Lol! Hii kali! Kweli JF kuna vituko, mkuu hivi mbuzi anakula ama analishwa?lol!jibu swali unafanya kazi gani? Sijakuuliza kama umekula ata mbuzi anakula pia
Watu nwanapiga kazi na Asikuambie Mtu Ukiwin Kuingia Israel utatumikishwa Sana na Utalipwa Sana Kuliko Japan USA Starehe tu Mambo Shekel
Lol! Hii kali! Kweli JF kuna vituko, mkuu hivi mbuzi anakula ama analishwa?lol!
am dealing drugs
mmmmh kuuza baa basi njooni huku bongo Meeda wanahitaji wahudumu walio na uzoefu wa kimataifa
mie nafanyakazi kwenye shamba moja na kwenye supermarket lakini pia nasoma. I can afford to pay my bils lakini siyo siri huwa najina tu kama mtumwa in slave plantation. Askwambie mtu, east or west home is best! Tz imekuwa betraye na watu wake(viongozi?) yenyewe
Eti anawekewa chakula, na wanaochungwa vipi? Hao "wamewekewa ardhi"?we kweli mwaka huu nadhani hujaenda moshi kutoa kafala, ndio maana mizimu ya kwenu ikaingia kichwani, toka lini mbuzi akalishwa ? Sema anawekewa chakula, mtoto ndiye analishwa
sasa hivi nafuga mkia kwanza
ndevu nazo za kutosha
siogopi kutumiwa na mtu ili nipate nachokitaka
tena nawafurahisha sana
nimejjifunza na kuwika kazisa
Eti anawekewa chakula, na wanaochungwa vipi? Hao "wamewekewa ardhi"?
Ama kweli kiswahili kigumu, halafu unatumia msuli mno, tulia.
Sidhani kama nia yako ni kujuwa ukweli kwa style ya uropokaji, inaelekea una yako mambo.
Usipende kwenda kich kichwa humu JF hata kama una hasira.
Hapo kwa kunikosoa mimi, sasa ni kama nyani haoni kundule...
Mi mchagga na wewe vipi kiswahili chako mbona bado umetifuka?
Halafu "kafala" manake nini? We kweli festori
Nilichomaanisha mimi ni kwamba mbuzi haendi kazini ama hajihughulishi kufikiri kuhusu kazi na kuweka something on the table, mbuzi si binadamu mbuzi wee!
ludi basi ufikili vyema, kwani mtoa mada ni nani zaidi yako?acha kudandia treni kwa mbele we boya wa kichaga utaumia...sibishanagi na kichwa boga ludi nyuma ujue sababu ya kuandika au kumjibu mtoa mada!
Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
mbona huulizi watanzania waliopo tanzania wanafanya kazi gani? Na je kazi zao zinakuhusu nini?Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
Mara nyingi ukitaka ugombane na mtanzania aliyeko nje, basi muulize kuhusu kazi yake huko majuu.......utaona anachenga chenga tu hatoi jibu la maana. kama kazi ni kazi bora kipato basi msifiche muwe wakweli......kwani kazi ni dhambi jamani?? by the way, it is your life who cares? hata ukiogesha vibibi feel proud of it........