Wabongo hili la tamaa na wizi halitujengi, linatuchafua

Ndugu wabongo hata akilipwa million za dollar ataiba tu, zingatia mawaziri wana lipwa kiasi gani? Na posho juu lakini wanaiba tu.
 
Ukiataka uwaweze waswahili, nenda kachukue darasa kwa wahindi na waarabu.

Kwanza mtu anakuibia unamuacha wa kazi gani? Peleka polisi ili ndugu zake wafidie. Umeamua kutia huduma kwa jamii kwanini ufunge ofisi kizembe kisa umeibiwa?

Sema unavyojisikia pindi unapoibiwa ndivyo wananchi wanavyojisikia vivyo hivyo jinsi mnavyojilimbikizia na kuiba kodi zao.
 
Me siyo mwizi mkuu na ndiyo maana nimebangaiza kuongeza kipato sasa hata kwa hiki kidogo kuinuana kwa wabongo hatuwezi
 
Kutokumuamini mbongo ni sawa na kutokujiamini mwenyewe maana sote ni wabongo anyway sijakataa sisi ni majizi na manyambisi.
 
Mkuu hao wamalawi wanaishi kihalali hapa bongo? Kuna project nataka kuanza ila vijana wa kibongo nina historia nao mbaya katika mishe zangu nilizowahi kufanya hapo nyuma. Uaminifu ni changamoto sana kwa vijana wetu.
 
Nitunzie hizo hela za machine, siku isiyo na jina nitapita hapo ili unipe document zao hao vijana wako wa kazi unaowasifia hapa
 
Pole sana mkuu baadhi ya vijana sisi sio waaminifu pia wapi wenye moyo ya kiuaminifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…