Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Sawa mzee Paskali tumekuelewa mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ardhi sio issue ya muungano, Zanzibar ina Ardhi yake na Tanzania bara ina Ardhi yake.Ardhi ni suala la Muungano?
Hahaaa! Hii sayansi mzee mkubwa naona umeiweka vizuri zaidi!itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile!.
Maana yake wazanzibar wana ardhi yao na watanganyika wana ardhi yao. Na mmoja akienda kwingine kumiliki ardhi anakuwa kama muwekezaji wa kigeni, siyo? Maana unaposema nchi/Serikali unazungumzia wananchi wa nchi hizo.Ardhi sio issue ya muungano, Zanzibar ina Ardhi yake na Tanzania bara ina Ardhi yake.
P
Acha bla bla mheshimiwa Paskali.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.
Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi baadhi ya watu kutoa povu!.
Kuna watu wanatafsiri potofu kuwa sehemu ya Ardhi ya Tanzania Bara ni sehemu ya Zanzibar!.
Ukweli ni huu
Anza na bandiko hili la mwaka 2014 iujue historia ya eneo hilo lilimilikiwa vipi na Zanzibar Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku kisha soma majadiliano ya Bunge ya miaka ya nyuma kuhusu issue hii
View attachment 2644793
Shamba la Mifugo Linalomilikiwa na SMZ huko Bagamoyo
MHE. MOSSY SULEIMANI MUSSA aliuliza:-
Kwa kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwahi kuwa na shamba kubwa la mifugo (ng’ombe) ranchi huko Bagamoyo:-
(a) Je, Serikali ya SMZ bado inamiliki shamba hilo? (b) Je, hadi kufikia kuboreshwa kwa shamba hilo SMZ ilitumia shilingi ngapi?
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na uvuvi naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mossy Suleimani Mussa Mbunge wa Mfenesini lenye vipengele (a) na (b) kwa pamoja kama ifuatavyo:-
(a) Mheshimiwa Spika kwa kuzingatia Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA) iliyoko Makurunge katika Wilaya ya Bagamoyo inamilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ranchi hiyo ilianzishwa mwaka 1976 baada ya kupata kibali kutoka kwa Kamishna wa Ardhi chenye kumbukumbu namba LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971, hivyo kwa taarifa hizo Wizara yangu bado inaamini shamba la RAZABA bado ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hata hivyo kwa vile swali linaloulizwa na Mheshimiwa Mbunge linahusu mali zilizo chini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi sio Wizara ya Muungano napenda kumjulisha Mheshimiwa kuwa Wizara yangu haiwajibiki kujua kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar bado inamiliki au haimiliki shamba hilo.
(b) Mheshimiwa Spika, Wizara yangu haijui kama shamba hilo ambalo liko chini ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lilitumia shilingi ngapi katika kuliboresha, namshauri Mheshimiwa Mbunge akapate majibu ya takwimu hizo Wizara inayohusika katika Serilkai ya Mapinduzi Zanzibar.
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI:
Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri ya Naibu Waziri naomba kutoa maelezo ya nyongeza kama ifuatavyo.
Mheshimiwa Spika, shamba hilo ambalo ni kweli kama alivyosema Naibu Waziri lilimilikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini kwa miaka mingi sana karibu 30 halitumiki, kwa hivi karibuni Serikali imemega sehemu na kuwapa wawekezaji, watawekeza katika mambo ya biofuel na Sehemu bado inaendelea kuwa mali ya SMZ.
View attachment 2644761
My Take
Hivyo Watanzania wenzangu isiwe na wasiwasi kabisa kuhusu hili, after all eneo lote la Zanzibar ni sehemu ya JMT hakuna sababu ya watu kutoa povu, Wanzanzibari kuniliki Ardhi Bara lakini Wabara hawewezi kumiliki ardhi Zanzibar, kwasababu Wazanzibari ni Watanzania wenzetu wana haki zote za Utanzania, ila Zanzibar ni the minority, visiwa vyao ni very tiny, tukiruhusu kila Mtanzania kumiliki ardhi Zanzibar, itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile!.
