Wabara ondoeni shaka, ardhi ya SMZ Bagamoyo si sehemu ya Zanzibar. SMZ haina hati; limetelekezwa miaka 45 ila Zanzibar inamiliki kihalali

OK! Kwa kuwa hawana Hati Milki ya Ardhi hiyo, binafsi nimeridhika! Hata Muungano ukivunjika eneo hilo linabaki ni eneo la Bara.
 
Kila nikirudia kusoma majibu ya hao mawaziri wawili, nikitazama na kichwa chako cha habari, naona kuna mkanganyiko mkubwa, wote watatu kuna jambo mnaficha, na maelezo yenu hayajitoshelezi.

Huyo Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi akijibu swali hilo 2014 alionesha wazi hakustahili kuwepo kwenye hiyo nafasi, alikuwa hajui chochote kinacholihusu hilo shamba, yani alikuwa analipwa mshahara wa bure tu.

Majibu ya nyongeza ya Waziri nayo yana ukakasi, kwanza tunajua, ardhi isiyotumika kwa muda fulani kisheria isipotumika inachukuliwa na serikali, lakini kwa hii ya huko Bagamoyo, serikali badala ya kuichukua, wakaimega, nusu ikabaki kwa Wazanzibari, nyingine ikapelekwa kwa wawekezaji, hapa tayari kwa maoni yangu walivunja sheria.

Nikimalizia na kile ulichoandika Mayalla, wewe ndio unatakiwa utuombe radhi kabisa, hilo shamba hata kama serikali haina hati, limetelekezwa miaka 45, lakini bado kupitia majibu ya Waziri hapo juu tumeona kuna portion ya ardhi bado wazanzibari wanaimiliki, sasa kwanini wazanzibari waimiliki hiyo ardhi isivyo halali? wametupora?! if yes, basi serikali yetu Bara imeridhia huo uporwaji.
Yaani hapa ndio ilitakiwa watanzania waende wakanikatie maeneo maana eneo limetelekezwa Kwa mda mrefu Sasa hivyo wavamizi Wana uhalali
 
Zanzibar haimiiki eneo hilo kama mwekezaji, Zanzibar inamiliki eneo hilo kama taasisi nyingine yoyote ya Tanzania ambayo inaruhusiwa kumiliki Ardhi. Mtu au taasisi yoyote pia inaweza kumiiki Ardhi kwa ajili ya uwekezaji.

Eneo hilo ni eneo la Tanzania bara, sio sehemu ya Zanzibar.

Eneo hilo sio sehemu ya Zanzibar.

Zanzibar haikupewa kwa ajili ya uwekezaji, Zanzibar ilipewa kwa ajili ya Ranchi ya Makurunge kuhifadhi wanyama wake.

Yes nchi moja inaweza kuwa na eneo nchi nyingine, Guantanamo Bay ni eneo la Marekani ndani ya Cuba. Visiwa vya Falkland ni eneo la Uingereza ndani ya Argentina. Vatican City ni mji Mtakatifu wa Katoliki ndani ya Italy. Nchi za Swaziland na Lesotho, ziko ndani ya Africa Kusini.

Ni kweli kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari, haki ya umiliki wa Ardhi Zanzibar ni kwa Wanzanzibari pekee, ila Mtanzania anaweza kumiliki ardhi Zanzibar kama mwekezaji.

Hakuna confusion yoyote!.
P
Katoliki kumbe nayo ni nchi?
 
Hakuna mkanganyiko wowote wala hakuna chochote tumeficha, tatizo ni uelewa hafifu wa wananchi, ndio maana hapa naelimisha.

No sii kweli. Waziri anapewa majibu na wahusika na yote aliyojibu ni kweli tupu.

Ni kweli, ila kuna utaratibu wa serikali kutwaa maeneo, baada ya eneo hilo kupewa Zanzibar, na Zanzibar kulitelekeza, serikali ya JMT haikufuata utaratibu rasmi wa kulitwaa hilo eneo, serikali ilichofanya ni kuwajulisha Zanzibar kwa taarifa kuwa imelimega eneo lao kumpa mwekezaji lakini serikali haikufanya a due process kulitwaa eneo hilo, hivyo Zanzibar wako very right to claim eneo lao lore la ekari 6,000.

It's true ila wote wawili walivunja sheria, Zanzibar wame abandoned the land kwa miaka 45, serikali ikalimega bila kufuata taratibu.

