No sio the Big Bang Theory!, ni the Tectonic theory, it's very unfortunately kwenye mitaala ya elimu yetu, hakuna topic ya Tectonic!. Mimi mwenyewe nimesoma HGL, kwenye vitabu vya physical geography, topic ya Tectonic ipo ila haifundishwi, hivyo Watanzania wala Wazanzibari hawajui inchi yao iliumbika vipi na ilimegeka kutokea wapi.
Karibu ujiongezee maarifa kuhusu tectonics
Plate Tectonics
Plate tectonics is the study of the lithosphere, the outer portion of the Earth consisting of the crust and part of the upper mantle. The lithosphere is divided into about a dozen large plates which move and interact with one another to create earthquakes, mountain ranges, volcanic activity, ocean trenches and many other features. Continents and ocean basins are moved and changed in shape as a result of these plate movements.
View attachment 2647512
Na kinachofuata miaka milioni ijayo ni hiki
View attachment 2647517
Kazi ya kumegeka inaendelea and no one can do anything!.
Hayo ya visiwa kuzidiwa na kuzama, ni haya na yale ya Pasco, ila sometimes kwa watu wazito kuelewa unaweza kujikuta unaitwa mahali kuhojiwa!. Kwenye lile bandiko langu humu kuhusu
Wabunge Wetu wa Ajabu!, Wanaachaje Bunge Lijipendekeze Kwa Serikali!, Wanajua Wajibu Wao?. Check 'n' Balance Itoke Wapi? kuna line nilisema "Baadhi ya Wabunge wa viti maalum, wako pale kutimiza tuu yale mahitaji ya kijamii ya kibinaadamu", Spika alikuja juu!, nilipoitwa Dodoma kuhojiwa na kama kamati, niliwafafanulia. Kuna baadhi ya hoja zangu naziwasilisha kwa kutumia tamathali za semi, mfano bandiko hili
Tahadhari ya hatari: CCM Imepania Kufanya Kinyume cha Maumbile! watu walishtuka!. Hata nilipopandisha bandiko hili
Tangu lini Mke Ndani Ya Ndoa Akaomba Uhuru ili Kutoka Nje Ya Ndoa? Aruhusiwe? Wanzanzibari walikuja juu kuuliza kwenye hii ndoa ya muungano, nani mke nani mume?, nikawaambia mke ni aliyeposwa, mume ni aliyelipa mahari, mume ni anayechuma, mke ni golikipa anayepokea!.
Hili kiukweli silijui, ninachojua ni Zanzibar ilikuwa sehemu ya Tanganyika, ikamegeka!. Mwarabu akavamia visiwa vyetu, akajifanya ni vyake, mwaka 1964, wanamume wakaingia kazini kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wakaikomboa nchi yao, hivyo Mapinduzi Daima, na muungano wetu huu adhimu tutaulinda kwa gharama yoyote!.
P