Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Story yako inatufudisha kitu,ila amini mkuu hao m23 hizo vurugu zote siku akiondoka kagame in power ndio zitakua mwisho na watakua wacongo watiifu kabisa kwenye nchi yao
shida sio kagame shida ni serikali ya Drc imeshawashutumu Rwanda kuhusika kweny huo mgogoro so rais yyt mtutsi ataendeleza tu ufadhir kwa hivyo vikundi , Tangu awali serikali ya Drc ilipaswa kukimbiza mwizi kimya kimya tu , kushout kumewaongezea wapiganaji hao m23 maana sasa hv watutsi wa rwanda , burundi hata Uganda pia wanaenda kujoin kuwasaidia wenzao , its dangerous sana
 
Kwa hiyo DRC wote na nchi za Afrika mashariki ni wajinga kasoro wewe?
Afrika ya wapi hiyo unazungumzia ? Mbona hakuna kiongoz amewai kukemea serikali ya Kigari kuhusika ? Waswahili mnapenda kuunganisha na wengine kweny ujinga wenu
 
Kwa hiyo DRC wote na nchi za Afrika mashariki ni wajinga kasoro wewe?
ungeelewa ninacho kipoint kingekusaidia sana , hatuez ish kwa "story za huenda " , ukiombwa ushaidi utasema nn ?
 
unajua chochote kuhusu banyamulenge waliomsaidia Kabira kuingia madarakani...

Unafahamu chochote baada ya vita walipotakiwa kurudi kwao nini walifanya maeneo ya Kivu...?...

Unajua chochote juu ya bodiguard Rashidi na Kifo cha Kabira Senior..?..
Unajua chochote juu ya kabira Junior..

Unafahamu chochote kuhusu Lairent Nkunda, Sultan Makenga na Bosco Ntaganda? unafahamu historia zao?....
kwahiyo Tanzania inafadhiri ugaidi msumbij kisa viongoz wa lile kundi la ugaid msumbij ni watz na waliwao kuwepo kweny chama chetu kitakatifu , je inahalalisha hii ? lzm utambue kweny maisha kila siku tunasonga mbele na mamb mengine , kama tulishirikiana jana haihalalish kuwa ntakachofanya kesho ni lazm tutashirikiana , km huna ushaidi ni vzr kuepuka "story za huenda kisa ilikuwa hv "
 
unajua chochote kuhusu banyamulenge waliomsaidia Kabira kuingia madarakani...

Unafahamu chochote baada ya vita walipotakiwa kurudi kwao nini walifanya maeneo ya Kivu...?...

Unajua chochote juu ya bodiguard Rashidi na Kifo cha Kabira Senior..?..
Unajua chochote juu ya kabira Junior..

Unafahamu chochote kuhusu Lairent Nkunda, Sultan Makenga na Bosco Ntaganda? unafahamu historia zao?....
hao no warlords na kaz yao ni vita so popote kwenye mgogor wamo hata siku tukianza pilika za kuwatoa yanga serikalin bas wanaeza jiunga kama mkiwawekea mpunga mzur kwao kama John Okelo na wengine walioshirik mission mbali mbali nje ya mataifa yao , After kiasilia m23 ni wakongo kabisa wenye asili ya kitutsi ingawaj wengi ni outcome ya rwanda genocide 1994 ila hii haiondoi ukwel kuwa ni wakongo so wanahaki ya kupigania haki zao , serikali ya drc ina sehem imekosea , all in all ni fan mkubwa wa Amani and one Africa isiyo na mipaka ya ardhi wala Rangi
 
Mimi naamini kuwa defenders wa huo mji uliotekwa wamechukua maamuzi ya kimkakati, soon M23 watapata kipigo cha mnbwa mwizi: PAULO KAGAME ajiandae kuwazika vijana wake
Cha kusikitisha

UN wako kimya,
EU wako kimya,
NATO wako kimya[emoji848]
Ukraine wako kimya[emoji848]
USA wako kimya[emoji848]
UK wako kimya[emoji848]
 