Mimi niombe radhi kwa kosa gani?.

SMZ inalimiliki hilo eneo kihalali kabisa, ila baada ya kulitelekeza serikali yetu ika asume hawalitaki, ikalimega. Aliyepora ni serikali imepora eneo la Zanzibar na kuwapa wawekezaji.
P
Pascal sheria inasemaje unapotelekeza eneo? Tujikite hapa
 
Kiukweli Peno, watu tunadharauliana sana humu!. Mimi nikiwa New Delhi, niliajiriwa CFO kama LE-1, nikawa posted BHC Dar es Salaam, take home ni 7 figure!, niliacha mwenyewe voluntarily na kuwa busy na PPR, sasa mtu kunifikiria nautafuta u DC ni kama kunitukana!.
P
P kumbuka 7 figure inaanzia Millioni Moja Kwa hizi pesa zetu za madafu
 
Hapa Paskali unaweza kutuweke proof? Dhana ya kwamba Unguja/Pemba zilikuwa Part ya Ardhi ya Tanganyika before erosion au ndiyo Elimu ya kukariri "Big Bang Theory"?
No sio the Big Bang Theory!, ni the Tectonic theory, it's very unfortunately kwenye mitaala ya elimu yetu, hakuna topic ya Tectonic!. Mimi mwenyewe nimesoma HGL, kwenye vitabu vya physical geography, topic ya Tectonic ipo ila haifundishwi, hivyo Watanzania wala Wazanzibari hawajui inchi yao iliumbika vipi na ilimegeka kutokea wapi.

Karibu ujiongezee maarifa kuhusu tectonics

Plate Tectonics​

Plate tectonics is the study of the lithosphere, the outer portion of the Earth consisting of the crust and part of the upper mantle. The lithosphere is divided into about a dozen large plates which move and interact with one another to create earthquakes, mountain ranges, volcanic activity, ocean trenches and many other features. Continents and ocean basins are moved and changed in shape as a result of these plate movements.
pangea-continental-drift.gif

Na kinachofuata miaka milioni ijayo ni hiki
Africa 750.jpg

Kazi ya kumegeka inaendelea and no one can do anything!.
Visiwa vitazama kwa kuzidiwa na nini?
Hayo ya visiwa kuzidiwa na kuzama, ni haya na yale ya Pasco, ila sometimes kwa watu wazito kuelewa unaweza kujikuta unaitwa mahali kuhojiwa!. Kwenye lile bandiko langu humu kuhusu Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? kuna line nilisema "Baadhi ya Wabunge wa viti maalum, wako pale kutimiza tuu yale mahitaji ya kijamii ya kibinaadamu", Spika alikuja juu!, nilipoitwa Dodoma kuhojiwa na kama kamati, niliwafafanulia. Kuna baadhi ya hoja zangu naziwasilisha kwa kutumia tamathali za semi, mfano bandiko hili Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile! watu walishtuka!. Hata nilipopandisha bandiko hili Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? Wanzanzibari walikuja juu kuuliza kwenye hii ndoa ya muungano, nani mke nani mume?, nikawaambia mke ni aliyeposwa, mume ni aliyelipa mahari, mume ni anayechuma, mke ni golikipa anayepokea!.
Hiyo erosion ilitokeaje? Hivi unajua kwamba maji yakitoka ardhi ya Unguja/Pemba kuja Tanga/Dsm ni flat tu wala hakuna bonde? Na yakijaa unaweza kuzamisha hata minazi mitatu kwenda chini?
Hili kiukweli silijui, ninachojua ni Zanzibar ilikuwa sehemu ya Tanganyika, ikamegeka!. Mwarabu akavamia visiwa vyetu, akajifanya ni vyake, mwaka 1964, wanamume wakaingia kazini kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakaikomboa nchi yao, hivyo Mapinduzi Daima, na muungano wetu huu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
 
Kwani wewe ni msemaji wa SMZ?
Watu lazima mjifunze kusoma authority!. Bandiko hili limeanza kwa a very high authority!. Taarifa ya Zanzibar kumiliki eka 6,000 Bagamoyo imetolewa na Mkuu wa Kitengo, data za bandiko hili zimetolewa kwenye Mhimili!.
P
 
No sio the Big Bang Theory!, ni the Tectonic theory, it's very unfortunately kwenye mitaala ya elimu yetu, hakuna topic ya Tectonic!. Mimi mwenyewe nimesoma HGL, kwenye vitabu vya physical geography, topic ya Tectonic ipo ila haifundishwi, hivyo Watanzania wala Wazanzibari hawajui inchi yao iliumbika vipi na ilimegeka kutokea wapi.

