Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwa hivyo nilikujibu, siyo?Baada ya kukupa vitu ulivyohitaji haya ndiyo majibu yako,sasa nikisema hampo kwa ajili ya kusaidia nitakuwa nina makosa? Kiranga
Wewe haupo hapa ili kusaidiwa, upo hapa ili ulalamike.
Ndiyo maana umeniita muongo kabla hata ya kunieleza unataka kusaidiwaje.
Sasa hapo utasaidiwa vipi?
Wewe ni aina ya mtu ambaye hata nikikusaidia upate visa mpaka kukukatia tiketi ya ndege utalalamika kwamba nimekupandisha ndege economy class, sijakukatia tiketi ya first class.
Wewe nishakujua kuwa ni wa fungu la kulalamika, mimi sitaki lawama.