Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,484
Come that way, kwanza I have sth to tell u. But njoo kiuchokozi chokozi leo niko katika mzuka kiaina yaani.
Heheheheh. . . .njoo unichukue!!!
Come that way, kwanza I have sth to tell u. But njoo kiuchokozi chokozi leo niko katika mzuka kiaina yaani.
Kwa kweli Watswana (sio WaBotswana) siwafahamu kihivyo kukupa a meaningful comparison.
Ila ninachoweza kukwambia ni kwamba ukiwachukulia Watanzania halisi na Watswana halisi kama wanaoitwa ma Bushmen wale, husda ndogo pande zote. Kinacholeta husda kwa sana ni modernity. Kuna pande za kati unaweza kwenda bomani ukakuta mshale umekitwa mlangoni unajua alama kwamba mama yupo na mmewenza anafanya vitu, hamna husda, unajikata zako, siku nyingine unaweka mkuki wewe mshaji anasepa, akitokea mtoto wa kijiji. Hamna husda.
am dealing drugs
Ni dhahiri kwamba kila kitu kina pande mbili, hata wanaokuuliza umeamkaje asubuhi sio wote wanauliza kwasababu wanajali ama kwa nia nzuri.
Wapo watu wanaoweza kuuliza kutokana na mafanikio yako (ili nao wafuate nyayo zako) na wengine (kama mtoa mada) wanauliza kama kukomoa.Kwamba "kama una kazi nzuri sana kwanini unanificha?" nia ya kujifunza iko wapi hapo?
Sidhani. . . . .Sio kwamba wakati mwingine unaweza waza mtu anaweza kukufanyia kitu fulani
kwa sababu wewe unaweza mfanyia hivyo?
Mfano
Y ana wasiwasi X anataka kumwibia mkwewe
Kumbe huyu Y alishampitia mke wa Z
swali langu limekuja kutokana na watu wengi hata kwenye hii thread kulalamika
kuwa watanzania hatupendi kusaidiana kulinganisha na watu wa mataifa mengine
husda na roho mbaya vimetujaa......now why iko hivyo?
kwa nini watanzania inaonekana zaidi?
modernity hata mataifa mengi yanapitia hiyo modernity....but ni kama watanzania kuna sababu nyingine
au siasa za ujamaa na kujitegemea?zimesababisha husda iwe zaidi??????
Kusaidiana saidiana kwa sana kunaendeleza umaskini vile vile, saa nyingine kutosana muhimu.
Wabeba maboksi oyee!
Kwa niaba ya baraza kuu la wabeba maboksi wote wa Kitanzania ughaibuni, mimi raisi wa wabeba maboksi napenda kuwatakia nyote Krismasi njema.
Furahieni sikukuu kwa amani na upendo. Popote mlipo, mkiamua kunywa kunyweni kwa ustaarabu na kwa kuwajibika.
Ni mimi,
Raisi wa wabeba maboksi.
Tulizani rais wamakuteka nyara, afazali sasa umetoa tamko rasmi. Kauli ya rais na iheshimiwe.
DJ tunaomba wimbo wa taifa
Hapa pana husu sana
kumbe ukiachia mbali husda
kuna issue ya kuona kusaidia ni mzigo
ni kuogopa kujitishwa mizigo isiyo yako
Ok, sasa naanza pata mwanga
swali langu limekuja kutokana na watu wengi hata kwenye hii thread kulalamika
kuwa watanzania hatupendi kusaidiana kulinganisha na watu wa mataifa mengine
husda na roho mbaya vimetujaa......now why iko hivyo?
kwa nini watanzania inaonekana zaidi?
modernity hata mataifa mengi yanapitia hiyo modernity....but ni kama watanzania kuna sababu nyingine
au siasa za ujamaa na kujitegemea?zimesababisha husda iwe zaidi??????
Wimbo wa taifa gani, mnalobebea boksi ama lenye mafuriko?
Wimbo wa taifa gani, mnalobebea boksi ama lenye mafuriko?
lenya mafuriko nadhani
wanakobebea mabox si zitapigwa nyimbo 50 kidogo?
lenya mafuriko nadhani
wanakobebea mabox si zitapigwa nyimbo 50 kidogo?
Mbona mnamvunjia heshima rais NN?
Heshima isivunjike ya JK, anamchekelea sweetheart wako akinywa chai juu ya bati la nyumba
Tatizo la waswahili bwana hawabebeki! Unamtafutia kazi mtu anaanza kukuletea majungu, au anaharibu kazi coz anajua auntie yangu hapa ni boss. Inakuwa kero hadi wenzio wanakuona wa ajabu. Mwingine anataka um'bebe throughout to next and next job!
TB, hujawahi kumuambia mtu jobless amepigika kisawasawa kuhusu vacancy mahali afu anakuuliza 'kwani wanalipa sh ngapi?'. Inakatisha tamaa kabisa!
unless alete zile bhange zake za kidhungu manake nae si haba,lol
Lol! Si kila mtu anapigiwa wa kwake kama vile tuko kwenye mkutano wa EAC?