Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu wa namna hio anatia mashaka au hayupo serious bali kutafuta attention kwa watu.Boundaries is a foreign concept.
Si ndiyo unaona mpaka hapa JF mtu hakujui anajipa uhuru kwamba anakujua sana mpaka kukuita muongo.
Kwa watu wanaojua kufikiri hilo ni tusi kubwa sana.
Halafu kituko, huyo anayekuita muongo kiholela ndiye anayelalamika kuwa Watanzania hawana msaada.
Ninaweza kuelewa kwa nini watu hawamsaidii mtu asiye na adabu hivi. Mtu mwenye a false sense of entitlement hivi. Mtu mwenye mawazo negative hivi.
Achague moja, kuomba msaada au kufanya ujeuri.
Viwili hivi haviendi pamoja.
Lengo la hilo swali dhumuni lake ni lipi hasa?Hivi anajua kuna wakati ili upate permit wazungu wanaweza kukuuliza maswali ya kipuuzi kama vile'Mara ya mwisho kulala na mkeo ulifunga goli ngapi'.
Sasa kwa jazba hizi si ataishia kuwatukana tu🤣
Naam.Mtu wa namna hio anatia mashaka au hayupo serious bali kutafuta attention kwa watu.
Mimi nilishindwa kabisa kuwa karibu na ndugu zangu wakibongo mkuu.Kuna level fulani ya mazoea inabidi iwepo ku maintain maisha mazuri na jamii, yani mtu kujikata kabisa ni vigumu na haifai.
Na pia, mazoea yakizidi sana inakuwa tatizo.
Kwa hivyo hapo inabidi mtu kujua kuweka balance nzuri, asizoeleke sana na pia asijitenge sana.
Mimi nilikuwa na deal na mtu mmoja tu ambaye yupo katikati ya jumuiya ya wabongo anayejua kila kitu kinachoendelea, na kitu chochote muhimu nitapata kutoka hapo.
Zaidi ya hapo BBQ za jamii kidogo tu, kujua nani kaja na nani kaondoka etc.
Vinginevyo nduki kubwa sana kwenye mambo yangu.
Siku hizi hata hizo community BBQ siendi nafanya BBQ zangu mwenyewe on my deck.
Lengo ni kujua kama ni kweli mwenza anayekusaidia au unayemsaidia kupata permit ni mwenza wako kweli au ni mchongo.Ukisema ulipiga goli tatu mwenza akasema nne au moja inakua tabu.Wanauliza hadi rangi ya mswaki au perfume au chochote tu ambacho huwezi kujua kama huishi na huyo mtuLengo la hilo swali dhumuni lake ni lipi hasa?
Lengo la hilo swali dhumuni lake ni lipi hasa?
Noma sana.Lengo ni kujua kama ni kweli mwenza anayekusaidia au unayemsaidia kupata permit ni mwenza wako kweli au ni mchongo.Ukisema ulipiga goli tatu mwenza akasema nne au moja inakua tabu.Wanauliza hadi rangi ya mswaki au perfume au chochote tu ambacho huwezi kujua kama huishi na huyo mtu
Sijawahi kusikia hilo swali. Ila maswsli mengine ni ya kizushi kumpima mtu tu.
Kuna dada mdogo wangu alienda kuomba visa ubalozi wa US, kuja US kututembelea ndugu zake likizo.
Yule Consular akawa analeta maswali invasive ambayo mdogo wangu aliona yanamvunjia utu.
Yule mdogo wangu akamwambia naomba passport yangu niondoke sasa hivi, na hiyo safari yenyewe nishaghairi, naenda kusalimia tu si safari ya lazima hivyo.
Ikabidi Consular amuombe msamaha na kumgongea visa.
Kuanzia siku hiyo hajapata tatizo visa ya Marekani.
Mara nyingine tunavyoyachukulia haya maswali kuwa ni lazima kuyajibu kama yalivyoulizwa inatusababishia matatizo zaidi.
Yule dada yangu mdogo kwa kumuonesha Consular kwamba hayupo desperate hivyo kwenda Marekani, na kwamba ni mtu mwenye confidence ya kuishi maisha vizuri bila kwenda Marekani, alimtoa yule Consular wa ubalozi wa US wasiwasi kwamba, huyu akienda Marekani atarudi Tanzania?
Hilo swali ni swali kubwa sana wanalofikiria kabla ya kutoa visa.
