Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

Katika vitu vilivyonishinda ni kujibana kula.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naweaa kubaki na 10,000 nikaenda nunua jogoo nikachemsha supu [emoji28][emoji28] mengine sijui
Hata Mimi kula na kununua maua nimeshindwa kujicontrol kbs ...! Acha tunenepe tu eish
 
Ninassume hakuna stationary na maji yapo available chuo no way chuo kikakosa maji
Asubuhi napiga dash.
Mchana wali kuku au pilau kuku 3,000.
Usiku chips kavu au na mshikajki mmoja 2,000.

Jumla 5,000 kwa siku

Kwa mwezi 150,000

Inabakia 50,000.
Hapo ni nauli na matumizi madogo madogo kama kununua ndizi 200,kipande cha tikiti 200 au chungwa 200.
Hahaa pesa ya kula 5000 aisee Spending hio ndani ya week ya mwisho lazima simu za kuomba pesa ya kula zihusike nyumbani.
 
Hata km naishi peke angu laki hainitoshi, yani ukishaenda kuichenchi tu ndio utajua laki si pesa. Hapo kuiandikia matumizini rahisi sana ila kiuhalisia nakuambia hiyo laki ukirudi nyumbn haipo.
Na usinunue nguo wala chupi wala kiunyunyu wew ni kula tu uone utafika wapi

Maisha haya ni kupanga...mie nikiwa Sina kitu naandika matumizi yote nikipata hela nanunua. .inasaidia..usijitahidi tub jicho lisiangalie kwenye maduka ya underwear nzur utaharibu kbs. .! Kaza shingo . .
 
Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.​
Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.​
Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.​
Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.​
Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.​
We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.​
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana kiongozi. Poleee
 
H
Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.​
Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.​
Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.​
Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.​
Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.​

We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.​
Hahahaa
 
Kwenye kodi ilitakiwa upigie kwa mwezi sawa na unalipa shilingi ngapi then uiweke kwenye hesabu ulizopiga juu maana ikifika muda wa kulipa iyo miezi minne hashushiwi kitoka mbinguni.
Kodi huwa nalipa pesa ya nauli.

Yaani napanga karibu na kaxini then natembea kwa mguu au nikikaa mbali iwe silipi kodi.
 
80000tzs kwa mwezi inantosha nagawa kwa wiki 4
>Chakula 3000 kwa siku 5 siku ya 6&7 ni 2500 tu....sawa na 20k kwa wiki =8000 per month
●20000 ilobaki ni 5000 kwa wiki kwa ajili ya vocha na juice ya matunda kujenga shavu🍉🍊🍸
 
80000tzs kwa mwezi inantosha nagawa kwa wiki 4
>Chakula 3000 kwa siku 5 siku ya 6&7 ni 2500 tu....sawa na 20k kwa wiki =8000 per month
●20000 ilobaki ni 5000 kwa wiki kwa ajili ya vocha na juice ya matunda kujenga shavu[emoji525][emoji521][emoji483]
Kwa bajeti hiyo huwezi toka shavu[emoji23]
 
Kodi na gesi nikilipa inapita miezi kadhaa pasina kufikilia vitu hivyo so matumizi yangu mengi kwa kila mwezi:- mchele kilo kumi tsh 15000 @1500 per 1kg, unga kilo 5 tsh 7000 @ 1400 per 1kg, mafuta one liter tsh 4000, dagaa 6000 hizi zinakata mwezi mzima, vitunguu 1000, nyanya 200 kwa siku xo kwa mwezi ni 6000 hapo na kuwa nimemaliza mengine hayo huwa siengage kabxa at cjui mademu,pombe, na mengineyo yanayofanana jumla kuu ya fedha ni 35000/= niki2mia luxury xana basi elfu arobain. Xo kwa mxhahara wa laki sita ukiondoa gharama za maji na umeme ambazo kwa mwezi ni elfu tisa laki tano na upuuzi inabaki mpaka pale kodi na gesi vitakaponiita na nikiitika mara moja bhax miezi inakata kumbuka 2 niko makambako
 
Back
Top Bottom