History hyo hyo inasema hawakukuta watu zilikua nyika tupuHabari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu fulani na kuiacha ardhi yao tupu. Hivyo wamerudi kwenye ardhi yao tuwapishe.
Je, itakuaje?
History hyo hyo inasema hawakukuta watu zilikua nyika tupu
Kwa tunaoshadadia Israeli na palestina tunaogopa kujibu kwakuwa swali la kimtego sana hili.Habari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu fulani na kuiacha ardhi yao tupu. Hivyo wamerudi kwenye ardhi yao tuwapishe.
Je, itakuaje?
Na hasa wale waliokaribishwa NgorongoroNajaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu fulani na kuiacha ardhi yao tupu. Hivyo wamerudi kwenye ardhi yao tuwapishe.
Siku nchi ikipata raisi m'masai wale waliopelekwa Msomera watarudishwa? ndicho una maanisha?Na hasa wale waliokaribishwa Ngorongoro
HayatabirikiSiku nchi ikipata raisi mmasai wale waliopelekwa Msomera watarudishwa? ndicho una maanisha?/
This word is a double if not a tripple agent. Yaani kila mtu anao uwezo wa kukukubalia hii sentensi.... wote wanaopinga na wanaokubali israeli.ku-illegalise
Hakuna kiwango cha maneno kinachoweza tosha ku-illegalise haki ya waisrael mashariki ya kati.
Waisrael hawakuacha mapori mashariki ya kati bali Miji.
mmehamia tokea wapi? kama watakuwa na ushahidi, tutajua cha kufanya, ila kama hawana ushahidi, tutawafukuza. tofauti na ilivyo palestina, wayahudi wana vielelezo kabisa wakati palestina hawana ushahidi ila wapo pale. kinachopiganwa pale israel sio ardhi, ni dini hasa msikiti wa Al Aqsa, dini ndio inapiganwa pale sio ardhi.Habari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu fulani na kuiacha ardhi yao tupu. Hivyo wamerudi kwenye ardhi yao tuwapishe.
Je, itakuaje?
Inategemea hilo kundi mfano Wangoni wamekuja Tanzania miaka ya 1800 wakati Prince wa Iran alikuja Kusini (Kilwa) miaka ya 1200 Takriban miaka 600 kabla ya Wangoni.History hyo hyo inasema hawakukuta watu zilikua nyika tupu
Habari wadau.
Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti.
Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu fulani na kuiacha ardhi yao tupu. Hivyo wamerudi kwenye ardhi yao tuwapishe.
Je, itakuaje?
Shida iko na katika ilo?.Uhame sehemu kisha baada ya miaka 2000 kizazi chako yaani wajukuu generation ya 20 ndio kirudi. Halafu kiwaambie watu huu mji ulijengwa na babu yangu.
Hata Tanzania tukiambia hivyo. Kwamba babu zetu walihama miaka 2000 iliyopita.. hivyo sisi tumerudi kwenye mji wa babu zetu. Tutakubali ?