Wewe na nani. Unajuaje kwamba sijui silaha zilizopo Tanzania? Silaha sio maparachichi kwamba utayaficha kwenye gunia. Russia, Ukraine, Syria, China, US wajulikane wana silaha gani wewe hapa nchi inayojengewa vyoo na IMF usijulikane?
Ninavyo jua mimi, hizo nchi ulizozitaja hapo siraha wanatengeneza wenyewe so wanajua jinsi zinavyo fanya kazi na Ni Siri yao hata wakionyesha Bado ni Siri yao jinsi vinavyofanya kazi.
Siraha ambazo sisi tunanunua huku ni za biashara na zinawekwa sokoni na zinanadishwa Kama simu za smart, wanasema uwezo wake , jinsi inavyofanya kazi na kila KITU.
Sasa hizo ndizo siraha tunazonunu , unapoonyesha ovya sio coz adui anaona na anaamua kutafuta siraha yenye nguvu kuliko wewe. So sometime kuonyesha sio vizuri. Mafano Uganda baada ya kununua sukhoi 30, na kuonyesha Kenya Mara moja wakaenda kununua air defense system uwezo kudungua sukhoi, hata rwanda walipo ona Tanzania tumeunua F-7 jet na wao wakaenda kunua air defense system kwa ajili ya hiyo na zingine kwa ajili ya sukhoi za Uganda. So kuonyesha kwa siraha A biashara Ni mbaya coz hatutengenezi siraha sisi.
Kwa Tanzania sio MIG-29, na nimesikia zipo na MIG-35 japo Sina sijaakikisha. Ia unewahi kuona MIG -29 wamezipitisha pale asharani.
Tanania zipo siraha za Aina nyingi hata za North Korea zipo.
Msulibasi
 
Inategemea siraha unanunua kwa Nani , kama unanunua kwa mshirika wako sio rahisi kukutobolea Siri, ukinunua kwenye makampuni ya USA wanaweka kwenye matangazo yao kwamba wateja wamekuja wamenunua hiki na hiki. Wazungu Ni wanafiki, na ndivyo wanavyowafanyia wa Saudi Arabia.
 
Huwezi achana na vifaru kwa namna yoyote ile. Hilo suala nimelieleza kwenye uzi live wa Ukraine, kila silaha ina silaha dhidi yake na sifa ya silaha ambayo ni anti-XXX lazima iwe ya gharama ndogo na rahisi kuliko inachoenda kuharibu, huwezi mchinja ng'ombe ili umlishe nguruwe.

Leopalds zilizoharibiwa kule Syria ni version ya zamani ambayo siyo modification. Na kifaru siku zote kinaenda na infantry, sio kama Urusi mwanzoni walivyoingia Kyiv na misururu ya vifaru vikiwa peke yake. Nilieleza mara nyingi kwenye uzi ule, lazima ufanye reconnaissance kujua nguvu za adui, lazima uwe na infantry na air cover, lazima uwe na artillery protection na command & control ya uhakika kufanya response ya attack itakayotokea kwa ghafla, lazima ufanye mine clearing kwenye path utakayopitisha vifaru. Na mambo mengine

Vifaru vinatoa firepower ya karibu kwa infantry, vinalinda vehicles nyingine ambazo hazina protection kubwa mfano IFV, APC na MRAPS, vinaondoa pockets za adui na fortifications. Huwezi kutumia mortar, howitzer au artillery kufidia tank ukaweza. Hivyo vyote vinahitaji call labda mortar ndogo ambazo hazina madhara makubwa sana: call for artillery strike, toa coordinates, subiri ruhusa ya kushambulia, jipange. Wakati kifaru kipo hapo na crew yake yumo tank commander anafanya maamuzi hapohapo na kifaru kipo accurate kuliko.

Rheinmetall watengenezaji wa Leopald 2 wamezindua prototype mpya ya MBT mjini Paris kwenye maonesho ya silaha juzi Jumatatu. Wakati huo UK ambao Challenger 2 yao imechoka wanataka ushirikiano na Ujerumani kutengeneza new MBT. Russia yuko na T-14 Armata hafanyi mass production, Uturuki yuko na Altay anahangaika nayo. Hivi vyote vinakuja na bado new protection systems are in development. Israel wana active protection system ya Trophy, Russia ana Shtora na Arena, na armour mpya zinaundwa. Vifaru tunavyo bado
Mkuu sikiliza , KUMBUKA KILA NCHI INATECHNOLOGY YAKE, YA UTENGENEZAJI SIRAHA.
 
Hawa walitumiwa tu na serikali ya Rwanda.
Rwanda ilikuwa na interest yakumuondoa Mobutu sababu alikuwa akisaidia waasi wa Rwanda.
Rwanda ilitumia wanyamurenge ambao ni wacongo ilikuepuka kelele za international community.
Ilikuwa rahisi kuwatumia wanyamurenge kwasababu walikuwa na shida zao na serikali kwa miaka.

Kwao wapi tena? Hawa niwa Congo kama nilivyotaja.
Infact hawa wanyamurenge walikuja kupata shida kubwa baada ya Kabira kufukuza majeshi ya Rwanda.
Wanajeshi wa Rwanda warirudi lakini hawa wanyamurenge hawakuwa nasehemu yakwenda walibaki Congo,
Kilichotokea nikuanza kuuawa na majeshi ya Kabira.

