tu kuishutumu Rwanda.

Huyu Rais ameingia juzi tu lakini kuna Reports za UN zinazothibitisha uhusika wa Rwanda kwenye wizi wa rasilimali za Congo, anza na ya 2002 inayoonesha namna jeshi la Rwanda(RPA) linavyoiba madini ya Congo, pia kuna report ya 2012 ya Baraza la Usalama imeelezea kwa kina wakiambanisha na ushahidi juu ya uhusika wa Rwanda sio tu kwenye ufadhili wa hili kundi (M23)ila pia hata kwenye uanzishwaji wake na kuna Report nyingine ya mwaka jana(2021).

Unaweza kusema hizo Reports za UN ni propaganda za mabeberu, nieleweshe hili tukio la Laurent Nkunda kushikiliwa Rwanda, Unaona ni tukio la kawaida?
hata tz mgogoro wa Ngorongoro , primary cause ni Wamasai kuhamishwa kimabav ila serikali isipotumia hekima bas , Kenya anaeza jihusisha kwa kupitia mlango wa Nyuma kuwatumia wamasai hawa hawa watz kui destabilize Tz ili kuiba maliasili so usipo deal na primary cause kuilaumu Kenya itakuwa ni ku exagerate mgogoro na kuifanya Kenya ijihusishe kabisa , thats my point makosa waliyafanya serikali ya Kabila walikuwa wamevunja moja ya makubaliano na hao watutsi walipodai haki zao Serikali ikaanzisha hoja kuwa hao ni watutsi wa Rwanda wanatumiwa na Rwanda in other way hawakujua kuwa it was a wrong timing kuongeza majina ya maadui hata kama mtu hakuwa adui then lazm aanze kujiweka kuwa adui , watutsi wa Rwanda , Ug na Burundi wote wanashiriki hiyo vita sabab ya upopoma wa Serikali ya Kabila so kuondoa huo mgogor ni kukaa meza moja tu sababu asili ya mgogor ni Watutsi wa DRC walikuwa wananyimwa haki zao za kiraia na kuchukuliwa kama wakimbiz kweny nchi yao kisa wana asili ya Kitutsi
 
waswahili tuna tabia ya kudharau ila ndan ya Dona country tuombe isitokee vita , tunaeza kuwa DRC ya pili jamii zetu zina migawanyiko mikubwa sana na kwasabab za kimaslai huenda wachache wakatumia hiyo fursa kuiangusha serikali hata kwa kuwa puppets wa PK , PK nI mjanja na anajua weak lines zote za ukanda huu , so Naunga Mkono EA tuungane PK aangushwe tu

Umetoa hoja kubwa sana Mkuu
Ni ukweli huo kuwa kuna wengi wataiuza nchi
Wengi huwa wanajifanya wazalendo ila wanafiki wa kutupa kwani mifano tunaiona hata kwenye kuendesha nchi tu

Haiwezekani watu hawataki maendeleo ya nchi badala yake wanaiba tu

Hao wakiahidiwa chochote wanauza nchi

PaKa amalizwe tu
 
waswahili tuna tabia ya kudharau ila ndan ya Dona country tuombe isitokee vita , tunaeza kuwa DRC ya pili jamii zetu zina migawanyiko mikubwa sana na kwasabab za kimaslai huenda wachache wakatumia hiyo fursa kuiangusha serikali hata kwa kuwa puppets wa PK , PK nI mjanja na anajua weak lines zote za ukanda huu , so Naunga Mkono EA tuungane PK aangushwe tu
Kagame huyu huyu aliyepitia chuo chetu pale MALINDI?? Mna muoverrate sana huyo kichaaa.

Pamoja na ujinga wake wote ila KAGAME hatoboi kwa TZ.

TZ tumeweka madarakani maraisi Watatu hapa Afrika mashariki.

1. PAUL KAGAME
2. MUSEVEN
3. NDAYISHIMIYE

Pia tulimuwekea JOSEPH KABILA na NKURUNZIZA.

Najua nachosema.
 
Kagame alisoma Basic Intelligence Course hapa bongo,na Ni course inayochukua mwaka mmoja tu.
 