- Wabara ondoeni shaka kuhusu umiliki wa SMZ eneo Bagamoyo, SMZ inalimiliki eneo hilo kihalali kabisa kwa vile walipewa na Mwalimu Nyerere.
- Kitendo cha SMZ kumiliki eneo huku Tanzania bara, hakulifanyi eneo hilo kuwa sehemu ya Zanzibar, ni eneo halali la SMZ ila ardhi ni ya Tanzania bara.
- Nchi yoyote inaweza kumiliki eneo nchi nyingine yoyote, umiliki huo haulifanyi hilo eneo kuwa sio sehemu ya nchi husika.
- Japo SMZ inalimiliki eneo hilo lililokuwa hekta 6,000, kwanza SMZ, haina hati ya umiliki bali ina kibali cha umiliki No. LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971.
- SMZ ililitelekeza eneo hilo kwa miaka 45, hivyo serikali ikalimega kumpa mwekezaji, Halmashauri ya Bagamoyo imelipima viwanja inaviuza.
- Kwa vile ni eneo halali la SMZ, na sasa SMZ imeibuka kuonyesha ina interest na eneo lake, then itarudi serikalini kuelezea hiyo interest, serikali itakwenda kulipima limebakia kiasi gani, SMZ itapimiwa upya na kugawa.
- Iwapo SMZ bado italihitaji eneo lote la awali la ekari 6,000, then italazimika kuwalipa fidia watu wote waliomegewa kihalali.
- Kama pia limevamiwa na wananchi, then sheria yetu ya Ardhi ya Vijiji No. 5 ya mwaka 1999 will apply kwa mtu aliyetelekeza eneo lake kwa miaka 45, wale wavamizi wana haki fulani.
- Ikionekana madhara ya kuwaondoa wavamizi ni makubwa kuliko kuirejeshea SMZ eneo hilo, then kile kibali cha umiliki wa SMZ kinafutwa, wananchi wanapimiwa, na SMZ wanapewa eneo jingine, tuna mapori kibao ya kumwaga, hata wakitaka heka 10,000 wanapewa.
- Hii ya kuwagaiya wavamizi imefanyika sana kwenye maeneo ya jeshi na maeneo ya RTD, wavamizi wamepimiwa na kuhalalishiwa!.
Wakati wa kuumbika nchi, Zanzibar ilikuwa eneo la bara likamegeka kwa sea erosion, hivyo Visiwa vya Zanzibar ni sehemu halali ya Tanzania bara ndio maana dhima ya muungano wetu adhimu ni udugu, sisi ni ndugu moja, Waarabu walipokuja Zanzibar ile 1732 Sultan Seyyid Said alipohamoshia Sultanet take toka Oman kuja Zanzibar, aliwakuta wenyeji halisi ni Wahadimu, kutoka Bara, alivitwaa visiwa hivyo toka ukoo wa Mwinyimkuu, na waliompindua Sultan kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni wajukuu wa Mwinyimkuu wenye Zanzibar yao, ndio maana slogan ya Mapinduzi Daima ipo, na baada ya muungano tumekuwa kitu kimoja, ndio maana slogan ya muungano ni tutaulinda kwa gharama yoyote.
Miongoni mwa gharama hizo ni kumsamehe madeni, kumpa 4.5% ya fedha za mikopo na misaada, ajira na hata kumpa eneo lolote Wazanzibari watakalotaka.
Watanzania bara tujifunze kuwa na shukrani, tushukuru sana Zanzibar, ukanda wa eneo la maili 10 ya Pwani ya ya bahari ya hindi, lilikuwa eneo la Zanzibar, ikatugawia!, miji yote ya Pwani kuanzia Dar, Tanga, Bagamoyo imejengwa na Sultan of Zanzibar!.
