Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

Katika vitu vilivyonishinda ni kujibana kula.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Naweaa kubaki na 10,000 nikaenda nunua jogoo nikachemsha supu [emoji28][emoji28] mengine sijui
Hata Mimi kula na kununua maua nimeshindwa kujicontrol kbs ...! Acha tunenepe tu eish
 
Hahaa pesa ya kula 5000 aisee Spending hio ndani ya week ya mwisho lazima simu za kuomba pesa ya kula zihusike nyumbani.
 


Maisha haya ni kupanga...mie nikiwa Sina kitu naandika matumizi yote nikipata hela nanunua. .inasaidia..usijitahidi tub jicho lisiangalie kwenye maduka ya underwear nzur utaharibu kbs. .! Kaza shingo . .
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana kiongozi. Poleee
 
H
Hahahaa
 
Kwenye kodi ilitakiwa upigie kwa mwezi sawa na unalipa shilingi ngapi then uiweke kwenye hesabu ulizopiga juu maana ikifika muda wa kulipa iyo miezi minne hashushiwi kitoka mbinguni.
Kodi huwa nalipa pesa ya nauli.

Yaani napanga karibu na kaxini then natembea kwa mguu au nikikaa mbali iwe silipi kodi.
 
80000tzs kwa mwezi inantosha nagawa kwa wiki 4
>Chakula 3000 kwa siku 5 siku ya 6&7 ni 2500 tu....sawa na 20k kwa wiki =8000 per month
●20000 ilobaki ni 5000 kwa wiki kwa ajili ya vocha na juice ya matunda kujenga shavuπŸ‰πŸŠπŸΈ
 
Kwa bajeti hiyo huwezi toka shavu[emoji23]
 
Kodi na gesi nikilipa inapita miezi kadhaa pasina kufikilia vitu hivyo so matumizi yangu mengi kwa kila mwezi:- mchele kilo kumi tsh 15000 @1500 per 1kg, unga kilo 5 tsh 7000 @ 1400 per 1kg, mafuta one liter tsh 4000, dagaa 6000 hizi zinakata mwezi mzima, vitunguu 1000, nyanya 200 kwa siku xo kwa mwezi ni 6000 hapo na kuwa nimemaliza mengine hayo huwa siengage kabxa at cjui mademu,pombe, na mengineyo yanayofanana jumla kuu ya fedha ni 35000/= niki2mia luxury xana basi elfu arobain. Xo kwa mxhahara wa laki sita ukiondoa gharama za maji na umeme ambazo kwa mwezi ni elfu tisa laki tano na upuuzi inabaki mpaka pale kodi na gesi vitakaponiita na nikiitika mara moja bhax miezi inakata kumbuka 2 niko makambako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…