sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Unakula nn mwezi mzima cha elf 50? Vocha hununui? Soda je? Maji ya kunywa? Kulipa kodi? Hela ya umeme?Mimi nikiwa na Tsh 80,000 mwezi unakata.
Tsh 50,000 = Chakula.
Tsh 30,000= Nauli
Mambo mengine yapi, changanua tuone hyo nguvu ya 50Mshahara wangu ni laki 200000
Akiba naweka 50000
Unga na mchele 40000
Vocha 10000
Mboga na mambo mengine 50000
Unajikunja Kama dawa ya m'mbu[emoji38]
Lazima operation ya utumbo utahusika hapoUnajikunja Kama dawa ya m'mbu[emoji38]
Hujaweka bajeti ya gesi au mkaa utakaopikia, umeme, maji, kodi nk100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--
Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
Ngoja nimsaidieHujaweka bajeti ya gesi au mkaa utakaopikia, umeme, maji, kodi nk
Kodi hulipi? Au unaishi nyumba ya urithi?Ngoja nimsaidie
Ges 21,000
Umeme 10,000
Maji 5,000
Mkuu mimi siyo mlaji sana.Unakula nn mwezi mzima cha elf 50? Vocha hununui? Soda je? Maji ya kunywa? Kulipa kodi? Hela ya umeme?
All in all we ni konyo
Hhaaha ndoo 2 za mkaa tosha..gesi anasa🤭...maji diaba moja natumia siku 3!(hii budget ni kwa vijijini nakoishi lakin) mjini hapana ngumuHujaweka bajeti ya gesi au mkaa utakaopikia, umeme, maji, kodi nk
Ndoo moja ni 300 Diaba 900..Ngoja nimsaidie
Ges 21,000
Umeme 10,000
Maji 5,000
Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.
Unapikia kwenye mkaa kuni au gas?100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--
Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-