Wabongo Hawatumii Consultants vizuri ndio maana wengi wanafeli kwenye biashara

K

Ndio hujui uliuliza kwanini Consultant wewe hun Biashara hapa maanayake hujui tofauti ya Mentor na Consultant.

Swali langu huenda halikueleweka..lakini mentor na consultant ni vitu tofauti
 
Unajua ni vitu viwili ila kwenye kuvitofautisha umeshindwa sema tu hukujua na 90% humu wachangiaji hivyohivyo.
Basi umeshida msomi ..nikuletee ishu ya madini hata dhahabu yenyewe huijui .maana utaanza Sasa kusearch ujue abc..!uzuri wasomi mna mbwembweee...
 
Mie nakushauri tafuta mtaji fanya biashara yako mwenyewe! Kidogo Kuna ugumu sana..wafanyabiashara wengi kwasasa Wana upeo mkubwa Sana wa abc za biashara! Yaan mie sijaona umuhimu huo bado... Kila kitu Kiko mitandaoni ukae ukijua
Mwambie tu sisi wengine biashara zetu ni kupiga sound, longolongo nyingi, faulo kdg ujanjaujanja
Mpk mmbo yanakuwa Sawa... [emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Mkuu,Lengo la uzi huu sio kuzungumzia kukubalika kwangu,Nimesema hawawatumii vizuri.Lengo ni kuibua mjada kuhusu matumizi ya wataalamu waelekezi(Consultants) katika biashara.Hii CV niliyoweka hapa niliweka tu kama sehemu ya kuchangamsha jukwaa na sio kuja market mimi kama individual consultant kwa sababu kwanza mimi mwenye kazi zangu nyingi natumia team members wangu ambao mimi pamoja na wao tuna experience kubwa na uwezo mkubwa

Ila nakubaliana na wewe kwamba kulalamika na kulaumu hakukupi wateja ni lazima tuwe na mkakati wa kuhakikisha kwamba kazi zetu zinatuuza.
 
Kwanza niombe radhi kama nimeonekana kuleta malalamiko,Lengo langu ni kuchalenge na kuleta mjada kuhusu nafasi ya consultant katika kukua kwa biashara yako.Kuhusu mtindo niliotumia najua unaweza kuleta hisia kwamba nina lalamika ila lengo langu sio kulalamika but kuchalenge mjadala.Ila nimependa michango ya wadau naamiini inasaidia wengi nikiwemo mimi mwenyewe
 
Wew kama consultant wa biashara je umewahi kuwatumi consultant wa kielimu,saikolojia ili waiongoze familia yako katika mafanikio ya kielimu, au wewe unataka utumiwe tu wakati wewe huwatumii wataalamu wa nyanja isio kuhusu.
Nawatumia sana,pamoja na kwamba ni wachache walio specialize katika maeneo uliyotaja
 
Nna kampuni nataka fungua.

Hii kampuni itasajiliwa tz na itakua inatoa huduma hasa nje ya nchi.

Je nikipata faida ya dola 1000 ni kodi gani nitatakiwa lipa kwa mwezi au kota?
Mkuu kwa Tanzania utatozwa kodi kwa kutumia mfumo wa kodi ya mapato ambapo inaangaliwa total turn over kwa mwaka kuamua kiasi cha kodi.Kuna utaratibu mwingine ambao upo kwa msaada zaidi please whatsap 0715323060 au email masokotz@yahoo.com
 
Mkuu,Management principles za biashara ni zile zile.Mifumo ya uendeshaji ni ile ile.Unapkuwa consultant unakuwa na team,Pale ambapo kazi inahitaji input ya mtaalam wa field husika unamtumia.Kwa mafano,Ninapokuwa na mteja anahitaji advice kuhusu masuala ya kodi au sheria namfanyia zile basic framing ya Tatizo lake na solution ambayo itamfaa kwa kuzingatia mahitaji yake kisha namuunganisha Tax consultant au Legal Consultant.Faida ya huduma yangu hii ni kwamba anapo deak na mimi ananiuliza swali lolote lile liwe la kiufundi kuhusu mitambo yake au kuhusu HR au kuhusu Finance au Law.Mimi ninampa expereince based advice kisha inapofika hatua ambayo ina hitaji technical speciality ndo tunaleta wataalamu.
 
Hizi biashara zote 9 bado unazo?
Kwanini umekuwa ukibadilisha badilisha biashara
Umejifunza nini wewe binafsi kupitia biashara zako
Mkuu nyingine niliziacha kwa sababu ya profitabIlity,zingine niliziacha kwa sababu personal na nyingine zilikufa Natural Death.Nyingine bado zipo.Kwa Mfano Biashara yangu ya Kwanza imesurvive mpaka leo na ni kwa sababu ya mfumo wake ina gharama ndogo za uendeshaji zaidi kuliko biashara nyingine na Profit margin nzuri etc
 
Mkuu,uamuzi wa kutumia consultant kutoka katika full consulting agency au independent agency unategemea resources zako na malengo yako.Katika Consulting huna kuna hatua tatu kubwa

Kwanza ni kutambua tatizo au lengo la mteja wako.
Pili ni kutengeneza Makisio ya sababu au matoke
Tatu ni Kufanya Majaribio

Kuna hatua nyingi ndogo hapo kati.Kwa mfano kwa mimi Huwa Hatua ya Kutambua tatizo au lengo huwa inakuwa na Fixed Fee.Yaani Unajisajili tu Kama mteja wangu kisha nakufanya IDENTIFICATION YA TATIZO LAKO.Ukiridhika na Prognosis yangu ndo unaweza sasa kuamua kama utanipa kazi au LA ili nitafute solution na tufanye Mjaribio.Hata ukienda kwa Agency Mkubwa hatua ni hizo hizo ila kinacholeta tofauti ni Ubunifu,Uzoefu na Ujasiri wa Consultant kuamini katika solution yao hapo ndipo consultants wanatofautiana.

karibu ujaribu huduma zetu naamini utaridhika na kufurahia

Mawasiliano ni +255715323060 Email masokotz@yahoo.com
 
Wew kama consultant wa biashara je umewahi kuwatumi consultant wa kielimu,saikolojia ili waiongoze familia yako katika mafanikio ya kielimu, au wewe unataka utumiwe tu wakati wewe huwatumii wataalamu wa nyanja isio kuhusu.
Nawatumia sana,pamoja na kwamba ni wachache walio specialize katika maeneo uliyotaja
 

Hope tutapata mrejesho mzuri zaidi huko mbeleni na nakutakia kheri zaidi kwa ukifanyacho brother
 
Hope tutapata mrejesho mzuri zaidi huko mbeleni na nakutakia kheri zaidi kwa ukifanyacho brother
SHukrani mkuu,Tuko Pamoja katika kupeleka taifa letu mbele.
 
Hope tutapata mrejesho mzuri zaidi huko mbeleni na nakutakia kheri zaidi kwa ukifanyacho brother
Mkuu tunaendelea Vizuri.So far Nimepata wajasiriamali kadhaa kutoka humu JF ambao kwa hakika nimefurahia kufanya kazi nao kwani wamenipa insights kubwa sana hasa kuhusu changamoto zao za kibiashara.
 
[emoji120][emoji120] nimekuelewa sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…