Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Ila wabongo wanachomana sana. Wanawapigia hadi polisi na migration kukuchongea eti urudishwe. Halafu kuna katabia na hulka flani ka umaskini wabongo wanayo hadi mton. Msosi mtoni siyo big deal lakini eti wanashindana kujaza friji msosi na kuringishiana unabaki kushangaa ty Wtf!
Nikiwa nje ya sio kila mtu wa nyumbani nakuwa na mazoea naeIla wabongo wanachomana sana. Wanawapigia hadi polisi na migration kukuchongea eti urudishwe.
Halafu kuna katabia na hulka flani ka umaskini wabongo wanayo hadi mton. Msosi mtoni siyo big deal lakini eti wanashindana kujaza friji msosi na kuringishiana unabaki kushangaa ty Wtf!
Aisee🤣🤣nesi mkunga wamekuudh nn asubuh hii,kwa bongo ni asubuh🤔mie nawaheshimu Sana nesi wakunga manake walinisaidia kumleta mwanangu wa pili duniani,daktari alichelewa kufika hospital afu ,dogo alikuwa ashachungulia njia ya kuja duniani🤣Dokta kafika kakuta muuguzi mkunga kashamaliza shughuli yote🙏
Siyo vizuri kuwa kisiwa. Ni vizuri kushosolaiz na kujichanganya kigumu hivyo hivyo.Nikiwa nje ya sio kila mtu wa nyumbani nakuwa na mazoea nae
Wana tabia za kishamba sana
Sawa wewe non-bongomanYaani wabongo ni watu wa ajabu sana yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu nasema hii tabia mkiendelea nae nitamuua mtu hivi hivi kwa ujinga na uzandiki wen...
Mkuu wewe unataka fursa gani? Una qualification gani? Unataka mtu aliye nje akusaidie vipi?Watanzania wengi hawana akili
Nimewahi kusema hapa ya kwamba huko nje kuna fursa kibao ila huwezi ona watanzania waishio huko akiwemo Kiranga wanakusanua kuhusu hilo,wao wamekalia ujinga na uzwazwa tu...
Mkuu Qualification siyo ishu,kuna watu wanaingiza mpunga mrefu na hawana hizo qualification unazotaka wewe.Mkuu wewe unataka fursa gani? Una qualification gani? Unataka mtu aliye nje akusaidie vipi?
Most of them ni unskilled jobs, wengi kumshawishi counsular to grant a viza ndio tatizo kubwa.Mkuu wewe unataka fursa gani? Una qualification gani? Unataka mtu aliye nje akusaidie vipi?
Na ushajiridhisha kwamba sijawahi kuzimwaga hapa mpaka ukanitukana hivyo ulivyonitukana?Mkuu Qualification siyo ishu,kuna watu wanaingiza mpunga mrefu na hawana hizo qualification unazotaka wewe.
Fursa zipo kibao,wewe unachotakakiwa ni kuzimwaga humu hapa na namna ya kuzifikia.Tunafahamu kufika huko ndiko tatizo,wewe inapaswa utusaidie namna ya kufika huko kwakuwa unauzoefu hata kama ni kwa pesa tutalipa.