Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Wajinga wajinga kwa kujifariji oh mara Iran itapiga Israeli mara waasi wakike kabisa wakapambane na koo za mfalme daudi never ever can't happen
 
Hii vita ina mchanyato mwingi sana
Mara ya kwanza waasi walipochukua nchi nikasoma mahali kuwa White House is monitoring the situation. Leo nomeona tena Kremlin is watching the situation. Kwa wakubwa hawa kujipa muda na kuangalia situation, ni dhahiri hili anguko la utawala wa Assad limeambatana na vigugumizi vya wadau wa eneo hilo, na imebidi wajipe muda kutoa msimamo
 
Naleta data haf wewe unaleta kaswida,..you can't handle this battle
 
Wanatak
Tatizo hao jamaa wakisema huwa wanatekeleza. Siyo jamaa zetu ambao wanatumia ahadi hewa kusalia madarakani
A kuonesha Israel hajahusika na ni adui yao wenye akili tushafika mbele yao wapuuz waache wajenge nchi kwa miaka 30 then muisrael aje azibomoe tena mpk waache unafiki kami quran inavyoahidi
 
Hivi ww una akili timamu kweli kwmb urusi haon umuhmu wowote wa syria kwasasa hujui marekan inataka peleka gas ulaya ili ulaya waachane na gas ya urusi na njia ya bomba hlo ni syria tu ktu ambacho kilimfanya urusi kuingia hapo sa we mnywa kahawa hapo masjid unapga soga eti syria n useless sjui kama una akili timamu ww
 
Hawana mshauri?
 
Tatizo hao jamaa wakisema huwa wanatekeleza. Siyo jamaa zetu ambao wanatumia ahadi hewa kusalia madarakani
Huwezi kutumia CNN halafu ukasema unakwenda kuiteka Jerusalemu. Labda kama Wana kwenda kuteka East Jerusalemu hapo nitawaelewa....na kitendo cha Hamas kumshangilia kuanguka kwa Assad kumeongeza uvumi wa Hamas kuwa ulikuwa mpango West Jerusalem!!!
 
Wanahamu ya mito ya pombe na ma bikra hao
 
waarabu huwa nawachukulia kama nyumbu wameshaona kabisa wenzao walivyoliwa vichwa mpaka viongozi wao na hawa manyumbu nao wanataka ku-test zali, anyways uamuzi ni wenu as long as Netanyahu yupo madaraka
 
Mwenyewe Israel anajipigia tu muda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…