Wabongo huhisi upungufu fulani kwa kutegemea Kenya airways kwa kiasi kikubwa

Wabongo huhisi upungufu fulani kwa kutegemea Kenya airways kwa kiasi kikubwa

Kwa mara ya kwanza nimejikuta nafurahi sana kwa hatua za rais Uhuru, amedhihirisha kwamba afya ya Wakenya ni muhimu kuzidi maslahi ya kiuchumi, na akaamua kama mbwai na iwe mbwai, alifunga mpaka na ikaamuliwa kila Mtanzania anayekuja huku lazima apimwe, wakang'aka sana, wakatunisha misuli, wakapiga makelele, ila hatimaye wakatulia, leo hii hakuna anayeingia bila kupimwa tena na wataalam wetu.
Hata hili la ndege, wacha iwe hivyo, bora tupoteze hiyo biashara lakini Wakenya wabaki salama, hawa jamaa walishajichokea wanataka wasambaze corona kote kote.
Wakikataliwa Kenya huwa wanalia sana.
Binafsi nimepata faraja kuona rais Uhuru ameanza kufanya maamuzi magumu dhidi yao....
Muhimu ikafahamika kwenye nyanja zote kwamba Tanzania is a hostile neighbor japo wanafiki sana, usipokua makini watakuchelewesha sana.
Akili zenu wandugu hazifanyi kazi vizuri. Mnauwa wakenya sasa 30+ per day, mnashika no 6 kwa africa, mnaishi maisha ya tabu bado mnajilinganisha na sisi?
 
Hapo unaandika kishujaa lakini rohoni unaumia sana

Hakuna mtu ambaye anaweza kupoteza fursa za biashara na asiumie, hivyo ni kweli napata maumivu kwa sisi kupoteza soko la Tanzania, ila swali la kujiuliza, nini mbadala wake, kipi tulipaswa kufanya kama mbadala, kwamba tuwaponze Wakenya kwa kuachia Watanzania watue hapa kiholela, kwamba tufe tu kisa hatutaki kupoteza fursa za ndege zetu kutua Tanzania.

Maishani lazima ukubali kupiga mahesabu ya hasara panapostahiki, ukubali kukosa mazuri ikiwa yanaambatana na hasara, ni kama ujikute kwenye fursa ya kumgegeda demu mrembo kupindukia, umuombe mkapime akuambie yeye anajijua yuko sawa na hana haja ya kupima na wala hataki utumie kinga, yaani mwenyewe ukimtazama kwa alivyo mrembo haupati picha kwamba hulali naye, ila amekaidi na kukomalia kwamba hapimwi UKIMWI, kama unataka tunda lake lazima umtafune kama alivyo.

Ndio haya yaliyotukuta kwa uhusiano wetu na Tanzania, aidha tuchague kujiingiza kwenye huo ujinga wenu wa kujiaminisha hamna corona au tuchukue tahadhari ila tupoteze soko lenu. Ni maamuzi magumu na yanauma, ila hamna jinsi lazima yafanywe na yamefanywa, rais wetu kaamua potelea mbali, hatowaponza Wakenya, kawafungia mbaki huko huko. Masuala ya uchumi ni kitu cha kuja na kutoweka, ila afya ni jambo la msingi kwa kila Mkenya na tukipoteza watu wetu, haitokuja siku tuwapate tena.
 
It depends with your perspective, you're interpreting it as a conflict, while for us we are being strategic and focusing on safety of our citizens. Remember we are not the only country that has barred Air Tanzania from landing into our airports, you people are being shunned by the world because you chose to ignore all scientific logic as far as this pandemic is concerned, you lowered your guard and succumbed to state of apathy.

Yes we shall lose, but we have to count our loses and weigh against the alternative, do a comparison analysis.......
Focusing on the safety of citizens is okay, but do you think the focus technique you decided to use (I do not mean to allow Tanzanians to enter Kenya) locking people down at night and during the day you let them intermingle has helped reduce the risk of infection?

You have agreed to fall into the trap of politically bankrupt politicians and are now seeking the sympathy of the people to support them? I thought we as neighbours/great thinkers (no matter which side of these countries we come from) would look at this matter with a more serious eye and find the right way to advise our governments in order to help these poor countries (although we boast here that we are middle-income countries!)

Please, let us not celebrate the tyranny of the leaders who want to bring us back to the countries of the lower economy while they and their families live and enjoy a rich and comfortable life...
 
Hakuna mtu ambaye anaweza kupoteza fursa za biashara na asiumie, hivyo ni kweli napata maumivu kwa sisi kupoteza soko la Tanzania, ila swali la kujiuliza, nini mbadala wake, kipi tulipaswa kufanya kama mbadala, kwamba tuwaponze Wakenya kwa kuachia Watanzania watue hapa kiholela, kwamba tufe tu kisa hatutaki kupoteza fursa za ndege zetu kutua Tanzania.

Una uhakika kuwa Watanzania watawaua au unahororoja? Mmefunga mipaka lakini mbona maambukizi yanaongezeka maradufu? It is best to do some research before you start writing

Maishani lazima ukubali kupiga mahesabu ya hasara panapostahiki, ukubali kukosa mazuri ikiwa yanaambatana na hasara, ni kama ujikute kwenye fursa ya kumgegeda demu mrembo kupindukia, umuombe mkapime akuambie yeye anajijua yuko sawa na hana haja ya kupima na wala hataki utumie kinga, yaani mwenyewe ukimtazama kwa alivyo mrembo haupati picha kwamba hulali naye, ila amekaidi na kukomalia kwamba hapimwi UKIMWI, kama unataka tunda lake lazima umtafune kama alivyo.
Nakubaliana na wewe katika kuchukua tahadhari but not by such an imprudent and hasty decision now taken by our leaders. There are appropriate steps to be taken to resolve this conflict rather than show each other the tyranny that at the end of the day will not be found the winner.

