Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

Mchanya

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,062
Reaction score
1,713
Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia ya usomaji vitabu miongoni mwa wananchi wengi wa kawaida.

Hata makala hii ninayoandika hapa kuna watakaolalamika kwamba 'hili ni gazeti refu' na kwamba hawana muda wa kusoma, lakini wana saa nyingi za kutosha kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii kuangalia mambo yasiyo na faida kulinganisha na usomaji wa vitabu.

Jaribu kukaa kijiweni na sikiliza mazungumzo ya 'washikaji' zako, au kwenye vinywaji, au kwenye masuala ya kifamilia, utagundua kwamba ukiondoa ubishi wa mpira wa Bongo na ligi ya Uingereza hawana kingine cha maana wanachoweza kukijadili kwa kina na kukitolea uchambuzi makini. Linapokuja suala mezani linalohitaji kujadiliwa kwa umakini na uchambuzi wa kina, wengi watalalamika, watalaumu, watahama kwenye hoja na kumshambulia mtoa hoja binafsi. Aidha watapaza sauti ili wasikike kwamba wanaongea lakini hakuna cha maana watakachoongea.

Tabia ya usomaji wa vitabu ina faida tele tele, na mtu mwenye tabia ya kusoma vitabu ana nguvu na uwezo usio wa kawaida. Usomaji vitabu huongeza maudhui, hujenga kujiamini kwa kile unachoongea, huongeza uwezo wa kufikiri kwa kina, na husaidia kufanya maamuzi bila kukurupuka. Pia usomaji wa vitabu huleta burudani, na ni namna bora ya kutumia muda wako vizuri, husaidia kuepuka kujihusisha na tabia mbaya kama ulevi, uzinzi, kamari, uvivu na tabia nyinginezo zisizofaa.

Huboresha afya ya akili, kuimarisha kumbukumbu, huimarisha ubunifu na ufanisi katika shughuli za kila siku. Hata viongozi wengi bora kwenye taasisi na sekta mbalimbali duniani ni wasomaji wazuri wa vitabu. Wasomaji wa vitabu pia ni wazazi, walezi na wapenzi wazuri duniani.

Ni rahisi sana kuona tofauti za wazi kati ya mtu anayesoma na asiyesoma vitabu. Mtu mwenye tabia ya kusoma vitabu ana maudhui ya kutosha hivyo ni rahisi kwake kujikita kwenye hoja, huzungumza kwa staha, kwa hatua, na kwa utulivu bila mihemko.

Unaposhika kitabu kimoja mkononi, haijalishi kina kurasa ngapi, jua kwamba umeshika kazi ya utafiti wa muda mrefu. Hakuna mtu anaandika kitabu bila utafiti, hivyo unaposoma kitabu kimoja ni kama unasoma utafiti wa mtaalam fulani mwenye fani fulani.

Ni kama uko darasani unamsikiliza mhadhiri wa chuo kikuu akikupa madini kuhusu mada fulani. Maana yake ni kwamba ukiweza kumudu kusoma angalau kitabu kimoja kila mwezi ni sawa umesoma vitabu 12 kwa mwaka, ni sawasawa na kukaa darasani na kuwasikiliza wataalam 12 wakikupa maarifa mmoja baada ya mwingine. Ukijenga tabia hii ya kusoma kila mwezi kwa miaka mitano, maana yake utakuwa umekutana na kuwasikiliza wataalamu sitini ndani ya miaka mitano.

Ukiamua kwamba hii ndiyo iwe tabia yako maisha yako yote, ina maana katika maisha yako utakuwa umezungukwa na wataalam wa fani zote, utakuwa ni mtu mwenye maudhui na maarifa mengi - yaani hushikiki.

Mtu yeyote ambaye hana tabia ya kusoma vitabu ni sawa sawa na mtu 'aliyeacha kuishi', ni sawa na mtu aliyekufa - lakini anatembea.

Jamii isiyo na utamaduni wa kusoma vitabu huzalisha wananchi na viongozi wanaotia huruma, hawana maudhui, hawana hoja, hawana uwezo wa kuunga mkono hoja au kupinga hoja fulani kwa ushahidi, wanatumia nguvu nyingi, makelele, mashambulizi binafsi, ubabe badala ya kujenga hoja. Yote haya, pamoja na mambo mengine ni matokeo ya ukosefu wa tabia ya kusoma vitabu.

Kuna kauli inasemwa mara kwa mara kwamba 'ukitaka kumficha Mswahili maarifa, basi yaweke kwenye kitabu', tunapaswa tuikane kauli hii na tujenge tabia ya kusoma vitabu.

ANZA SASA TABIA YA KUSOMA VITABU, WAHENGA WALISEMA ELIMU HAINA MWISHO
 
Umeongea jambo zuri sana .... Hata ukisikia wale wanatengeneza maudhui huko Twitter na kulipwa kama akina Andrew Tate, wengi utakuta ni wasomaji wazuri wa vitabu....
Anyway hata mimi na library yangu hapa ya mchongo hapa
Screenshot_20260204-192331.png
 
Nilirith vitabu vya mzee.kwwenye age ndogo kabisa nilijikuta nasoma beg zima la mbao.nina james hadley first edition zote nimesoma. Nimesoma mpaka mein kempf. Nimesomq the godfather by mario puzo. The monk who sold his ferrari.nimesoma mpaka tarot reading. Nimesoma palmistry
 
Bado unavyo mdau?
 