Hata mjengo wa Ikulu ya Magogoni, imejengwa na Sultan of Zanzibar, hata ile replica ya Ikulu pale Chamwino ni mjengo wa Kiarabu!, mbona watu mnakosa shukrani kwa mambo mazuri kama haya, mnaona nongwa Zanzibar kumiliki eneo huku Bara!.
Mapinduzi Daima
Muungano Tutaulinda kwa gharama yoyote!.
Paskali.
afadhali kuna watu kama nyinyi munaosoma historia na kueleza kisawasawa, hawa wengine ni kupiga kelele bila ya kufanya reference ya mambo yaliyopita. Na hasa hao waliotoka mabara ya Tanganyika ndiyo wanajifanya nchi hii ni yao bila ya kuijua historia yake.Wanabodi,

Mbona hapa Mayala inaelekea kama umesema uwongo. Tunavyojua ni kwamba ikulu ya Magogoni ilijengwa na waingereza mwaka 1919 chini ya usimamizi wa Gavana Horace Byatt. Hata jiwe la msingi lililopo hapo Magogoni limeandikwa jina hilo la Horace Byatt.Hata mjengo wa Ikulu ya Magogoni, imejengwa na Sultan of Zanzibar,
Eneo walilopewa ni ekari 6000, Zanzibar walishindwa kulitumia hata robo, likabaki kuwa pori tuu!. Hata serikali yetu ilipoamua kulimega kuwapa wawekezaji, serikali iliwaarifu SMZ, hawakuonyesha pingamizi yoyote, hivyo kuhesabiwa they are not interested. Hiyo Ranchi ya Makurunge imetumia kama 1/10 ya eneo!. Hekari 6,000 is huge!, eneo hilo ni theluthi ya Zanzibar!.afadhali kuna watu kama nyinyi munaosoma historia na kueleza kisawasawa, hawa wengine ni kupiga kelele bila ya kufanya reference ya mambo yaliyopita. Na hasa hao waliotoka mabara ya Tanganyika ndiyo wanajifanya nchi hii ni yao bila ya kuijua historia yake.
Ila hiyo ya kulitelekeza kwa miaka 45 siyo kweli kwani kwa kumbukumbu zangu kulikuwa na wafanyakazi wa ranchi mpaka kwenye miaka ya tisini, walikuwa wanahamishwa Zanzibar na kupelekwa Bagamoyo. Miaka ile ilikuwa ukipelekwa Bagamoyo ni kama ulikuwa unapelekwa Kigoma kikazi.
PM.Wanabodi,
Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa huja na kwa maslahi ya taifa.
Maslahi ya leo ni hii issue ya SMZ kumiliki eneo la ekari 6000 Bagamoyo. Tangazo la SMZ Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu
limeleta taharuki na sintofahamu kubwa kwenye mitandao ya kijamii hadi baadhi ya watu kutoa povu!.
Kuna watu wanatafsiri potofu kuwa sehemu ya Ardhi ya Tanzania Bara ni sehemu ya Zanzibar!.
Ukweli ni huu
Anza na bandiko hili la mwaka 2014 iujue historia ya eneo hilo lilimilikiwa vipi na Zanzibar Zanzibar ndani ya Tanganyika ilianzia huku kisha soma majadiliano ya Bunge ya miaka ya nyuma kuhusu issue hii
View attachment 2644793
Shamba la Mifugo Linalomilikiwa na SMZ huko Bagamoyo
MHE. MOSSY SULEIMANI MUSSA aliuliza:-
Kwa kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar iliwahi kuwa na shamba kubwa la mifugo (ng’ombe) ranchi huko Bagamoyo:-
(a) Je, Serikali ya SMZ bado inamiliki shamba hilo? (b) Je, hadi kufikia kuboreshwa kwa shamba hilo SMZ ilitumia shilingi ngapi?
NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI alijibu:-
Mheshimiwa Spika, kwa niaba ya Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na uvuvi naomba kujibu swali la Mheshimiwa Mossy Suleimani Mussa Mbunge wa Mfenesini lenye vipengele (a) na (b) kwa pamoja kama ifuatavyo:-
(a) Mheshimiwa Spika kwa kuzingatia Ranchi ya Zanzibar Bagamoyo (RAZABA) iliyoko Makurunge katika Wilaya ya Bagamoyo inamilikiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Ranchi hiyo ilianzishwa mwaka 1976 baada ya kupata kibali kutoka kwa Kamishna wa Ardhi chenye kumbukumbu namba LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971, hivyo kwa taarifa hizo Wizara yangu bado inaamini shamba la RAZABA bado ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, hata hivyo kwa vile swali linaloulizwa na Mheshimiwa Mbunge linahusu mali zilizo chini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi sio Wizara ya Muungano napenda kumjulisha Mheshimiwa kuwa Wizara yangu haiwajibiki kujua kama Serikali ya Mapinduzi Zanzibar bado inamiliki au haimiliki shamba hilo.
(b) Mheshimiwa Spika, Wizara yangu haijui kama shamba hilo ambalo liko chini ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lilitumia shilingi ngapi katika kuliboresha, namshauri Mheshimiwa Mbunge akapate majibu ya takwimu hizo Wizara inayohusika katika Serilkai ya Mapinduzi Zanzibar.
WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI:
Mheshimiwa Spika, pamoja na majibu mazuri ya Naibu Waziri naomba kutoa maelezo ya nyongeza kama ifuatavyo.
Mheshimiwa Spika, shamba hilo ambalo ni kweli kama alivyosema Naibu Waziri lilimilikishwa kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini kwa miaka mingi sana karibu 30 halitumiki, kwa hivi karibuni Serikali imemega sehemu na kuwapa wawekezaji, watawekeza katika mambo ya biofuel na Sehemu bado inaendelea kuwa mali ya SMZ.
View attachment 2644761
My Take
Hivyo Watanzania wenzangu isiwe na wasiwasi kabisa kuhusu hili, after all eneo lote la Zanzibar ni sehemu ya JMT hakuna sababu ya watu kutoa povu, Wanzanzibari kuniliki Ardhi Bara lakini Wabara hawewezi kumiliki ardhi Zanzibar, kwasababu Wazanzibari ni Watanzania wenzetu wana haki zote za Utanzania, ila Zanzibar ni the minority, visiwa vyao ni very tiny, tukiruhusu kila Mtanzania kumiliki ardhi Zanzibar, itaelemewa na kuvizamisha visiwa vile!.
- Wabara ondoeni shaka kuhusu umiliki wa SMZ eneo Bagamoyo, SMZ inalimiliki eneo hilo kihalali kabisa kwa vile walipewa na Mwalimu Nyerere.
- Kitendo cha SMZ kumiliki eneo huku Tanzania bara, hakulifanyi eneo hilo kuwa sehemu ya Zanzibar, ni eneo halali la SMZ ila ardhi ni ya Tanzania bara.
- Nchi yoyote inaweza kumiliki eneo nchi nyingine yoyote, umiliki huo haulifanyi hilo eneo kuwa sio sehemu ya nchi husika.
- Japo SMZ inalimiliki eneo hilo lililokuwa hekta 6,000, kwanza SMZ, haina hati ya umiliki bali ina kibali cha umiliki No. LD/70254/12/TBR cha tarehe 24/09/1971.
- SMZ ililitelekeza eneo hilo kwa miaka 45, hivyo serikali ikalimega kumpa mwekezaji, Halmashauri ya Bagamoyo imelipima viwanja inaviuza.
- Kwa vile ni eneo halali la SMZ, na sasa SMZ imeibuka kuonyesha ina interest na eneo lake, then itarudi serikalini kuelezea hiyo interest, serikali itakwenda kulipima limebakia kiasi gani, SMZ itapimiwa upya na kugawa.
