Wabobezi wa Nyoka huyu ni Nyoka aina gani na ana Sifa zipi na je, ukitaka Kumuua unafanyeje?

Kifutu kama sijakosea.Wengi ni wapole tofauti na jamii nyingine ambao wanajihami kabla ya kushambuliwa.Kuna siku nimeona watu wa mazingira wanamkamata kumpeleka sehemu yake husika hakuwa na noma.

Nyoka maarufu sana 824 KJ.Dodoma pia wapo kiasi chake
 
Kifutu huyo,

Utapata msiba wa mtu muhimu sana kwenye familia, au kwa jamaa zako,, kiufupi kabisa kwa imani zetu za kiafrika ukiona kifutu ujue huo ni msiba live bila chenga,

Mwaka niliompoteza baba yangu nilimuona huyo nyoka na tulimuua ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na mwisho mpaka sasa sijawahi kumuona,,,
 
Kafa baada ya kupigwa Risasi 15 ambazo Risasi 13 hazikufua dafu, ila Risasi 2 alizopigwa Shingoni na Jichoni ndizo zimemuua.

View attachment 3469286

Una maanisha nini kusema risasi 13 hazikufua dafu? Buddy you are so dramatic!
Anamaanisha Wakili Nguli TAL Amesurvive Risasi 13

Ila Hizo Mbili ni Mawakili wa2 wa Serekali, Katuga na Mrema.

Wamemfanyia Figisu na Kumshinda Kesi Kimagumashi.

So Ikabidi Ahukumiwe Kunyongwa huku Amefungwa Macho.

Disclaimer : Siyo Kweli na wala haitakuja Kutokea So Msipaniki just Kuendana na Thread ya Mtoa Mada tu.
 
Isije kuwa wewe ndiye ndatungwa tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…