Laurent Nkunda, Makenga na Ntaganda ninachojua nikwamba hawa wote niwa Congo.
Haijalishi wamezaliwa wapi lakini asili yao ni wa Congo.
Nkunda amefungiwa Rwanda,
Ntaganda kazaliwa rwanda na Ni mtutsi wa Rwanda wazazi wake wote wamezaliwa rwanda, yeye alisema kwenye mahakama ya ICC
 
Ninavyo jua mimi, hizo nchi ulizozitaja hapo siraha wanatengeneza wenyewe so wanajua jinsi zinavyo fanya kazi na Ni Siri yao hata wakionyesha Bado ni Siri yao jinsi vinavyofanya kazi.
Siraha ambazo sisi tunanunua huku ni za biashara na zinawekwa sokoni na zinanadishwa Kama simu za smart, wanasema uwezo wake , jinsi inavyofanya kazi na kila KITU.
Sasa hizo ndizo siraha tunazonunu , unapoonyesha ovya sio coz adui anaona na anaamua kutafuta siraha yenye nguvu kuliko wewe. So sometime kuonyesha sio vizuri. Mafano Uganda baada ya kununua sukhoi 30, na kuonyesha Kenya Mara moja wakaenda kununua air defense system uwezo kudungua sukhoi, hata rwanda walipo ona Tanzania tumeunua F-7 jet na wao wakaenda kunua air defense system kwa ajili ya hiyo na zingine kwa ajili ya sukhoi za Uganda. So kuonyesha kwa siraha A biashara Ni mbaya coz hatutengenezi siraha sisi.
Kwa Tanzania sio MIG-29, na nimesikia zipo na MIG-35 japo Sina sijaakikisha. Ia unewahi kuona MIG -29 wamezipitisha pale asharani.
Tanania zipo siraha za Aina nyingi hata za North Korea zipo.
Msulibasi
Kumbe silaha unasubiri kutangaziwa. Basi sasa silaha hazifatiliwi kwa matangazo, Marekani haijawahi fanya maonesho ya silaha wala parade je silaha zake hazijulikani?

Kwamba Rwanda walijua jinsi Uganda walivyo na Sukhoi kwa kuoneshwa na Waganda? Kwani airbases hakuna, hakuna trainers kutoka Urusi, hakuna operators wanaosema, hakuna observers.

Kenya wanunua silaha kuliko nchi zote za East and Central Africa. Bajeti yao ya jeshi ni kubwa na sio radar tu, wana silaha kibao wamenunua bila response ya jirani yeyote kununua silaha. Na helicopters waliozinunua utasema wameshawishiwa baada ya kumuona jirani gani ananunua silaha gani.

Na hiyo Tanzania yenye Mig-35, Su-30 na Mig-29 ni ya wapi hiyo mbona hazipo kwa Tanzania hii. Hatuna silaha za North Korea, kisa ulisikia kesi yetu ya kuwa na wataalamu kutoka kule. Wale walikuja kufanya maintenance na kuleta spare parts kwa our old and junk Soviet era jets ambazo bado wanaoperate kwa kuzipa heavy modifications. Manufacturer wa hizo ndege tulizotumia vita ya Iddi Amin ashafunga production na support. Hata India ukienda kwao wanakupa parts na technical support maana wamezipiga chini sio muda mrefu
 
Inategemea siraha unanunua kwa Nani , kama unanunua kwa mshirika wako sio rahisi kukutobolea Siri, ukinunua kwenye makampuni ya USA wanaweka kwenye matangazo yao kwamba wateja wamekuja wamenunua hiki na hiki. Wazungu Ni wanafiki, na ndivyo wanavyowafanyia wa Saudi Arabia.
Huo sio unafiki, sheria zao zinawataka ufanye disclosure ya mteja wa silaha unayemuuzia na wanajadiliana kama anastahili kuuziwa. Ndio maana deals nyingine wanakataa, Kenya ilikataliwa kununua helikopta kipindi cha Obama ila Trump akakubali baada ya sababu ya kupambana na Al Shabaab kuonekana nzito.