Yule dada mdogo alionekana kujiamini sana na maisha yake Tanzania, na alionekana ana logical consistency kwamba anaenda Marekani kusalimia tu, akimaliza anarudi Tanzania, so it's not a big deal, mpaka Consular akamuomba msamaha kwa kuuliza maswali invasive yaliyomvunjia heshima kwa kutoamini kwamba akienda Marekani atarudi Tanzania.
Kiongozi nimekuuliza uwezekano wa kupata fursa nje hujajibu posti na #121Mimi naishi Marekani ya Kimanzi Chana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli wabongo wengi ni mipuzi mipuzi sana wakiwa huku mamtoni. Ndio maana tunaogopa kuwakaribisha magetoni kwetu kuepuka fedheha.Siyo vizuri kuwa kisiwa. Ni vizuri kushosolaiz na kujichanganya kigumu hivyo hivyo.
Kuna nature kama kifo na kuuguwa. Japo mibongo mingi ni mitambo ya umbea hivyo hivyo tu itasaidia.
Lakini tabia zetu mtoni ni mbofumbofu na kukera.
Kuna kaukweli fulani hivi kwa zaidi ya 80%.Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu nasema hii tabia mkiendelea nae nitamuua mtu hivi hivi kwa ujinga na uzandiki wenu
Ndio maana mie huwaga napenda kujitenga na wabongo aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu, unafiki, uzandiki pamoja na ukora tu.
Juzi kuna watu wabongo wajinga wamemchoma mwenzao mpaka ameenda kwa sello kisa jamaa mambo yake yanaenda na anapiga hela nyingi kwahiyo wajamaa wameamua kumchoma upuuzi! Nyie wabongo tabia yenu ya kipuuzi huko kwenu ukimani [emoji1005] muiachane huko huko [emoji205]
[emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji205] [emoji1005] [emoji1005] [emoji1005] [emoji1005] [emoji1005]
Angekuwa kijana wa kiume na temper ipo karibu ngumi ingerushwa😂Sijawahi kusikia hilo swali. Ila maswsli mengine ni ya kizushi kumpima mtu tu.
Kuna dada mdogo wangu alienda kuomba visa ubalozi wa US, kuja US kututembelea ndugu zake likizo.
Yule Consular akawa analeta maswali invasive ambayo mdogo wangu aliona yanamvunjia utu.
Yule mdogo wangu akamwambia naomba passport yangu niondoke sasa hivi, na hiyo safari yenyewe nishaghairi, naenda kusalimia tu si safari ya lazima hivyo.
Ikabidi Consular amuombe msamaha na kumgongea visa.
Kuanzia siku hiyo hajapata tatizo visa ya Marekani.
Mara nyingine tunavyoyachukulia haya maswali kuwa ni lazima kuyajibu kama yalivyoulizwa inatusababishia matatizo zaidi.
Yule dada yangu mdogo kwa kumuonesha Consular kwamba hayupo desperate hivyo kwenda Marekani, na kwamba ni mtu mwenye confidence ya kuishi maisha vizuri bila kwenda Marekani, alimtoa yule Consular wa ubalozi wa US wasiwasi kwamba, huyu akienda Marekani atarudi Tanzania?
Hilo swali ni swali kubwa sana wanalofikiria kabla ya kutoa visa.
Yule dada mdogo alionekana kujiamini sana na maisha yake Tanzania, na alionekana ana logical consistency kwamba anaenda Marekani kusalimia tu, akimaliza anarudi Tanzania, so it's not a big deal, mpaka Consular akamuomba msamaha kwa kuuliza maswali invasive yaliyomvunjia heshima kwa kutoamini kwamba akienda Marekani atarudi Tanzania.
Kwa Marekani Visa ya kwenda kuishi na mwenza ni rahisi kuliko visa ya kusalimia au kusoma.Kuna watu washaulizwa hilo swali na mengine mengi kama hayo mkuu.
Kwa kigezo cha kwenda kusalimia ni lazima wapate uhakika kuwa utarudi na alichofanya mdogo wako kilikua kizuri sana kisaikolojia ila angekua anaomba visa kwa kigezo cha kwenda kuishi na mwenza hilo swali lazima angetakiwa alijibu mkuu na iwapo angepanick au angekataa kisaikolojia ingekua sio nzuri kwake.