Ee acha iwe "Genocide" wakati wenyewe wanawavamia wengine na kuwachinja kama kuku haiitwi "Genocide." What a hypocrisy 😞😞In six days, Israel has dropped 6,000 bombs on the besieged coastal enclave, which is home to 2.3 million Palestinians. Half of them are children. This falls just short of the highest number of bombs dropped by the US in a year in the war on Afghanistan. This is genocide
No, No, No, acha upotoshaji bwana, Israelis na Palestinians ni watu wawili tofauti kabisa. Wakati Israel ni uzao wa Abraham- Isaac - Jacob, Palestina hayupo kabisa kwenye mlolongo huo kwani yeye ni uzao wa Ham aliyekuwa kijana mkubwa wa Nabi Nuhu.Wale ni watoto wa baba mmoja !! Ukiwaona huwezi kuwatofautisha kwa rangi zao ! Rangi yao ni moja !!
Mimi nafuata Maneno ya Waziri Mkuu wa Israel marehemu Yitzhak Rabin aliposema kwamba tunataka kuionyesha Dunia kwamba sisi na wapalestina ni watoto wa Abraham !No, No, No, acha upotoshaji bwana, Israelis na Palestinians ni watu wawili tofauti kabisa. Wakati Israel ni uzao wa Abraham- Isaac - Jacob, Palestina hayupo kabisa kwenye mlolongo huo kwani yeye ni uzao wa Ham aliyekuwa kijana mkubwa wa Nabi Nuhu.
Please be informed accordingly.
HIo ni kutoks BBC. Pia wana tunnels , mahandaki kupita chini kwenfa Misri.Uongo huu.
israel aasimama na 2 states solution ila wapalestina hawataki uwepo wa israel mashariki ya katiKama Hitler na washirika wake hawakuweza kuwamaliza Wayahudi enzi zile itakuwa vivyo hivyo kwa Waisraeli kuwamaliza Hamas !
Ni ngumu sana kuziua ideas !
Political solution ni muhimu sana !!
Two states solution ndio muarobaini wa kumaliza huo mgogoro lakini wapo wahafidhina ambao hawataki kusikia hiyo habari ! So sad [emoji20] !
Fuatilia vizuri utafahamu nani anayekataa !!israel aasimama na 2 states solution ila wapalestina hawataki uwepo wa israel mashariki ya kati