baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Wewe unaeneza Misconception kila siku ukirekebishwa bado unaongea uongo ule ule. Hamas ndio ni waisilamu ila ni chama cha Gaza tena hapo Gaza kwenyewe kuna Vyama vingine, Palestina kuna vyama vingi mno kama Chama cha Secular kinaitwa Fatah cha Yasir Arafat ambacho kwa muda kinaongoza Nchi, Kuna Chama cha Wakristo PFLP kuna movement kibao ndani ya Palestina na sio Ugomvi wa Dini kama propaganda za Israel na chawa wao wanavyotuaminisha.mmehamia tokea wapi? kama watakuwa na ushahidi, tutajua cha kufanya, ila kama hawana ushahidi, tutawafukuza. tofauti na ilivyo palestina, wayahudi wana vielelezo kabisa wakati palestina hawana ushahidi ila wapo pale. kinachopiganwa pale israel sio ardhi, ni dini hasa msikiti wa Al Aqsa, dini ndio inapiganwa pale sio ardhi.
Hao Hamas wenyewe walianzishwa na wa israel kama Division ya wapalestina ili wapambane na Yasir Arafat.
Palestina inadai Nchi yao na sio dini, wanataka ardhi yao waliopokonywa wote waisilamu, Wakristo, wayahudi wanapigana na hio state.