- Iwapo SMZ bado italihitaji eneo lote la awali la ekari 6,000, then italazimika kuwalipa fidia watu wote waliomegewa kihalali.
- Kama pia limevamiwa na wananchi, then sheria yetu ya Ardhi ya Vijiji No. 5 ya mwaka 1999 will apply kwa mtu aliyetelekeza eneo lake kwa miaka 45, wale wavamizi wana haki fulani.
- Ikionekana madhara ya kuwaondoa wavamizi ni makubwa kuliko kuirejeshea SMZ eneo hilo, then kile kibali cha umiliki wa SMZ kinafutwa, wananchi wanapimiwa, na SMZ wanapewa eneo jingine, tuna mapori kibao ya kumwaga, hata wakitaka heka 10,000 wanapewa.
- Hii ya kuwagaiya wavamizi imefanyika sana kwenye maeneo ya jeshi na maeneo ya RTD, wavamizi wamepimiwa na kuhalalishiwa!.
Wakati wa kuumbika nchi, Zanzibar ilikuwa eneo la bara likamegeka kwa sea erosion, hivyo Visiwa vya Zanzibar ni sehemu halali ya Tanzania bara ndio maana dhima ya muungano wetu adhimu ni udugu, sisi ni ndugu moja, Waarabu walipokuja Zanzibar ile 1732 Sultan Seyyid Said alipohamoshia Sultanet take toka Oman kuja Zanzibar, aliwakuta wenyeji halisi ni Wahadimu, kutoka Bara, alivitwaa visiwa hivyo toka ukoo wa Mwinyimkuu, na waliompindua Sultan kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar ni wajukuu wa Mwinyimkuu wenye Zanzibar yao, ndio maana slogan ya Mapinduzi Daima ipo, na baada ya muungano tumekuwa kitu kimoja, ndio maana slogan ya muungano ni tutaulinda kwa gharama yoyote.
Miongoni mwa gharama hizo ni kumsamehe madeni, kumpa 4.5% ya fedha za mikopo na misaada, ajira na hata kumpa eneo lolote Wazanzibari watakalotaka.
Watanzania bara tujifunze kuwa na shukrani, tushukuru sana Zanzibar, ukanda wa eneo la maili 10 ya Pwani ya ya bahari ya hindi, lilikuwa eneo la Zanzibar, ikatugawia!, miji yote ya Pwani kuanzia Dar, Tanga, Bagamoyo imejengwa na Sultan of Zanzibar!.
Hata mjengo wa Ikulu ya Magogoni, imejengwa na Sultan of Zanzibar, hata ile replica ya Ikulu pale Chamwino ni mjengo wa Kiarabu!, mbona watu mnakosa shukrani kwa mambo mazuri kama haya, mnaona nongwa Zanzibar kumiliki eneo huku Bara!.
Mapinduzi Daima
Muungano Tutaulinda kwa gharama yoyote!.
Paskali.
nadhani muhimu ni kukaa na kufanya majadiliano tuEneo walilopewa ni ekari 6000, Zanzibar walishindwa kulitumia hata robo, likabaki kuwa pori tuu!. Hata serikali yetu ilipoamua kulimega kuwapa wawekezaji, serikali iliwaarifu SMZ, hawakuonyesha pingamizi yoyote, hivyo kuhesabiwa they are not interested. Hiyo Ranchi ya Makurunge imetumia kama 1/10 ya eneo!. Hekari 6,000 is huge!, eneo hilo ni theluthi ya Zanzibar!.
P
Kama unakiri serikali zote mbili zinafanya makosa kwenye hili jambo, kwanini usiseme ukweli kwamba wamekosea, badala yake nakuona unalazimisha waonekane hawana makosa.Hakuna mkanganyiko wowote wala hakuna chochote tumeficha, tatizo ni uelewa hafifu wa wananchi, ndio maana hapa naelimisha.
