Wabongo Jengeni Tabia Ya Kusoma Vitabu Muongeze Maarifa, Maudhui na Uwezo wa Kufikiri

Uko sawa kabisa kuna mda baadhi ya vitu kijiweni unashindwa kuwaelewesha na kuwajuza watu sababu wa ubishi wa kujua kumbe hawajui. Huwa napenda kuwaambia kama unajua kidogo jifunze kukaa kimya upate maarifa mapya na utalijua jambo kwa mapana bila kuwa na mehemko.
 
Mtaa kumejaa myth kibao
 
We kiboko mpaka the monk umesoma who sold his Ferrari?
 
Leloo ukiacha kula kisusio nitakukaribisha maktaba yangu uje uibe biographies na Autobiography za duniani 🤣🤣🤣
Situmii kisusio fake p wangu , nipe location chap nakuja
 
Napenda sana kusoma, nikiwa njiani kwenda job au kurudi utanikuta nina ear phone nasikiliza audio books

Tafuteni kitabu kinaitwa Mountain is you,kinaonyesha vikwazo na ugumu mwingi kwenye maisha chanzo ni sisi wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…