Na hapo ndipo Mwenyezi Mwingi wa Rehema atakapoleta Nusura yake (Insha Allah) ili dunia ijue kuwa yeye ndiye mmiliki wa hii dunia.
Hawa wakubwa wamesahau juzi tu walikuwa kwenye kimuhemuhe cha COVID wakachachawa, wakapagawa?.
Mungu hufanya kazi katika mysterious ways!
Wanaogopa kitu kama hicho kutokea kwenye nchi zao. Ikitokea watakua kwenye hali mbaya sana. Nafasi zao, maisha yao nkKwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.
Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?
Hapo ndipo mnapokwama.
Hiyo Corona ni ugonjwa wa kutengeneza.
Haohao wayahudi walivurumushwa eneo hilohilo kipindi cha Dola la Rumi.
Misri ya zamani ilikuwa mali ya Watu weusi, nenda leo ukaone nini kimetokea.
Marekani ilikuwa ni mali ya Wahindi Wekundu, nenda sasa hivi kaangalie nini kimetokea.
Kumtegemea mungu kwa kujifariji kwa kauli tuu haina maana yoyote ile.
Kabla ya mwaka 1948 Wapalestina walikuwa wanaimiliki hiyo nchi kwa asilimia 100% lakini baada ya hapo mpaka leo wamenyang'anywa na wanamiliki sio zaidi ya 30% zilizobaki zote wamechukua hao Wayahudi bila kujali mataifa mengine watasema nini.
Israel haina makosa mwenye makosa ni palestina na hamas yao hivyo wakifutwa kwenye uso wa dunia ni sawa tuKwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.
Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?
Mungu hufanya kazi kupitia wanadamu
Vita, Maradhi, Neema, Usitawi unaweza kufanywa na mikono ya wanadamu lakini kwa influence ya Mungu behind the scene.
Usiniulize hekima ya evil duniani ni nini, siijui ila Njia za Mungu hazichunguziki.
Hata hao Wayahudi wamekula kibano kuliko mtu yeyote duniani kwa miaka mingi sana.
so unaamini itakuja nusura hivi karibuni?Na hapo ndipo Mwenyezi Mwingi wa Rehema atakapoleta Nusura yake (Insha Allah) ili dunia ijue kuwa yeye ndiye mmiliki wa hii dunia.
Hawa wakubwa wamesahau juzi tu walikuwa kwenye kimuhemuhe cha COVID wakachachawa, wakapagawa?.
Mungu hufanya kazi katika mysterious ways!
Jeshi la Hamas wanasema wako vijana 50,000. Wanahifadhi silaha shuleni, hospitalini nyumba za wazee, univervities, vyuo. Itakuwa kazi kubwa na umwagaji mkubwa wa damu.Twende kazi
Muda utaongea
Unadhani kila mtu muoga kama wewe? Hao miaka na miaka wanajitoa muhanga ndio sembuse waogope risasi? Tungekua na hiyo aggressiveness kitambo tu viongozi mafisadi wangekimbiaHamasi Ni magaidi hayafai Kabisa.. Raia wema waondolewe na Hamasi waache kujichanganya na Raia waende front tuwaone
Wana makosa gani mkuu? TuelewesheIsrael haina makosa mwenye makosa ni palestina na hamas yao hivyo wakifutwa kwenye uso wa dunia ni sawa tu
Naam naamini hivyo.so unaamini itakuja nusura hivi karibuni?
Wakati wa Mungu wa Israeli kujitwalia utukufu wake.Kwa kinachoendelea Huko Gaza, sijui itakuaje kwa ukanda huo wa Gaza na Palestina, maana inaonekana vigogo wote na mataifa yenye nguvu kubwa duniani kiuchumi, kisiasa na kijeshi Kama vile China, Marekani, Urusi, Uingereza na India.
Wote hao wametoa kauli za kuwa na huruma Sana Israel kwa kile kilichofanywa na Hamasi kuliko vile Israel unavyofanya kwa Hamas, je huu ndo mwisho wa Hamas na Palestina kwa ujumla?
Kwa mfano sisi tunamgogoro wa ardhi na MalawiHapo ndipo mnapokwama.
Hiyo Corona ni ugonjwa wa kutengeneza.
Haohao wayahudi walivurumushwa eneo hilohilo kipindi cha Dola la Rumi.
Misri ya zamani ilikuwa mali ya Watu weusi, nenda leo ukaone nini kimetokea.
Marekani ilikuwa ni mali ya Wahindi Wekundu, nenda sasa hivi kaangalie nini kimetokea.
Kumtegemea mungu kwa kujifariji kwa kauli tuu haina maana yoyote ile.
Kabla ya mwaka 1948 Wapalestina walikuwa wanaimiliki hiyo nchi kwa asilimia 100% lakini baada ya hapo mpaka leo wamenyang'anywa na wanamiliki sio zaidi ya 30% zilizobaki zote wamechukua hao Wayahudi bila kujali mataifa mengine watasema nini.
Mfano kuntu sisi TZ tuko na mgogoro wa ardhi na Malawi tunagombea ziwa Nyasa aka lake Malawi ,Kuna kipindi jeshi la Malawi lilifanya uhuni wa kukamata wavuvi wetu na kufanya mazoez ya kijeshi pande ambozo sisi tunasema ni kwetu na wao wanadai ni zao Kuna ujumbe ulitumwa kwao nadhan waliangalia possibility Yao kushinda endapo vita ndio ingekua suluhu wakaamua tu kukaa kitalaamu na bro waoHapo ndipo mnapokwama.