No sii kweli. Waziri anapewa majibu na wahusika na yote aliyojibu ni kweli tupu.
Ni kweli, ila kuna utaratibu wa serikali kutwaa maeneo, baada ya eneo hilo kupewa Zanzibar, na Zanzibar kulitelekeza, serikali ya JMT haikufuata utaratibu rasmi wa kulitwaa hilo eneo, serikali ilichofanya ni kuwajulisha Zanzibar kwa taarifa kuwa imelimega eneo lao kumpa mwekezaji lakini serikali haikufanya a due process kulitwaa eneo hilo, hivyo Zanzibar wako very right to claim eneo lao lore la ekari 6,000.
It's true ila wote wawili walivunja sheria, Zanzibar wame abandoned the land kwa miaka 45, serikali ikalimega bila kufuata taratibu.
Mimi niombe radhi kwa kosa gani?.
SMZ inalimiliki hilo eneo kihalali kabisa, ila baada ya kulitelekeza serikali yetu ika asume hawalitaki, ikalimega. Aliyepora ni serikali imepora eneo la Zanzibar na kuwapa wawekezaji.
P
Mbona hapa Mayala inaelekea kama umesema uwongo. Tunavyojua ni kwamba ikulu ya Magogoni ilijengwa na waingereza mwaka 1919 chini ya usimamizi wa Gavana Horace Byatt. Hata jiwe la msingi lililopo hapo Magogoni limeandikwa jina hilo la Horace Byatt.
Nyerere alimpa Jumbe eneo hilo bure ile 1971, kwenye the spirit of sisi ni nchi moja. Hivyo SMZ ilipewa kama eneo lao ndani ya Tanzania bara kama mtu au taasisi yoyote anavyoweza kumiliki Ardhi mahali popote. Kwa Zanzibar kumiliki eneo Tanzania bara, haimanishi kuwa eneo hilo ni sehemu ya Zanzibar!. Eneo hilo bado ni eneo la Tanzania bara mpaka mwisho wa dunia!.tunataka tujue alipewa Kama mwekezaji au ni nchi ndani ya nchi nyingine!!??
Basi sio vibaya , Hilo eneo lirudi serikalini (bara)kwa kuwa walipewa kwa matumizi ya ufugaji , ili iwe rahisi kwa wao ku suply nyama kwao zbar. nakwakuwa walishindwa hakuna haja liendelee kushikiliwa na zbar with no plofit , NOR utilization!! Halafu wananchi wa bagamoyo wanashida na ardhi , na Hata Kama. wakienda kutafuta maisha zbar hawaruhusiwi kwa sheria za zbar kumiliki ardhi huko, Basi si warudishiwe ardhi yao iwafae maishani!!??Nyerere alimpa Jumbe eneo hilo bure ile 1971, kwenye the spirit of sisi ni nchi moja. Hivyo SMZ ilipewa kama eneo lao ndani ya Tanzania bara kama mtu au taasisi yoyote anavyoweza kumiliki Ardhi mahali popote. Kwa Zanzibar kumiliki eneo Tanzania bara, haimanishi kuwa eneo hilo ni sehemu ya Zanzibar!. Eneo hilo bado ni eneo la Tanzania bara mpaka mwisho wa dunia!.
P
Ni ngumu sana kuelewaHakuna mkanganyiko wowote wala hakuna chochote tumeficha, tatizo ni uelewa hafifu wa wananchi, ndio maana hapa naelimisha.
No sii kweli. Waziri anapewa majibu na wahusika na yote aliyojibu ni kweli tupu.
Ni kweli, ila kuna utaratibu wa serikali kutwaa maeneo, baada ya eneo hilo kupewa Zanzibar, na Zanzibar kulitelekeza, serikali ya JMT haikufuata utaratibu rasmi wa kulitwaa hilo eneo, serikali ilichofanya ni kuwajulisha Zanzibar kwa taarifa kuwa imelimega eneo lao kumpa mwekezaji lakini serikali haikufanya a due process kulitwaa eneo hilo, hivyo Zanzibar wako very right to claim eneo lao lore la ekari 6,000.