Unaweza usiamini lakini fanya utafiti wako binafsi kimya kimya utagundua kwamba Wabongo wengi, hawana maarifa ya msingi, hawana maudhui ya kutosha na hawana uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kina hata kwenye masuala ya kawaida sana. Kunaweza kuwepo na sababu mbalimbali lakini mojawapo ni kukosa tabia ya usomaji vitabu miongoni mwa wananchi wengi wa kawaida.
Hata makala hii ninayoandika hapa kuna watakaolalamika kwamba 'hili ni gazeti refu' na kwamba hawana muda wa kusoma, lakini wana saa nyingi za kutosha kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii kuangalia mambo yasiyo na faida kulinganisha na usomaji wa vitabu.

Jaribu kukaa kijiweni na sikiliza mazungumzo ya 'washikaji' zako, au kwenye vinywaji, au kwenye masuala ya kifamilia, utagundua kwamba ukiondoa ubishi wa mpira wa Bongo na ligi ya Uingereza hawana kingine cha maana wanachoweza kukijadili kwa kina na kukitolea uchambuzi makini. Linapokuja suala mezani linalohitaji kujadiliwa kwa umakini na uchambuzi wa kina, wengi watalalamika, watalaumu, watahama kwenye hoja na kumshambulia mtoa hoja binafsi. Aidha watapaza sauti ili wasikike kwamba wanaongea lakini hakuna cha maana watakachoongea.

Tabia ya usomaji wa vitabu ina faida tele tele, na mtu mwenye tabia ya kusoma vitabu ana nguvu na uwezo usio wa kawaida. Usomaji vitabu huongeza maudhui, hujenga kujiamini kwa kile unachoongea, huongeza uwezo wa kufikiri kwa kina, na husaidia kufanya maamuzi bila kukurupuka. Pia usomaji wa vitabu huleta burudani, na ni namna bora ya kutumia muda wako vizuri, husaidia kuepuka kujihusisha na tabia mbaya kama ulevi, uzinzi, kamari, uvivu na tabia nyinginezo zisizofaa.

Huboresha afya ya akili, kuimarisha kumbukumbu, huimarisha ubunifu na ufanisi katika shughuli za kila siku. Hata viongozi wengi bora kwenye taasisi na sekta mbalimbali duniani ni wasomaji wazuri wa vitabu. Wasomaji wa vitabu pia ni wazazi, walezi na wapenzi wazuri duniani.

Ni rahisi sana kuona tofauti za wazi kati ya mtu anayesoma na asiyesoma vitabu. Mtu mwenye tabia ya kusoma vitabu ana maudhui ya kutosha hivyo ni rahisi kwake kujikita kwenye hoja, huzungumza kwa staha, kwa hatua, na kwa utulivu bila mihemko.

Unaposhika kitabu kimoja mkononi, haijalishi kina kurasa ngapi, jua kwamba umeshika kazi ya utafiti wa muda mrefu. Hakuna mtu anaandika kitabu bila utafiti, hivyo unaposoma kitabu kimoja ni kama unasoma utafiti wa mtaalam fulani mwenye fani fulani.

Ni kama uko darasani unamsikiliza mhadhiri wa chuo kikuu akikupa madini kuhusu mada fulani. Maana yake ni kwamba ukiweza kumudu kusoma angalau kitabu kimoja kila mwezi ni sawa umesoma vitabu 12 kwa mwaka, ni sawasawa na kukaa darasani na kuwasikiliza wataalam 12 wakikupa maarifa mmoja baada ya mwingine. Ukijenga tabia hii ya kusoma kila mwezi kwa miaka mitano, maana yake utakuwa umekutana na kuwasikiliza wataalamu sitini ndani ya miaka mitano.

Ukiamua kwamba hii ndiyo iwe tabia yako maisha yako yote, ina maana katika maisha yako utakuwa umezungukwa na wataalam wa fani zote, utakuwa ni mtu mwenye maudhui na maarifa mengi - yaani hushikiki.

Mtu yeyote ambaye hana tabia ya kusoma vitabu ni sawa sawa na mtu 'aliyeacha kuishi', ni sawa na mtu aliyekufa - lakini anatembea.

Jamii isiyo na utamaduni wa kusoma vitabu huzalisha wananchi na viongozi wanaotia huruma, hawana maudhui, hawana hoja, hawana uwezo wa kuunga mkono hoja au kupinga hoja fulani kwa ushahidi, wanatumia nguvu nyingi, makelele, mashambulizi binafsi, ubabe badala ya kujenga hoja. Yote haya, pamoja na mambo mengine ni matokeo ya ukosefu wa tabia ya kusoma vitabu.

Kuna kauli inasemwa mara kwa mara kwamba 'ukitaka kumficha Mswahili maarifa, basi yaweke kwenye kitabu', tunapaswa tuikane kauli hii na tujenge tabia ya kusoma vitabu.

ANZA SASA TABIA YA KUSOMA VITABU, WAHENGA WALISEMA ELIMU HAINA MWISHO
Umeongea points tupu mkuu. Msomaji wa vitabu huwa anaiona Dunia kwa angle tofauti na yule asiyesoma.
 
Umenipa moyo mwanangu
 
Ni kweli; ukimsikiliza Samia ama Mwigulu ama Bashite unajua kabisa hii mijitu tangu itoke shule haijawahi soma kitabu kingine chochote. Nina uhakika Samia hajasoma kitabu chochote kati ya vitabu walivoandika Nyerere, Mwinyi ama Mkapa….Kikwete naye mhuni tu hadi atakufa hajaandika kitabu. Mwizi wahedi🚮🚮
 
Wakiwa navyo vyote ivyo hutaweza kuwatawala tena
 
Back
Top Bottom