Na kila anayeenda kununua anajua kwamba atatajwa, vigezo na masharti kuzingatiwa kama hutaki nunua uko mafichoni. Alafu unadhani ukijua nchi fulani inamiliki silaha fulani ndio guarantee ya kushinda vita. Vita mnaanza mkijua almost silaha zote za adui ila kama mlikuwa wa kupigwa mtapigwa tu. Na kama huna uchumi hata ukijua Saudi Arabia kanunua silaha za $30 billion utatoa wapi hela kununua kama yeye
 
hao no warlords na kaz yao ni vita so popote kwenye mgogor wamo hata siku tukianza pilika za kuwatoa yanga serikalin bas wanaeza jiunga kama mkiwawekea mpunga mzur kwao kama John Okelo na wengine walioshirik mission mbali mbali nje ya mataifa yao , After kiasilia m23 ni wakongo kabisa wenye asili ya kitutsi ingawaj wengi ni outcome ya rwanda genocide 1994 ila hii haiondoi ukwel kuwa ni wakongo so wanahaki ya kupigania haki zao , serikali ya drc ina sehem imekosea , all in all ni fan mkubwa wa Amani and one Africa isiyo na mipaka ya ardhi wala Rangi
M23 wanapigania haki gani? Kwamba Rwanda inawafadhili kwa kuwa wanaonewa sana nchini Congo
 
Kumbe silaha unasubiri kutangaziwa. Basi sasa silaha hazifatiliwi kwa matangazo, Marekani haijawahi fanya maonesho ya silaha wala parade je silaha zake hazijulikani?

Kwamba Rwanda walijua jinsi Uganda walivyo na Sukhoi kwa kuoneshwa na Waganda? Kwani airbases hakuna, hakuna trainers kutoka Urusi, hakuna operators wanaosema, hakuna observers.

Kenya wanunua silaha kuliko nchi zote za East and Central Africa. Bajeti yao ya jeshi ni kubwa na sio radar tu, wana silaha kibao wamenunua bila response ya jirani yeyote kununua silaha. Na helicopters waliozinunua utasema wameshawishiwa baada ya kumuona jirani gani ananunua silaha gani.

Na hiyo Tanzania yenye Mig-35, Su-30 na Mig-29 ni ya wapi hiyo mbona hazipo kwa Tanzania hii. Hatuna silaha za North Korea, kisa ulisikia kesi yetu ya kuwa na wataalamu kutoka kule. Wale walikuja kufanya maintenance na kuleta spare parts kwa our old and junk Soviet era jets ambazo bado wanaoperate kwa kuzipa heavy modifications. Manufacturer wa hizo ndege tulizotumia vita ya Iddi Amin ashafunga production na support. Hata India ukienda kwao wanakupa parts na technical support maana wamezipiga chini sio muda mrefu
Soma vizuri sijasema Tanzania tu SU-30 wala MIG -35 nenda kasome vizuri, nimesema ipo
MIG -29.
Mkuu hakuna nchi itakayo kuuzia siraha ambayo wao wanaiamini Sana kuwa Ni mzuri Sana kwa upande wao. Jua Hilo kwanza.
Mmarekani hata uwe msirika na wewe kivipi hawezi kufanya hivyo hata siku Mona , siraha zinazouzwa na USA hata na wengine Ni zile ambazo ambazo wao wameziweka kwa ajili ya biashara.
Kwanza Hakuna nchi inayoonyesha full strength yake ya jeshi lipoje hapa dunia Hakuna hio mkuu ,
Ni kweli Kenya ndo nchi inayongoza kujiami east na central Africa . Kuwekeza kwenye jeshi Sana sio kwamba ndo unauwezo Sana wa mapambano.
Hingekuwa hivyo USA ingekuwa Ni nchi inayoogopwa Sana hapa dunia mkuu. Na matifa yote hapa dunia na kwa tabia ya USA wangekuwa wanavamia tu kila nchi.
USA kuna kipindi badget yao inasemekana inafika mapka $800billion. Ila licha ya kuwa hivyo hawana ujeuli wa kutunisha kifua nchi zote hapa dunia. Na Mara nyingi uwezi just budget ya kweli ya jeshi nchi husika.
Na ishu ya Uganda , na ndo maana nimekuambia siraha unategemea umenunu kwa Nani mkuu.
Mrusi alikuwa anasuppy S-300 kwa Iran na hata North Korea pia, ila kwa iran kasitisha na North Korea Bado anaenedelea.
Mkuu pia kuhusu swala la jeshi nikupe mfano. Vita vya Iraq sadam hussen alikuwa anamiliki kifaa Cha urusi Cha radar na air defence system ya mwaka 1979. Na ndivyo hivyo alivyotumi kwenye Vita, na ilikuwa na uwezo wa kuangusha ndege za USA za kisasa kwa kipindi. Na ndo maana nilkuwambia kila nchi wanatechonlogy yake.
 
Back
Top Bottom