MOSELBAY
Senior Member
- Jan 24, 2017
- 108
- 153
Hahaha ebana umenikumbusha mbali saaIla wabongo wanachomana sana. Wanawapigia hadi polisi na migration kukuchongea eti urudishwe.
Halafu kuna katabia na hulka flani ka umaskini wabongo wanayo hadi mton. Msosi mtoni siyo big deal lakini eti wanashindana kujaza friji msosi na kuringishiana unabaki kushangaa tu Wtf!