Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kwann mkuu 😂Mbaga huwa nawe kama Jo!
Kwann mkuu 😂Mbaga huwa nawe kama Jo!
Husomeki someki,ndege au popo?Kwann mkuu 😂
Mm sina chama mkuu, sio ccm wala sio chadema.Husomeki someki,ndege au popo?
Na kwanini Kichwani ndiyo sehemu yake Kuu kumuua' ila Kwingineko ukimpiga unapoteza muda wako tu?Kifutu huyo piga kichwa
Wapi huyo cha mtoto mbele ya koboko aka black mambaPuffadder nyoka mtata sana huyo mpaka sasa ndo anahusika na vifo vingi vya watu africa....sumu yake inaharibu missuli na tissue za binadamu
Natejemea kusikia napo kutoka kwa Jo.Mm sina chama mkuu, sio ccm wala sio chadema.
Mm naongea nachoona n sahihi bila kuleta uchama mana mm sina chama.
Risasi haijatumika. Amekatwa kichwa na kitu chenye makaliSasa huyu kifutu ni wakutumia risasi kweli!
Nategemea nawe utakuwa shahidi kwani ulikuwepo!Risasi haijatumika. Amekatwa kichwa na kitu chenye makali
Pengine wewe ungetumia nini mkuu kumuua huyu kifutu!?Sasa huyu kifutu ni wakutumia risasi kweli!
Unakamata shingo yake tuu,basi,hana maajabu,wala Mwajabu!Pengine wewe ungetumia nini mkuu kumua huyu kifutu!? Kalio ama?!
sijajua ila kosa umkanyage mkiani umeisha eye hata ukimkanyaga tumboni wala hakudhuruNa kwanini Kichwani ndiyo sehemu yake Kuu kumuua' ila Kwingineko ukimpiga unapoteza muda wako tu?
Vipi shingoni?sijajua ila kosa umkanyage mkiani umeisha eye hata ukimkanyaga tumboni wala hakudhuru
Kumkanyaga maeneo ya shingo ni ngumu sana hua anakwepesha sana kichwa na mkia ila tumbo analiachaga tuVipi shingoni?
Hilo tatizo halijaanzia kwa nyoka tu.. kuguswa mkia tu na kucharuka,....kwa binadamu ndio hatari zaidi! ...ukitaka shida mguse mwanaume mwenzio mkia (kalio) uone moto!sijajua ila kosa umkanyage mkiani umeisha eye hata ukimkanyaga tumboni wala hakudhuru
Achana na simu za kutoka GuangzhouNategemea nawe utakuwa shahidi kwani ulikuwepo!