Karibu ujiongezee maarifa kuhusu tectonics

Plate Tectonics​

Plate tectonics is the study of the lithosphere, the outer portion of the Earth consisting of the crust and part of the upper mantle. The lithosphere is divided into about a dozen large plates which move and interact with one another to create earthquakes, mountain ranges, volcanic activity, ocean trenches and many other features. Continents and ocean basins are moved and changed in shape as a result of these plate movements. View attachment 2647512
Na kinachofuata miaka milioni ijayo ni hiki View attachment 2647517
Kazi ya kumegeka inaendelea and no one can do anything!.

Hayo ya visiwa kuzidiwa na kuzama, ni haya na yale ya Pasco, ila sometimes kwa watu wazito kuelewa unaweza kujikuta unaitwa mahali kuhojiwa!. Kwenye lile bandiko langu humu kuhusu Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? kuna line nilisema "Baadhi ya Wabunge wa viti maalum, wako pale kutimiza tuu yale mahitaji ya kijamii ya kibinaadamu", Spika alikuja juu!, nilipoitwa Dodoma kuhojiwa na kama kamati, niliwafafanulia. Kuna baadhi ya hoja zangu naziwasilisha kwa kutumia tamathali za semi, mfano bandiko hili Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile! watu walishtuka!. Hata nilipopandisha bandiko hili Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? Wanzanzibari walikuja juu kuuliza kwenye hii ndoa ya muungano, nani mke nani mume?, nikawaambia mke ni aliyeposwa, mume ni aliyelipa mahari, mume ni anayechuma, mke ni golikipa anayepokea!.

Hili kiukweli silijui, ninachojua ni Zanzibar ilikuwa sehemu ya Tanganyika, ikamegeka!. Mwarabu akavamia visiwa vyetu, akajifanya ni vyake, mwaka 1964, wanamume wakaingia kazini kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakaikomboa nchi yao, hivyo Mapinduzi Daima, na muungano wetu huu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P

Shukrani Paskali kwa Elimu ya Tectonic plate na tamathali za semi 😀 😀.
 
Katoliki kumbe nayo ni nchi?
Vatican ina serikali inaitwa Holy See, inaendeshwa na Theokrasia badala ya Demokrasia.

Ila hakuna nchi inaitwa Swaziland, kuna Eswatini. Lesotho na Eswatini ni falme na jamhuri (kwa mtiririko huo) kamili zinazotambuliwa na Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Madola, SADC na AU. Mfano huu haufiti kwenye hoja.

Vatican, Taiwan, Tibet na Kosovo ndizo nchi pekee zisizotambuliwa na UN kati ya nchi 197 za dunia hii. Kosovo, Taiwan na Tibet zinashiriki UN kama watazamaji tu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
No sio the Big Bang Theory!, ni the Tectonic theory, it's very unfortunately kwenye mitaala ya elimu yetu, hakuna topic ya Tectonic!. Mimi mwenyewe nimesoma HGL, kwenye vitabu vya physical geography, topic ya Tectonic ipo ila haifundishwi, hivyo Watanzania wala Wazanzibari hawajui inchi yao iliumbika vipi na ilimegeka kutokea wapi.

Karibu ujiongezee maarifa kuhusu tectonics

Plate Tectonics​

Plate tectonics is the study of the lithosphere, the outer portion of the Earth consisting of the crust and part of the upper mantle. The lithosphere is divided into about a dozen large plates which move and interact with one another to create earthquakes, mountain ranges, volcanic activity, ocean trenches and many other features. Continents and ocean basins are moved and changed in shape as a result of these plate movements. View attachment 2647512
Na kinachofuata miaka milioni ijayo ni hiki View attachment 2647517
Kazi ya kumegeka inaendelea and no one can do anything!.

