Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Leo nimewasikia wakisema kuwa Watabambana kufa na kupona na Hezbullah.
 
Wewe siyo tu Jerusalem bali hata hiyo Kaaba yenu ya Mecca
 
Israel inafahamu hivyo kuwa Waislamu lengo lao ni kuchukuwa nchi ya Israel na Yerusalemu. Lakini haitawezejana. Vita vya dunia vitapiganiwa hapo lakini hawataweza kumtoa tena Muisraeli. Mungu ndiye aliwatoa na akawaambia atawarejesha siku za mwisho na hakuna mtu atakayewatoa tena!
 
Sawa, tumewasikia,,, tusuburi matokeo, atakayelia au kucheka.
 
Mnakuza mambo ambayo hayapo. Mara Israel imewasaidia mara wataiteka yerusalem.
Yaani ukiwafatilia unaishia kucheka tu. Mara ndiyo watakaomtoa netapaka na serikali yake. Kituko tupu. Natapaka atatokewa na wayahudi wenyewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…