Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Ndivyo anavyodai kuwa walimpandikizia.
Na alivyokamatwa wabongo walifurahia sana hadi wakawa wanaonesha furaha yao waziwazi huko facebook walijua atafungwa.Sasa hivi hana rafiki.mbongo akijisikia kuongea kiswahili anapigia ndugu zake Tz.

Ni kweli nyumbani sio pakupeleka watu hovyo hovyo.

Ndo nilichomaanisha mkuu.Wabongo sio kama ni watu wabaya kuliko mataifa mengine bali mazoea ndo yanaleta shida.Siku zote mtu akikuzoea hata kama unamzid anahisi mnalingana na ndio chanzo cha kuharibiana ili mlingane vizuri.

Binafsi mim hata hapa bongo sipendi mazoea kabisa na majirani zaid ya mambo ya kijamii tu.
Kuna level fulani ya mazoea inabidi iwepo ku maintain maisha mazuri na jamii, yani mtu kujikata kabisa ni vigumu na haifai.

Na pia, mazoea yakizidi sana inakuwa tatizo.

Kwa hivyo hapo inabidi mtu kujua kuweka balance nzuri, asizoeleke sana na pia asijitenge sana.

Mimi nilikuwa na deal na mtu mmoja tu ambaye yupo katikati ya jumuiya ya wabongo anayejua kila kitu kinachoendelea, na kitu chochote muhimu nitapata kutoka hapo.

Zaidi ya hapo BBQ za jamii kidogo tu, kujua nani kaja na nani kaondoka etc.

Vinginevyo nduki kubwa sana kwenye mambo yangu.

Siku hizi hata hizo community BBQ siendi nafanya BBQ zangu mwenyewe on my deck.
 
EBWANA EEE HAPA KIJIJINI NILIPO KAHAMA..kuna jamaa wawili wanaenda sana nnje kupiga kazi kwenye miradi ni madereva sasa wanavyobana michongo ili wakirudi bongo wanajifanya ma driller sijui makorokocho gani..walichonacho ni michongo na washikaji zao ila kukupa au kuwapa hata ndugu zao ni kazi sana na haijawahi kutokea nanaenda anarudi na kiinua mgongo anakula kinakwisha anakwenda tena...mavyeti mengi ni ya kuforg maana hizo ndio mishe zangu alafu sio smart kiivyo labda ndio maana wanaona wakikupa mchongo itakuwa jau.... wengine ni wanaofanya un yaani hata ndugu zao kuwapa mchongo hakuna....
 
Michongo ya Uarabuni hiyo kuendesha tracks.
 
Back
Top Bottom