Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

That is quite the same as relatives from upcountry when they visit their siblings in town. They don't know that u go out of ur way to give them a good time becoz they ar visiting. They think u eat at Hilton and Sea cliff everyday! Its normal bro!


Hivi wewe ulisoma Kifungilo, Kilakala au Msalato??.........!!!


Babu DC!!
 

Thank you so much for this useful post.....

Haya na maneno matamu sana yallyokuwa yanapatikana kwenye ki-button kimoja hapa JF, ambacho bahati mbaya kimeenda na miaka 50 ya uhuru!!

Naomba kama ikiwezekana, tuwekee huu mchango wako kwa kiswahili ili na sie akina Kayumba tuambulie kitu.....Google translate imenigomea!!

Babu DC!!
 
Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gawangekuwa na kazi nzuri

wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
Mm nipo Uk nabeba box ww unafanya kazi gani maana bongo kila mtu Director
 
Nimeipenda sana hii mada,

Imenikumbusha mengi sana....ambayo ama nimeyashuhudia mwenyewe au kusimuliwa.

Kama Wantanzania tutaendelea hivi.....tutazidi kubaki nyuma hadi Yesu arudi.....

Badala ya kusaidiana na kutiana moyo, tunahaha kuzamishana........Very sad in deed!!

Babu DC!!
 
Nabeba box kwa saa moja nalipwa 45000 za kitanzania. Na kila siku na nafanya masaa saba na nusu. Na kwa weekend inakuwa 75000 kwa saa. Na siku za sikukuu ni 90000 kwa saa. Nalipwa zaidi ya wabunge wako!!!

unatumia kiasi gani?na una save kiasi gani?
 
Mimi nasoma ila nikitoka skonga supermarket inanihusu kubeba mabox kama nyapara na nimenunua hata na gari by just carying th boxes. can ths pay in bongo?
 
Msijidanganye..... US kuna maisha bomba kuliko Tanzania, by far!..... very far.
 
sasa wewe unataka kujua ikusaidie nini acha kuumiza kichwa kwa mambo yasiyokuhusu
 
kutambiana
nani ana hela nyingi
au nani analipwa nyingi

while nyingi is relative
na attitude zinatofautiana
what someone counts success can be very different from the other

 

hujaelewa, hao unaowaona wanafanya hizo kazi za ndani wanazifanya ni kwa vile hawana skills au wako shuleni kusomea hayo maskills,once umegraduate kazi zipo kibao huku pia,warudi kufanya nini sasa?
 
kutambiana
nani ana hela nyingi
au nani analipwa nyingi

while nyingi is relative
na attitude zinatofautiana
what someone counts success can be very different from the other

Very sad Kaka (dada wa zamani)!!

Kuna teacher mmoja wa Kirusi aliwatukana wanafunzi wake (ikam-cost 24 deportation)!!

"If you don't change your attitude towards self help and development, you will soon join your brothers in the jungles"!!

Babu DC!!
 

Usiwalaumu sana kwa kutokukuambia wanafanya nini, labda hawajafikia malengo yao so wape muda........cha muhimu mnawasiliana na wako salama.
Ila waTz kwa ujumla wengi wetu hatuko wazi(we are not open) linapokuja swala la unafanya kazi gani/unalipwa kiasi gani. Binafsi nishawahi kuwauliza rafiki zangu wanaofanya serikalini wanawezaje kuishi maisha wanayoishi kwa mashahara wao? jibu ni: wee rudi bongo kwanza tutakuambia tunafanyaje......
 
Hivi kila mTanzania akirudi nyumbani hali itakuwaje? Wataweza kupata kazi za kufanya ? Kila siku kwenye section ya kazi watu wanalalamika kazi hawapati lakini bado walio nje wanaambiwa warudi nyumbani.

Aliyeanzisha maada hii ni kielelezo cha jamii yetu ambayo badala ya kujadili mambo ya maana wamebaki kuwajadili watu. Kazi ni kazi hata iwe ya kusafisha wazee ili mradi mtu anaendesha maisha yake. Kwani mama na baba zenu wakiumwa na kulazwa mahospitalini ni nani wanawahudumia? Si watanzania kama mimi na wewe? So what is so different kama mTanzania akimuhudumia mzungu na kupata hela ya kutimiza mahitaji yake na kuwasaidia ndugu zake?

Tufike sehemu tujifunze kuheshimu kazi za watu as long as hawavunji sheria then maybe tutaweza songa mbele.
 
hujaelewa, hao unaowaona wanafanya hizo kazi za ndani wanazifanya ni kwa vile hawana skills au wako shuleni kusomea hayo maskills,once umegraduate kazi zipo kibao huku pia,warudi kufanya nini sasa?

Neema,

kurudi au kurorudi siyo issue....Watanzania tuachane na upuuzi wa kuwa na mawazo finyu...

Wanaowachicha ndugu zao kazi wanazozifanya wana mawazo finyu kwa sababu hawawezi kuwapa ushauri na kuwasaidia...pia wale ambao wanaona watu ambao wanapata kipato huko Ulaya kama wamekosea kuishi huko pia wana ufinyu wa kufikiri!!

Babu DC!!
 
Huwa najiuliza kuna baadhi watu wako 'majuu' unakuta kafululiza hata miaka kumi hajarudi bongo kusalimia na labda baada ya miaka mingi hiyo kapata msiba wa mzazi na bado kashindwa kuja kuzika, tatizo nini? Na hizo hela za nini kama baadhi ya watu wanashindwa kurudi kumzika hata mzazi!...
 


Huo nido upuuzi ninaongelea......

Hapa Bongo watu wanaishi kwa wizi zaidi na mission town, kiasi kwamba wengi wao hawawezi kusema wazi wanakopata pesa. Ila hiyo haiwazuii hata kueleza walau kipata chao halali kwa marafiki zao. Haya ni mambo ya muhimu kwa sababu yanasaidia wengine kufanya maamuzi.

Popote tunapoishi...kama Watanzania tutaendelea na hizi tabia zetu za hovyo, basi tutazidi kusaidia watu wa Mataifa mengine badala ya Watanzania wenzetu...Bila kujali kwamba watu wa Mataifa hayo wanapigana tafu!! Kwa hiyo tunaongeza udongo safi kwenye vichuguu badala ya kujenga vichuguu vipya!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…