Hayo ya visiwa kuzidiwa na kuzama, ni haya na yale ya Pasco, ila sometimes kwa watu wazito kuelewa unaweza kujikuta unaitwa mahali kuhojiwa!. Kwenye lile bandiko langu humu kuhusu Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? kuna line nilisema "Baadhi ya Wabunge wa viti maalum, wako pale kutimiza tuu yale mahitaji ya kijamii ya kibinaadamu", Spika alikuja juu!, nilipoitwa Dodoma kuhojiwa na kama kamati, niliwafafanulia. Kuna baadhi ya hoja zangu naziwasilisha kwa kutumia tamathali za semi, mfano bandiko hili Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile! watu walishtuka!. Hata nilipopandisha bandiko hili Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? Wanzanzibari walikuja juu kuuliza kwenye hii ndoa ya muungano, nani mke nani mume?, nikawaambia mke ni aliyeposwa, mume ni aliyelipa mahari, mume ni anayechuma, mke ni golikipa anayepokea!.

Hili kiukweli silijui, ninachojua ni Zanzibar ilikuwa sehemu ya Tanganyika, ikamegeka!. Mwarabu akavamia visiwa vyetu, akajifanya ni vyake, mwaka 1964, wanamume wakaingia kazini kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakaikomboa nchi yao, hivyo Mapinduzi Daima, na muungano wetu huu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P
PM

Kijiolojia na kama muungano utadumu, Znz ina kila sababu ya kupewa ardhi bara ili isipotee na ikipotea basi hakuna muungano tena maana Znz haitakuwepo kwy atlas ya dunia, itabidi Tanganyika irudishwe.

Wanajiolojia na wanameteorolojia wameridhika kwamba ifikapo mwaka 2100 visiwa vyote vya Znz na Mafia vitazama (vitaliwa na maji na kwisha kabisa), bado miaka 77 tu ambayo ni muda mfupi sana kuanzia hapa 2023. https://allafrica.com/stories/200805120694.html

Kujipanga na tukio hilo lililo karibu sana kutukia na kukata mzizi wa mgogoro kuhusu ardhi kati ya Znz na bara napendekeza serikali ya SMZ izindue mpango mkakati wa land fill au ocean reclamation ambao umeokoa UAE iliyoelemewa na population.

SMZ itafute uwezo wa kutekeleza mradi huu wa land fill na ikibidi iombe UN iiongezee eneo la bahari ya kimataifa ili kutanua mpaka wake.

Kwa njia hii mgogoro unaodhaniwa kuwepo wa Znz kuchukuwa ardhi ya bara utaisha asilani na hata Wabara wengi watahamia Znz kununua hiyo ardhi ya land fill.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ardhi ya Zanzibar ni ardhi ya muungano interns of composition, ila in terms of kumiliki ardhi, sio ardhi ya muungano, ni ardhi ya Wanzanzibari wakaazi tuu, Watanzania wanahesabika ni kama wageni, hivyo wanaweza kumiliki ardhi kama wawekezaji.

Yes, ardhi ya bara ni ardhi ya muungano, kila Mtanzania yuko huru kumiliki.

Sio yote mawili sio, ni moja sio na moja ndio.

Ardhi ya muungano ni ardhi yote ya Tanzania bara, iliyokuwa Tanganyika na ardhi ya Zanzibar ila cha wote ni ardhi ya Tanzania bara, ya Zanzibar ni kwa Wanzanzibari.

Muungano wetu ni muungano unique wenye nchi mbili zilizoungana kuunda nchi moja ya JMT, yenye sehemu mbili, ardhi ya JMT ni adhi yote ya Tanzania bara na Tanzania Visiwani ila kwenye umiliki ardhi ya muungano ni ardhi ya Tanzania bara ndio inamilikiwa na wote wakiwemo Wazanzibari lakini ardhi ya Zanzibar ni kwa Wanzanzibari pekee!.

Ni mawazo mazuri, mchakato wa katiba mpya ukianza, yapeleke.

