Wabobezi wa Nyoka huyu ni Nyoka aina gani na ana Sifa zipi na je, ukitaka Kumuua unafanyeje?

Kifutu huyo,

Utapata msiba wa mtu muhimu sana kwenye familia, au kwa jamaa zako,, kiufupi kabisa kwa imani zetu za kiafrika ukiona kifutu ujue huo ni msiba live bila chenga,

Mwaka niliompoteza baba yangu nilimuona huyo nyoka na tulimuua ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na mwisho mpaka sasa sijawahi kumuona,,,
Mimi ukoo wetu ungekuwa ushaisha kama ndo hivyo.

Enzi nachunga ilikuwa karibia kila siku tunaqaona sio watoto wao au wakubwa.

Uzuri hawana shisa kabisa hadi umkanyage pamoja na wingi wao wote hakuna niliyemushuhudia kang'atwa nae!!

Ni wapolee sana wale viumbe.
 
Kifutu huyo,

Utapata msiba wa mtu muhimu sana kwenye familia, au kwa jamaa zako,, kiufupi kabisa kwa imani zetu za kiafrika ukiona kifutu ujue huo ni msiba live bila chenga,

Mwaka niliompoteza baba yangu nilimuona huyo nyoka na tulimuua ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza na mwisho mpaka sasa sijawahi kumuona,,,
Hizi ni mythology mara ukiona paka Wana sex... Mara wale duduwasha inabidii uwaue.. mara nyungu nyungu kwaio myth zipo nyingi..

Mara bundii akilia mkiwa na mgonjwa ndanii anaweza kuwatoka.

NB.Mara mapaka yakiwa yanalalamika na kunun'gunika kwa vilio jua Kuna msibaa..

Mwaka juzii jirani yangu mpaka yalilia sana dirishani kwake na kuzunguka NYUMBA zetuu aiseeee kua uyaonee jamaa alifariki ndani mwake ilinishangazaa SANAAAAAA.
 
Kuna jamaa mmoja humu aliwahi ona vifutu 2 jike na dume, baada ya siku kadhaa walipata msiba wa uncle zake mapacha,
 
Hizi mythology zipo kimakabila kabila,

Haya mambo yapo kwenye ulimwengu wa Roho zaidii..

Mimi pia alfajir nimeota ndoto inanifikirishaa mpaka nikasema si niamke TU kwanini ndoto initese..
 
Ndoto gani tena,,

Kama ulivyosema ipo kiroho zaidi kwahiyo inaweza kufanya kazi kwa huyu na isifanye kwa yule,
 
Hizi ni mythology mara ukiona paka Wana sex... Mara wale duduwasha inabidii uwaue.. mara nyungu nyungu kwaio myth zipo nyingi..

Mara bundii akilia mkiwa na mgonjwa ndanii anaweza kuwatoka.

NB.Mara mapaka yakiwa yanalalamika na kunun'gunika kwa vilio jua Kuna msibaa..

Mwaka juzii jirani yangu mpaka yalilia sana dirishani kwake na kuzunguka NYUMBA zetuu aiseeee kua uyaonee jamaa alifariki ndani mwake ilinishangazaa SANAAAAAA.
Mwingine anakwambia ukimuona Paka mweusin anakatiza mbele Yako basi huko unapoenda ni mikosi mitupu 🤣🤣🤣 ujinga ujinga tu hawajui hata huyo Paka Yuko na mishe mishe zake tu kama wewe
 
🤣🤣🤣
Mimi sipendi MBWA 🙌 Sasa nipo na ma German shepherd mawili UJASIRII nikauvaa sijakimbia nipo NAYO mala liniguse na mkia mara linisogelee karibu hofu woga yaan ilikua kaka real vile Mimi najikaza nayakwepa napanda juu ya mtii yananifuata naruka kuta nakutana nayo aisee nikasema usinichezee hii ni ndoto Nika quit ,😊😊😊😊
 
Mwingine anakwambia ukimuona Paka mweusin anakatiza mbele Yako basi huko unapoenda ni mikosi mitupu 🤣🤣🤣 ujinga ujinga tu hawajui hata huyo Paka Yuko na mishe mishe zake tu kama wewe
Kaka very true aliwazalo mjinga ndilo litakalo mtokea by wahenga 😊😊
 
Acheni kuvamia makazi ya viumbe na kuwafanyia mauaji!
🤔
Hapo ukute ana familia mke na watoto wanamtegemea baba kaenda kutafuta riziki halafu wewe umemkata kichwa 🤔
Ubinafsi wa hali ya juu sana , sijui nan kamwambia binadamu yeye ni special kwenye hii sayari kuliko viumbe wengine🤔
 
Puffadder nyoka mtata sana huyo mpaka sasa ndo anahusika na vifo vingi vya watu africa....sumu yake inaharibu missuli na tissue za binadamu
Kwa kiswahili ni kifutu, ana meno mawili marefu na hayang'ooki hivo anauwezo wa kung'ata maranyingi awezavyo. Nyoka mpole sana ila anasumu kalisana na ndio anaongoza kwa kuuwa watu wengi hasa Afrika ya jangwa la sahara. Huwa anatoa tahadhari kabla hajavamia.
 
Back
Top Bottom