Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

In six days, Israel has dropped 6,000 bombs on the besieged coastal enclave, which is home to 2.3 million Palestinians. Half of them are children. This falls just short of the highest number of bombs dropped by the US in a year in the war on Afghanistan. This is genocide
Ee acha iwe "Genocide" wakati wenyewe wanawavamia wengine na kuwachinja kama kuku haiitwi "Genocide." What a hypocrisy 😞😞
 
Wale ni watoto wa baba mmoja !! Ukiwaona huwezi kuwatofautisha kwa rangi zao ! Rangi yao ni moja !!
No, No, No, acha upotoshaji bwana, Israelis na Palestinians ni watu wawili tofauti kabisa. Wakati Israel ni uzao wa Abraham- Isaac - Jacob, Palestina hayupo kabisa kwenye mlolongo huo kwani yeye ni uzao wa Ham aliyekuwa kijana mkubwa wa Nabi Nuhu.

Please be informed accordingly.
 
No, No, No, acha upotoshaji bwana, Israelis na Palestinians ni watu wawili tofauti kabisa. Wakati Israel ni uzao wa Abraham- Isaac - Jacob, Palestina hayupo kabisa kwenye mlolongo huo kwani yeye ni uzao wa Ham aliyekuwa kijana mkubwa wa Nabi Nuhu.

Please be informed accordingly.
Mimi nafuata Maneno ya Waziri Mkuu wa Israel marehemu Yitzhak Rabin aliposema kwamba tunataka kuionyesha Dunia kwamba sisi na wapalestina ni watoto wa Abraham !
Nikinukuu Maneno yake kwa kiingereza alisema “ We want to show the world that we and Palestinians are true sons of Abraham “ Alizungumza Maneno hayo wakati wanatia saini makubaliano ya Amani yeye Rabin na Marehemu Yasser Arafat mbele ya Rais wa Marekani Mr Clinton !!
Bahati mbaya ni kwamba Wahafidhina wenye kupenda kusema no no no big No wapo kila sehemu Duniani ! Hatimaye kabla hajaitekeleza azma yake Waziri Mkuu Yitzhak Rabin alipigwa risasi na myahudi mwenzake ambaye baadaye ilisemekana alikuwa na matatizo ya Akili !!

Wahafidhina ni tatizo kubwa Duniani na wapo kila Nchi !!
 
Kama Hitler na washirika wake hawakuweza kuwamaliza Wayahudi enzi zile itakuwa vivyo hivyo kwa Waisraeli kuwamaliza Hamas !
Ni ngumu sana kuziua ideas !

Political solution ni muhimu sana !!
Two states solution ndio muarobaini wa kumaliza huo mgogoro lakini wapo wahafidhina ambao hawataki kusikia hiyo habari ! So sad [emoji20] !
israel aasimama na 2 states solution ila wapalestina hawataki uwepo wa israel mashariki ya kati
 
israel aasimama na 2 states solution ila wapalestina hawataki uwepo wa israel mashariki ya kati
Fuatilia vizuri utafahamu nani anayekataa !!
Israel hataki kurudisha ardhi alizoziteka kwenye vita ya mwaka 1967 ikiwemo Jerusalem !! That’s the case !
 
Back
Top Bottom