Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

Nikipokea boom 592000
Mchele 5Kg 10,000/=
Maji umeme mwezi : 10,000/=
Mayai : 9000

Matumizi madogo madogo 10,0000/=


Pesa inayobaki sijui ilikua inaenda wapi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--

Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
spo sitoboi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa utachemsha maharage saa ngapi na wewe mwanafunzi?
Halafu kama msomi kwa nini utumie mkaa?mkaa unahamasisha uharibifu wa mazingira.

Maeneo ya chuo nilichosoma walikua wanauza maharagwe yashapikwa vizuri kibakuli tsh 500... hiyo ndo ilikua mboga yangu daily. Mchele natupia kwenye rice cooker asubuhi kabla ya kwenda chuo.
 
100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--

Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
Parachute ndogo ndio kitu gani hicho mkuu?
 
Mshahara wangu ni laki 200000
Akiba naweka 50000
Unga na mchele 40000
Vocha 10000
Mboga na mambo mengine 50000
Nguo, viatu na vitu vingine vyote vnaingia kwenye bajeti ya mboga hapo?! Au inakuaje?
 
Hata km naishi peke angu laki hainitoshi, yani ukishaenda kuichenchi tu ndio utajua laki si pesa. Hapo kuiandikia matumizini rahisi sana ila kiuhalisia nakuambia hiyo laki ukirudi nyumbn haipo.
Na usinunue nguo wala chupi wala kiunyunyu wew ni kula tu uone utafika wapi
 

Attachments

  • parachute-coconut-hair-oil-200ml-.jpg
    parachute-coconut-hair-oil-200ml-.jpg
    31.6 KB · Views: 1
Duh...lavish life!..mjini msihame tu kwa menu hizi[emoji3]...unakumbuka had tunda[emoji1732][emoji1732]
Katika vitu vilivyonishinda ni kujibana kula.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naweaa kubaki na 10,000 nikaenda nunua jogoo nikachemsha supu [emoji28][emoji28] mengine sijui
 
Hhahahaahaahha
Hiyo mazingira kwio ...hii ni huko maporini upatikanaji wa mkaa ni easy. . .alafu mie maharage huwa sitapendi kbs hapa unapika coz Huli alone..maharage huwez pikia gesi...mie napenda ugali dagaa na mchicha..daily naweza piga hii kitu
Ugali dagaa hata mie kwa kweli kila siku nakula.
Fanya unitumie kilo 2 za dagaa mshkaji wangu
 
Mkuu mimi siyo mlaji sana.

Vocha nanunua mara moja moja maana su mzungumzsji sana wa simu.

Binafsi natumia sana internet, nikiwa sina kabisa pesa ya bundle JF natumia Freebasics.

Kodi ni kila baada ya miezu 4.
Kwenye kodi ilitakiwa upigie kwa mwezi sawa na unalipa shilingi ngapi then uiweke kwenye hesabu ulizopiga juu maana ikifika muda wa kulipa iyo miezi minne hashushiwi kitoka mbinguni.
 
Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.​
Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.​
Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.​
Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.​
Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.​
We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.​
"Ikiisha omba nyumbani" wewe mtoto wangapi wa Bakhresa Mkuu.
 
Back
Top Bottom