Umetisha!!Ninassume hakuna stationary na maji yapo available chuo no way chuo kikakosa maji
Asubuhi napiga dash.
Mchana wali kuku au pilau kuku 3,000.
Usiku chips kavu au na mshikajki mmoja 2,000.
Jumla 5,000 kwa siku
Kwa mwezi 150,000
Inabakia 50,000.
Hapo ni nauli na matumizi madogo madogo kama kununua ndizi 200,kipande cha tikiti 200 au chungwa 200.
Mkaa 😀Unapikia kwenye mkaa kuni au gas?
Daaa mzee babaaa usirudie tena hayo masihara ya kusomesha mtoto wa mwenzio!!!!Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.
Nishati mbona hujaweka au hivyo vyakula vyajipika vyenywe100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--
Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
Nilisahau tu mkuu ndoo kubwa mkaa 2500 so kwa mwez ni ndoo 2 hapoNishati mbona hujaweka au hivyo vyakula vyajipika vyenywe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetisha!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa utachemsha maharage saa ngapi na wewe mwanafunzi?Mkaa [emoji3]
Hhahahaahaahha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa utachemsha maharage saa ngapi na wewe mwanafunzi?
Halafu kama msomi kwa nini utumie mkaa?mkaa unahamasisha uharibifu wa mazingira.
Hhahahaahaahha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa utachemsha maharage saa ngapi na wewe mwanafunzi?
Halafu kama msomi kwa nini utumie mkaa?mkaa unahamasisha uharibifu wa mazingira.
Vocha?Mimi nikiwa na Tsh 80,000 mwezi unakata.
Tsh 50,000 = Chakula.
Tsh 30,000= Nauli
Nauli? Unaishi kwenye nyumba yako mwenyewe?Mshahara wangu ni laki 200000
Akiba naweka 50000
Unga na mchele 40000
Vocha 10000
Mboga na mambo mengine 50000
Duh...lavish life!..mjini msihame tu kwa menu hizi😀...unakumbuka had tunda🤸🤸Ninassume hakuna stationary na maji yapo available chuo no way chuo kikakosa maji
Asubuhi napiga dash.
Mchana wali kuku au pilau kuku 3,000.
Usiku chips kavu au na mshikajki mmoja 2,000.
Jumla 5,000 kwa siku
Kwa mwezi 150,000
Inabakia 50,000.
Hapo ni nauli na matumizi madogo madogo kama kununua ndizi 200,kipande cha tikiti 200 au chungwa 200.
Sukari 1kg mwezi mzima? Mchele wa 1500 unapatikana wapi?100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--
Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
Duh...lavish life!..mjini msihame tu kwa menu hizi😀...unakumbuka had tunda🤸🤸Ninassume hakuna stationary na maji yapo available chuo no way chuo kikakosa maji
Asubuhi napiga dash.
Mchana wali kuku au pilau kuku 3,000.
Usiku chips kavu au na mshikajki mmoja 2,000.
Jumla 5,000 kwa siku
Kwa mwezi 150,000
Inabakia 50,000.
Hapo ni nauli na matumizi madogo madogo kama kununua ndizi 200,kipande cha tikiti 200 au chungwa 200.
Halotel naunga SMS za mwezi kwa Tsh 1,000.Vocha?
Gesi anasa? Ukiwa unaishi Dar mkaa ni gharama kuliko gesiHhaaha ndoo 2 za mkaa tosha..gesi anasa[emoji2960]...maji diaba moja natumia siku 3!(hii budget ni kwa vijijini nakoishi lakin) mjini hapana ngumu
Kodi sidaiwi...umeme Sina natumia solar...lol
We khantwe wewe....mchele wa buku jero hakuna?mbona ipo mingi tu? Yes sukari mie natumia kilo per month...kwanza asbh sinywag chai ..nakulaga saa5 ugali mbuzi...hiyo ndo nitolee had usk nakula ndizi mbivu 2 nalala. Hapa Kama nna majukumu...Ila km nipo tu ndo ntapika..Tena hiyo kilo inawezekana ikaguswa once in a month...mchele huku meeengi ..bt hata Moro mchele wa buku jero bwelele balaa...Sukari 1kg mwezi mzima? Mchele wa 1500 unapatikana wapi?
Yes ni gharama..dar tunawaachia wenyewe.. kwangu mie ni kama anasa tu ..Gesi anasa? Ukiwa unaishi Dar mkaa ni gharama kuliko gesi