It's true ila wote wawili walivunja sheria, Zanzibar wame abandoned the land kwa miaka 45, serikali ikalimega bila kufuata taratibu.
Mimi niombe radhi kwa kosa gani?.
SMZ inalimiliki hilo eneo kihalali kabisa, ila baada ya kulitelekeza serikali yetu ika asume hawalitaki, ikalimega. Aliyepora ni serikali imepora eneo la Zanzibar na kuwapa wawekezaji.
P
It's true ndio maana serikali yetu iliishalimega hilo eneo kuwamegea wawekezaji.Basi sio vibaya , Hilo eneo lirudi serikalini (bara)kwa kuwa walipewa kwa matumizi ya ufugaji , ili iwe rahisi kwa wao ku suply nyama kwao zbar. nakwakuwa walishindwa hakuna haja liendelee kushikiliwa na zbar with no plofit , NOR utilization!!
Ni kweli na hili ndio linakwenda kutimizwa kwa SMZ kufutiwa kibali chao, maana hawana hati ya umiliki, na eneo hilo kukabidhiwa kwa halmashauri, kuwagawia wananchi.Halafu wananchi wa bagamoyo wanashida na ardhi , na Hata Kama. wakienda kutafuta maisha zbar hawaruhusiwi kwa sheria za zbar kumiliki ardhi huko, Basi si warudishiwe ardhi yao iwafae maishani!!??
Ni kweli kwasababu Tanzania bara na Tanzania Visiwani hazilingani!. Zanzibar ni the minority, siku zote the minority are favoured.Huu muungano ni kichomi !! Na anaeumia ni Tanzania asili na sio wa zbar, 90% huu muungano unawa farvour wa zbar na sio watanzania (bara).
Ni kweli, ila hata kama hawapendi kujitambulisha kama Watanzania, the facts ni Watanzania, hakuna mtu yoyote duniani anayetambulika kimataifa kama Mzanzibari, kwasababu Zanzibar sio nchi, Zanzibar ni sehemu ya JMT, tuna uraia mmoja tuu, uraia wa JMT.Hata hivyo wa Zanzibar wakiwa ughaibuni hawapendi kujitambulisha wao ni watanzania !!
TrueMuungano huu ni very bias.
Umesahau miaka ya nyuma wafungwa walikuwa wanatoka zenjiEneo walilopewa ni ekari 6000, Zanzibar walishindwa kulitumia hata robo, likabaki kuwa pori tuu!. Hata serikali yetu ilipoamua kulimega kuwapa wawekezaji, serikali iliwaarifu SMZ, hawakuonyesha pingamizi yoyote, hivyo kuhesabiwa they are not interested. Hiyo Ranchi ya Makurunge imetumia kama 1/10 ya eneo!. Hekari 6,000 is huge!, eneo hilo ni theluthi ya Zanzibar!.
P
Ni kweli Watanzania walio wengi ni wazito sana kuelewa hata vitu vidogo tuu vya kawaida.Ni ngumu sana kuelewa
Wao wanafikiri jambo hilo limeanza leo
Ova
Tanzania bara yenyewe inasemekanaNyerere alimpa Jumbe eneo hilo bure ile 1971, kwenye the spirit of sisi ni nchi moja. Hivyo SMZ ilipewa kama eneo lao ndani ya Tanzania bara kama mtu au taasisi yoyote anavyoweza kumiliki Ardhi mahali popote. Kwa Zanzibar kumiliki eneo Tanzania bara, haimanishi kuwa eneo hilo ni sehemu ya Zanzibar!. Eneo hilo bado ni eneo la Tanzania bara mpaka mwisho wa dunia!.
P