Wababe wote wa dunia wameitenga Palestina

ila mwanadamu ni mbinafsi siku zote, baada ya bomu kudondoshwa na majengo kuharibika, kwenye video wapo wapalestina wengien unawaona kabisa hawatafuti miili ya kuokoa, wanatafuta maokoto.
 
Russi, mwenyewe anasema Israel yuko sahihi kujilinda , japo ameiweka kimkakati kwa kusema wasizidishe dozi na kuua raia wasio na hatia
❗️President Putin said Russia is prepared to mediate in the Israeli-Palestinian settlement.

The head of state also said there is a need for an independent Palestine with its capital in East Jerusalem.

Subscribe to RT
 
Tunasubiri kuona infantry ya Israel ikiingia Gaza !
 
ila mwanadamu ni mbinafsi siku zote, baada ya bomu kudondoshwa na majengo kuharibika, kwenye video wapo wapalestina wengien unawaona kabisa hawatafuti miili ya kuokoa, wanatafuta maokoto.
Ndivyo ilivyo kufa kufaana !
 

Tuanzie Hapo 1948,
Je kabla ya 1948 Nchi ilikuwa inaitwa Palestine,Ok,
1.Waisrael walikuwa wanaishi wapi?
Humo humo?
2.Inasemekana Wapalestina ni Waarabu na Waisrael sio waarabu!
kwahiyo walikuwa wanaishi Nchi moja rangi mbili Tofauti?
Mfano hapa Tz,Wahindi na Wasomali wamehamia kutoka India na Somali,Je Vipi kuhusu huko Israel?
3.Je zilikiwa Nchi mbili tofauti? Au walikuwa Nchi moja lakini Rangi tofauti wanaishi
Maoni yangu!
woote asili yao ni hapo hapo!
Ila Ufumbuzi wanatakiwa Kila Mtu Awe na Nchi yake.
Je Unajua asili yao wote?
 
Wale ni watoto wa baba mmoja !! Ukiwaona huwezi kuwatofautisha kwa rangi zao ! Rangi yao ni moja !!
 
yeyote mwenye akili hawezi kukubaliana na mauaji ya wayahudi ya juzi. ataiunga mkono israel tu.
Hamas walitafuta Sifa za Kijinga eti wamewaUa Waisraeli bila kikwazo. Leo hii ngoja wachakazwe. Ingawa naonaga hao Watu Maisha kwao si kitu, hawajali Uhai wao Kabisa.
 
Hamas walitafuta Sifa za Kijinga eti wamewaUa Waisraeli bila kikwazo. Leo hii ngoja wachakazwe. Ingawa naonaga hao Watu Maisha kwao si kitu, hawajali Uhai wao Kabisa.
na hawahawa wapalestina walikaribishwa lebanon ambayo ilikuwa ya kikristo, walivyokula na kushiba wakageuka wakachinja walebanon wakaibadilisha nalebanon kuwa ya kiislam, hawana shukran, fujo na vita ndio chakula yao. waacheni wapate wanachostahili. hakuna mwema hapo.
 
Israel haina makosa mwenye makosa ni palestina na hamas yao hivyo wakifutwa kwenye uso wa dunia ni sawa tu
Una tatizo kubwa kwenye akili Yako! Angalia usiharibu wanao!

Wewe uko tayari kufutwa duniani?

Wewe uko tayari bongo yako ikaliwe kijeshi na jamii ingine?

Usichokijua jews na wazungu sio wakristo ni wapagani kama unawaza kwa chuki za kidini! Ulaya na marekani makanisa yamebaki kuwa ni nyumba za makumbusho na kumbi za kufanyia makongamano na sherehe za kijamii.

Waarabu wanasuburi jews waende vita ya ardhini Gaza utakachokiona hutaamini! Waarabu ni hatari Sana! Sio kinyonge kama media zinavyoonesha, kuna Hamas system of underground tunnels Gaza silaha nyingi ziko chini ya ardhi!
 
Huyo mungu wa kuleta nusura kwa magaidi?atakuwa mungu dhalimu Sana🤔
 
Tatizo lenu mnataka kila mtu awe active kwenye uwanja wa vita. Hilo halitawezekana. Nikupe mfano tu kwanini Misri haifungui mpaka wake na Palestina. Ni kwamba wakifungua mpaka wapalestina wataikimbia Gaza hivyo israel wanaweza kutanua makazi kirahisi. Kutofungua mpaka kutailazimisha Israel isitishe lashambulizi maana itahofia kudhuru watu wengi zaidi. Vita ni pamoja na kutumia akili pia sio kurusha mabomu na risasi
 
Ukiondoa mambo ya udini kuna vitu nakubalia a nawe hasa kuhusu vita ya ardhini. Hapo kweli ni nusu kwa nusu hakuna mbabe mwenye uhakika wa kushinda inapokuja suala la vita ya ardhini.

Hizo tunnels za ardhini ndio Israel wanataka wakaziharibu, wanajua zipo.
Hii vita ikiendelea itakua mbaya sana.
 
Bado Palestina ina baadhi ya nchi za kiarabu zinazoisupport.

Tazama:


Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Hao wababe walishatoa tamko kama Urusi na China kuwa mgogoro hautaisha kama hakutakuwa na Taifa huru la Palestine Sasa ulitaka wapeleke vikosi kama US?Wajomba wakikutana hapo ujue hata wewe huko Nangurukulu hawezi kwenda Chooni.Ni Bora ibaki hivyo hivyo hapo Gaza na Africa Mashariki ni karibu kuliko kule Ukraine hao wakubwa wakikichafua hapo tegemea mpaka huku nanjilinji hakulaliki.
 
Bila ga shaka ushindi upo karibu
 
Naam[emoji1488]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…