Wabobezi wa Nyoka huyu ni Nyoka aina gani na ana Sifa zipi na je, ukitaka Kumuua unafanyeje?

Mbili tu hadi sasa zipo kwa uti mgongo na yupo mahakamani anadunda
 
Kama sio lugha ya picha acha uongo risasi 13 Kwa nyoka? Mimi Kwa uzoefu wangu nampiga tatu nikiwa closed eyes alimradi niangalie kwanza location yake acha uongo mnyarwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…