Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Hiyo nakumbuka el adde Somalia hadi video yake ninayo wanajeshi wa Kenya walipigiwa vby mnooo na wanamgambo wa Al shabab dah hiyo video ukiiona ndio utajua Al shabab sio watu wa kawaida walianza kuvamia alfajir hadi inafika saa nne wanajeshi wote walishazibitiwa, hao jamaa kauli mbiu yao kuwa wanapenda kufa kama wengine wanavyopenda kuishi
 
Share video
 
Nalikumbuka Hilo tukia lilitokea Kati ya 2016,2017 au 2018 Kati ya miaka hio.
 
Ninavyo jua Mimi vifaa vingi Kenya wanavyonunua Ni kea ajili ya kwenda navyo Somalia, maada ya kupata changamoto nyingi kule wakawa wanauhitaji wa vifaa vya kijeshi hasa magari Aina MRAP mazingira ya kule kutokana na kutokuwepo na mti mingi Ni rahisi kutumia.
 
Watu wamekamatwa na vitambulisho vya jeshi la Rwanda bado unabisha tu!?
 
Wewe huna akili ndio maana huwezi kuwa rais wa Tanzania, kwanza kwa maelezo yako inaonesha hawajui M23 chanzo chao na malengo yao ya kupigana ni nini, yani unachangia mada kwa mihemko kama vile inajadiri mambo ya simba na yanga. Mgogoro wa Congo hauwezi kumalizwa kwa vita, ni sawa na Israel na nguvu zake zote haiwezi kuimaliza Hamas kwakuwa wanajua wanchokipigania, hata wapiganaji wakifa wote kizazi kinachofuata kitaendeleza mapambano, serikali ya kongo inapaswa kuwatambua Watutsi waliopo kongo vinginevyo vita haitakuja kuisha.
 
JWTZ wana silaha nyingi kubwa na za kisasa lkn nidhamu ya jeshi letu ni pamoja na kuficha silaha muhimu kwa maslahi ya nchi. Naamini Kenya wana vifaa vingi na vya kisasa lkn hawatofautiani sana na Jeshi la Tz, kinachowatofautisha ni nidhamu na mafunzo. Upande huo wa nidhamu na mafunzo Jeshi ka Kenya ni dhaifu mno mno mno.
 
Wewe na nani. Unajuaje kwamba sijui silaha zilizopo Tanzania? Silaha sio maparachichi kwamba utayaficha kwenye gunia. Russia, Ukraine, Syria, China, US wajulikane wana silaha gani wewe hapa nchi inayojengewa vyoo na IMF usijulikane?
Basi taja silaha za Tz kama unazifahamu. Huo ni utaratibu wa Jwtz.
 
Unaijua inventory ya main battle tanks za Tanzania. Humo kuna T-55 nyingi, Chinese VT2.
Kuna reconnaissance vehicles kama Scorpion, IFV fulani Chinese ambazo ni amphibious na silaha nyingine. Sikumbuki kama kuna MRAPS, hakuna attack helicopters.

Silaha hazifichwi, unaficha ambacho huna? Kwanza kwa bajeti gani ya kununua hizo silaha. Kenya sio dhaifu kwenye training, kuna tofauti kubwa sana ya shambulizi la Al Shabaab pale Westgate na wanajeshi kufeli, dhidi ya shambulizi la Hamza mwenye minyamauzembe, hajui kukimbia wala hajawahi pata mafunzo ila askari walizungushana nae sana wakati alipita hata mtaani akapuuza waliokuwa kwenye dala dala na wasiomhusu. Yule angekuwa ni gaidi trained pale angeua mpaka ambapo angejichokea.

Kenya wako Somalia wana mission imeendelea miaka sasa, wana silaha kila muda wanaongeza kurahisisha mission, wana trainers wa Marekani na Uingereza palepale ndani ya Kenya wana kambi yao. Hao hao British and US forces ndio waliifundisha Ukraine. Kigezo gani unatumia kusema hawana training.

Alafu nani kakwambia jeshi la Kenya halina nidhamu? Unadhani Kenya huwa kuna upuuzi wa wanajeshi kupita lane isiyo upande wao, kupiga makonda na madereva na kutishia raia. Nidhamu unaipimaje kusema Kenya hawana
 
MRAP za Kenya gani wewe zinakutisha Kaka zipi hizo au hivi zilizoenda huko Somalia
View attachment 2263581
Unajua kazi ya MRAP? Kazi yake ni kulinda maisha ya wanajeshi walio ndani, sio kutoharibika. Hizo zimetengenezwa zikiharibika maisha ya wanajeshi ndani yabaki salama. Hapo unapoona imelipuka na moto uliowaka baadae ndio uliiteketeza. Utambue kazi ya silaha kwanza kabla ya kulalamika, kwahiyo hapo kama wanajeshi wamesalimika basi imefanya kazi yake 100%
 
Kama vita sio silaha beba bastola kapigane dhidi ya adui wenye rifles, machine guns, mortars, MLRS, etc na mtashinda.

Hakuna justification ya kutonunua silaha. Sasa zilizopo ni za nini si tuachane nazo kabisa tuwe kama Vatican
 
Kama vita sio silaha beba bastola kapigane dhidi ya adui wenye rifles, machine guns, mortars, MLRS, etc na mtashinda.

Hakuna justification ya kutonunua silaha. Sasa zilizopo ni za nini si tuachane nazo kabisa tuwe kama Vatican
Soma vizuri elewa ndugu,
Kwani bastola sio siraha?
 
Hivi vifaa vya MRAP, jeshi kuwanavyo inategemeana na uongozi wa jeshi wenyewe, kama wao wanaona nilazima kuwa navyo,
Sidhani Kama serikali za Uganda, rwanda, Tanzania na Burundi hawana uwezo wa kununua , uwezo wanao, ila inategemea na mahitaji ya jeshi na uongozi wanavyoona
 
halafu watz mnachekelea tu, hamjui kuwa nanyi ni majirani wa rwanda kwa upande mwingine. siku karagwe itachukuliwa mtalia kilio cha mbwa mwitu, yuko wapi mtikila?
 
Drc haijawahi kuwa koloni la France, isipokuwa Rwanda (France ilikuwa na ushawishi hapo) ambayo kwa Sasa imejiunga na Anglophone (common wealth) na kujiondoa Francophone.

Sasa Ufaransa inahusikaje na mzozo wa Drc ?
mtu chake zitto junior Count Capone Moronight walker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…