Ndio haya yaliyotukuta kwa uhusiano wetu na Tanzania, aidha tuchague kujiingiza kwenye huo ujinga wenu wa kujiaminisha hamna corona au tuchukue tahadhari ila tupoteze soko lenu. Ni maamuzi magumu na yanauma, ila hamna jinsi lazima yafanywe na yamefanywa, rais wetu kaamua potelea mbali, hatowaponza Wakenya, kawafungia mbaki huko huko. Masuala ya uchumi ni kitu cha kuja na kutoweka, ila afya ni jambo la msingi kwa kila Mkenya na tukipoteza watu wetu, haitokuja siku tuwapate tena.
To be honest, mpaka sasa sijaona tahadhari yoyote ya maana mliyochukua kama taifa zaidi ya kuiweka nchi kwenye dilemma. Kenya is currently a troubled country...
 
Focusing on the safety of citizens is okay, but do you think the focus technique you decided to use (I do not mean to allow Tanzanians to enter Kenya) locking people down at night and during the day you let them intermingle has helped reduce the risk of infection?

You have agreed to fall into the trap of politically bankrupt politicians and are now seeking the sympathy of the people to support them? I thought we as neighbours/great thinkers (no matter which side of these countries we come from) would look at this matter with a more serious eye and find the right way to advise our governments in order to help these poor countries (although we boast here that we are middle-income countries!)

Please, let us not celebrate the tyranny of the leaders who want to bring us back to the countries of the lower economy while they and their families live and enjoy a rich and comfortable life...

You're just being emotional instead of applying logic and thinking through it, you're one of the few Tanzanians in JF whom I have respect for due to your way of reasoning which is always devoid of pettiness. I think I've made my case and explained my points concisely, this is not competition but everything to do with our safety as a nation.
Since the onset of this pandemic, our president has been making decisions based purely on scientific advice and counsel he gets from various respected and celebrated experts, who are derived from multiple and different fields and institutions.
They usually present to him very well thought-out and written analysis and recommendations each with all sort of scientific algorithms.
Your country is the only nation in the WORLD that has chosen to claim to be free from the pandemic without any testings, no data....just mere political statements..... and "unsurprisingly", all Tanzanian "experts" have swallowed this approach hook, line and sinker and are expending lots of energy to support it, reason has been thrown out the window.

We are not the only nation that has blocked your airline from landing into our airports, it's the same case everywhere, no one is willing to take the risk of allowing you people entrance into their countries without caution. But, it's always a known fact you always tolerate actions by others but are never able to bear the same if coming from us, you'll form in the mouth and go berserk as if we declared war on you.

Our government is releasing statistics daily without hiding anything, we have lost prominent people including celebrities, corona is so real to us, and Kenyans are usually enlightened, we would go crazy if the government chose to behave like yours, we must be informed as frequently as possible and are in support of all tough decisions being made.
 
You're just being emotional instead of applying logic and thinking through it, you're one of the few Tanzanians in JF whom I have respect for due to your way of reasoning which is always devoid of pettiness. I think I've made my case and explained my points concisely, this is not competition but everything to do with our safety as a nation.
Pardon! So, asking you: "do you think the focus technique you decided to use to lock people down at night and during the day you let them intermingle has helped reduce the risk of infection?" is just being emotional?

Okay, let me stop here because I can see who is emotional here. Have a nice day, my brother...
 
They have a big inferiority complex and they always sound like a jilted lover
 
Pardon! So, asking you: "do you think the focus technique you decided to use to lock people down at night and during the day you let them intermingle has helped reduce the risk of infection?" is just being emotional?

Okay, let me stop here because I can see who is emotional here. Have a nice day, my brother...

Again you're still being emotional, just conveniently picking a simple paragraph in your response to suit you, but not re-reading your whole write-up and verifying why I think you're not allowing logic in your perspective.
The thing is, you guys are busy punching holes in our way or handling this pandemic, but you don't want us to critic your "do nothing" method or approach.
Night bans/curfew have been helping because majority of people are normally not cautious when under the cover of darkness, they will not wear masks, they will mingle carelessly and so on.
You must understand, every effort executed has been analysed thoroughly and approved, and yes numbers will keep on increasing despite the efforts, the plan has been to ensure a controlled ascent but not to stop it, otherwise if we allowed ourselves to succumb hopelessness like Tanzania method, we'd be numbering in millions since we are testing and releasing the numbers as opposed to you people who chose to just let go and everybody for themselves.
 
Naomba kiwasilisha hoja kwa picha...
IMG-20200801-WA0013.jpg
 
Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikisoma hapa Jf jinsi wabongo wanavyojichokea kwa kutegemea Kenya airways kwa sana. Ninyi huwa mna hisi uchungu fulani kwamba mukitaka kuenda nje lazima mupande ndege ya Kenya. Huwa mkiona KQ kwenye airport yenu huwa mnakereka sana ila hamna namna.

Inabidi mpande tu kwa sababu nyie hamna ndege yenu inayokatiza anga nje ya Afrika. Hata hiyo Mumbai sidhani kama dreamliner yenu imeanza safari. Mkitaka kuenda Uchina, Marekani, Uingereza lazima mupande midege yetu. Poleni sana
watu Kama nyie bongo huitwa mataila
 
Back
Top Bottom