Asante kunistua.
P
PM

Majibu yako yatapandisha watu pressure humu na kudondoka. Majibu yako yanaibua kero mpya ya muungano. Fanya mpango na media wadau twende kwenye mdahalo mubashara, huenda tukasikika zaidi ya humu jamvini.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mbona mafuta walikataa kwamba siyo ya muungano wakati sisi tukiuza rasilimali za bara wanapata 4.5%? Rasilimali za muungano ni zipi kumbe? Nauliza kwa nia ya kujifunza.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Tulipoungana kwa mujibu wa hati za muungano, tulikuwa na mambo 11 tuu ya muungano, hati zikatamka sheria, taratibu na kanuni za kuongeza au kupunguza jambo lolote la muungano.
Mambo 11 original ya muungano ni haya

a) Katiba na Serikali ya Jamhuri ya Muungano
b) Mambo ya nchi za nje
c) Ulinzi
d) Polisi
e) Mamlaka yanayohusika na hali ya hatari
f) Uraia
g) Uhamiaji
h) Mikopo na biashara ya nchi za nje
i) Utumishi katika Jamhuri ya Muungano.
j) Kodi ya mapato inayolipwa na watu binafsi na mashirika, ushuru wa forodha na ushuru wa bidhaa zinazotengenezwa nchini na kusimamiwa na idara ya forodha
k) Bandari, mambo yanayohusu usafiri wa anga, Posta na Simu

Sisi tukayaongeza kutoka 11 mpaka 22 bila kufuata ule utaratibu rasmi. Kwa vile ardhi sio jambo la muungano, macao ya ardhi hayakupaswa kuwa mambo ya muungano. Gesi na mafuta ni miongoni mwa mambo yaliyoingizwa kuwa ya muungano kinyume cha utaratibu na ni miongoni mwa kero za muungano.

Karume akamuomba Kikwete tuyaondoe, tukayaondoa vile vile tulivyoyaingiza.

Hoja ya rasilimali za muungano ni changamoto, ndio maana mfuko wa pamoja wa fedha, umeishaundwa ila is not functioning!. Dawa pekee ya hili ni serikali moja au serikali 3. Mimi ni mtu wa Nyerere, ni muumini wa serikali moja, hivyo tunakuwa ni nchi moja, chini ya serikali moja na rais mmoja Kama kweli nia ya dhati ni kuimarisha Muungano, then "Twende kwenye Serikali Moja!"
P
 
Zanzibar haimiiki eneo hilo kama mwekezaji, Zanzibar inamiliki eneo hilo kama taasisi nyingine yoyote ya Tanzania ambayo inaruhusiwa kumiliki Ardhi. Mtu au taasisi yoyote pia inaweza kumiiki Ardhi kwa ajili ya uwekezaji.

Eneo hilo ni eneo la Tanzania bara, sio sehemu ya Zanzibar.

Eneo hilo sio sehemu ya Zanzibar.

Zanzibar haikupewa kwa ajili ya uwekezaji, Zanzibar ilipewa kwa ajili ya Ranchi ya Makurunge kuhifadhi wanyama wake.

Yes nchi moja inaweza kuwa na eneo nchi nyingine, Guantanamo Bay ni eneo la Marekani ndani ya Cuba. Visiwa vya Falkland ni eneo la Uingereza ndani ya Argentina. Vatican City ni mji Mtakatifu wa Katoliki ndani ya Italy. Nchi za Swaziland na Lesotho, ziko ndani ya Africa Kusini.

Ni kweli kwasababu kila Mzanzibari ni Mtanzania, lakini sio kila Mtanzania ni Mzanzibari, haki ya umiliki wa Ardhi Zanzibar ni kwa Wanzanzibari pekee, ila Mtanzania anaweza kumiliki ardhi Zanzibar kama mwekezaji.

Hakuna confusion yoyote!.
P

[emoji1635]
 
Kujipanga na tukio hilo lililo karibu sana kutukia na kukata mzizi wa mgogoro kuhusu ardhi kati ya Znz na bara napendekeza serikali ya SMZ izindue mpango mkakati wa land fill au ocean reclamation ambao umeokoa UAE iliyoelemewa na population.
Naunga mkono hoja.
SMZ itafute uwezo wa kutekeleza mradi huu wa land fill na ikibidi iombe UN iiongezee eneo la bahari ya kimataifa ili kutanua mpaka wake.
Hakuhitajiki ombi lolote UN kufanya land fill,
ile hoteli ya Bakhresa Zanzibar imejengwa kwenye landfill. Kwa kadri tunavyo fanya landfill, mpaka wetu wa bahari unasogea automatically to the standard of 10 nautical miles.
Kwa njia hii mgogoro unaodhaniwa kuwepo wa Znz kuchukuwa ardhi ya bara utaisha asilani na hata Wabara wengi watahamia Znz kununua hiyo ardhi ya land fill.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Naunga mkono hoja
P
 
Back
Top Bottom