Guru Dev
JF-Expert Member
- Jun 25, 2025
- 487
- 680
Hakuna kitu cha hivyo😃😃Kifutu huyo,
Utapata msiba wa mtu muhimu sana kwenye familia, au kwa jamaa zako,, kiufupi kabisa kwa imani zetu za kiafrika ukiona kifutu ujue huo ni msiba live bila chenga,
Mwaka niliompoteza baba yangu nilimuona huyo nyoka na tulimuua ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na mwisho mpaka sasa sijawahi kumuona,,,