Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Hizi characteristics za kutaka kujua kila mtu anafanya nini (especially kwa husda kama hivi, naelewa kuna watu wanataka kuelimika na hata wao safari zao zifanikiwe) ni characteristic ya watu wa nchi za kikomunisti huko. Ambako ku snoop ni kama kawaida, kila mtu anamchunguza mwenzake.
Do you, ishi maisha yako, kama unataka kusaidiwa kusafiri uondoke bongo sema, wanaojua michongo watakupa. Kama wewe mtu wa kusema huondoki bongo, tutabanana humu humu, nayo poa tu, watu wanaitoa hata bongo.
Haya mambo ni dynamic na yako highly customizable according to personal goals, history, abilities and interests.
Nimeona kuna dada hapo juu kaelezea fresh tu anavyoipenda kazi yake ya kutunza wazee. Inampa meaning katika maisha pamoja na kumkidhi haja zake. Kuna mamilionea kibao wanauza silaha, wana mihela kaa Adnan Kashoggi, lakini wakifikiria biashara zao zinavyoua watu kila siku wanapata nightmare. Kwa hiyo in that regard huyu dada kazi yake ni nzuri zaidi.
Guiding principle hapa ni kwamba, as long mtu ni mtu mzima, kaamua mwenyewe kuishi hivi au vile, mwache ajinafasi.
Habari za kutuuliza tunafanya kazi gani kwa husda ya kijicho hazifai, wengine kati ya masharti ya kazi zetu moja ni kutosema tunafanya kazi gani kwa sababu za usalama. Kwa hiyo ukituuliza uliza tunakuona mkalamba usiyejua hata uungwana.