Kumbe silaha unasubiri kutangaziwa. Basi sasa silaha hazifatiliwi kwa matangazo, Marekani haijawahi fanya maonesho ya silaha wala parade je silaha zake hazijulikani?

Kwamba Rwanda walijua jinsi Uganda walivyo na Sukhoi kwa kuoneshwa na Waganda? Kwani airbases hakuna, hakuna trainers kutoka Urusi, hakuna operators wanaosema, hakuna observers.

Kenya wanunua silaha kuliko nchi zote za East and Central Africa. Bajeti yao ya jeshi ni kubwa na sio radar tu, wana silaha kibao wamenunua bila response ya jirani yeyote kununua silaha. Na helicopters waliozinunua utasema wameshawishiwa baada ya kumuona jirani gani ananunua silaha gani.

Na hiyo Tanzania yenye Mig-35, Su-30 na Mig-29 ni ya wapi hiyo mbona hazipo kwa Tanzania hii. Hatuna silaha za North Korea, kisa ulisikia kesi yetu ya kuwa na wataalamu kutoka kule. Wale walikuja kufanya maintenance na kuleta spare parts kwa our old and junk Soviet era jets ambazo bado wanaoperate kwa kuzipa heavy modifications. Manufacturer wa hizo ndege tulizotumia vita ya Iddi Amin ashafunga production na support. Hata India ukienda kwao wanakupa parts na technical support maana wamezipiga chini sio muda mrefu
MKUU TUONYESHE HIVYO VIFAA VYA KENYA VINAVYOTISHIA NA KUOGIPESA HAPA EAST AFRICA .
Maana unaonekana Ni msomaji wa mitandaoni tuu hebu TUONYESHE.
 
Kenya wana silaha nyingi za kisasa na training kali kuliko inavyodhaniwa na wabongo. Na hivi karibuni wamefanya mission ya kisasa kuliko JWTZ. Ukitazama hata maonesho yao ya mwezi huu unaona silaha mpya na relatively modern kuliko sisi.

Wana artillery, APC, tanks, MRAP na helicopters za kisasa na nyingi kuliko sisi
Aaaaa Kaka Hakuna nchi amabzo Aina artillery, APC, tanks, japo inawezekana kuwa na uwezo tofauti kutokana na mahitaji yenu na bageti yenu.
Ishu ya helicopter wewe helicopter gani ya Kenya iliyokutisha hapa.
KDF-warplanes-Bomb-an-Al-Shabaab-camp-in-Gedo-southern-Somalia.jpg
h500_kenya_army.jpg
kenya1_large.jpeg
Raila Kisumu.jpg
 
Kenya wana silaha nyingi za kisasa na training kali kuliko inavyodhaniwa na wabongo. Na hivi karibuni wamefanya mission ya kisasa kuliko JWTZ. Ukitazama hata maonesho yao ya mwezi huu unaona silaha mpya na relatively modern kuliko sisi.

Wana artillery, APC, tanks, MRAP na helicopters za kisasa na nyingi kuliko sisi
MRAP za Kenya gani wewe zinakutisha Kaka zipi hizo au hivi zilizoenda huko Somalia
CZPRtI1WYAAAoMk.jpg
 
😄😄 Nikiona helcopter Kama hizo nacheka Sana kwa kweli,kwa niliyoyaona Ukraine hakika waafrika nguvu zetu tungewekeza kwny kilimo tu.
Ndugu Vita sio vifaa vya kisasa Sasa sijajua huyu jamaa T14 Armata anaogopa Nini kulalamika kuhusu Tanzania na vifaa vya kijeshi tulivyonavyo mkuu. Vifaa vya kijeshi vya kisasa vinamsaada ila sio Sana.
Yaliyotokea Ukraine sio POA Kaka urusi na vifaa vyao vya kisasa vyote ila Moto wameona kule urusi wamepoteza battle tanks nyingi Sana , helicopter nyingi, Hizo PCV na ndege nyingi tuu,
Japo wanaendelea na kuadvance ila Hali sio POA.
 
Banyamulenge huko DRC wanaangusha mpaka helicopter za MUNISCO mwezi uliopita waliangusha ikawamaliza walinda amani Kama 8 , kazi ya M23 na m23 Sina uhakika Kama wanazo surface to air missile, Sina uhakika.
 
Back
Top Bottom