Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.
Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?