Very sad Dada Mkuu (kaka wa kichakachuzi)!!
Kuna teacher mmoja wa Kirusi aliwatukana wanafunzi wake (ikam-cost 24 deportation)!!
"If you don't change your attitude towards self help and development, you will soon join your brothers in the jungles"!!
Babu DC!!
Hivi kila mTanzania akirudi nyumbani hali itakuwaje? Wataweza kupata kazi za kufanya ? Kila siku kwenye section ya kazi watu wanalalamika kazi hawapati lakini bado walio nje wanaambiwa warudi nyumbani.
Aliyeanzisha maada hii ni kielelezo cha jamii yetu ambayo badala ya kujadili mambo ya maana wamebaki kuwajadili watu. Kazi ni kazi hata iwe ya kusafisha wazee ili mradi mtu anaendesha maisha yake. Kwani mama na baba zenu wakiumwa na kulazwa mahospitalini ni nani wanawahudumia? Si watanzania kama mimi na wewe? So what is so different kama mTanzania akimuhudumia mzungu na kupata hela ya kutimiza mahitaji yake na kuwasaidia ndugu zake?
Tufike sehemu tujifunze kuheshimu kazi za watu as long as hawavunji sheria then maybe tutaweza songa mbele.
Hapa greti thinka chauro inaonekana ameongea kwa hasira kweli.sasa wewe unataka kujua ikusaidie nini acha kuumiza kichwa kwa mambo yasiyokuhusu
ingekuwa wanasaidia kuKidentify opportunities zilizopo ili risk takers wajaribu ningeona ni jambo la maana sana
sasa tunaishia kuambizana nna bajaj, nna vijiko, wakati hivyo havimsaidii mwenzio anayetafuta greener pastures
NB: nimerekebisha ulivyoniita hapo chini
kuanzia sasa niite hivyo
but you alone
Hapa greti thinka chauro inaonekana ameongea kwa hasira kweli.
Hizi characteristics za kutaka kujua kila mtu anafanya nini (especially kwa husda kama hivi, naelewa kuna watu wanataka kuelimika na hata wao safari zao zifanikiwe) ni characteristic ya watu wa nchi za kikomunisti huko. Ambako ku snoop ni kama kawaida, kila mtu anamchunguza mwenzake.
Do you, ishi maisha yako, kama unataka kusaidiwa kusafiri uondoke bongo sema, wanaojua michongo watakupa. Kama wewe mtu wa kusema huondoki bongo, tutabanana humu humu, nayo poa tu, watu wanaitoa hata bongo.
Haya mambo ni dynamic na yako highly customizable according to personal goals, history, abilities and interests.
Nimeona kuna dada hapo juu kaelezea fresh tu anavyoipenda kazi yake ya kutunza wazee. Inampa meaning katika maisha pamoja na kumkidhi haja zake. Kuna mamilionea kibao wanauza silaha, wana mihela kaa Adnan Kashoggi, lakini wakifikiria biashara zao zinavyoua watu kila siku wanapata nightmare. Kwa hiyo in that regard huyu dada kazi yake ni nzuri zaidi.
Guiding principle hapa ni kwamba, as long mtu ni mtu mzima, kaamua mwenyewe kuishi hivi au vile, mwache ajinafasi.
Habari za kutuuliza tunafanya kazi gani kwa husda ya kijicho hazifai, wengine kati ya masharti ya kazi zetu moja ni kutosema tunafanya kazi gani kwa sababu za usalama. Kwa hiyo ukituuliza uliza tunakuona mkalamba usiyejua hata uungwana.
Si umeona mstaafu? hii mijadala mingine kama inafanyika laivu watu wanaonana nazani tungehitaji msaada wa JWTZ kuweka usalamaHahahahahahah,
Ni mchezo wa kufanyiana timing...mwenzio kashika mkuki, na wewe unawahi upinde na mshale...
But, wote bado mnatumie zana za huko nyuma.....even 1947 yetu inakuwa kama vile ndiyo dot com!!
Fynest achana na swala la "roho ya kwanini".
Binafsi nimewachoka wabongo na hata nikiwa na dili la ukweli sisumbuki maana nawajua, mtu anaomba kwa mbwembwe umtafutie scholarship alafu ukimpatia tena zile za uhakika hata maombi hatumi.Watu wasanii mpaka kwenye mambo yanayowafaidisha wenyewe.
Bila kusahau wale unaowasaidia alafu wewe ndie unaelipa malipo. . . . kumsaidia mbongo ni sawa na kukubali kesi.Sitaki kabisaaaaa. . . .. .
Dah,
Huyu inawezekana anafanya kazi za ki- FBI, sawasawa,sio kila mtu unauliza uliza tu kazi zake.
Kaa mie nafanya kazi Funeral Home, kazi yangu kutengeneza maiti zionekane zina sura nzuri.
Nikikwambia karibu ofisini nitakupa discount utasemaje?
Si umeona mstaafu? hii mijadala mingine kama inafanyika laivu watu wanaonana nazani tungehitaji msaada wa JWTZ kuweka usalama
@kiranga
kwanza, nimekuchukulia wewe ni HE, kama ni vinginevyo sorry
kuna kitu kimenishangaza kwenye sentensi zako 'HUSDA' hivi unadhani mtu atakuwa na husda na wewe hapa wakati hata mkikutana barabarani hakufahamu?
Husda kwa ID na avatar tu?
Haya je ndugu zako au marafiki zako nao huwezi wa-impress au wapa michongo sababu nao wana husda kwako?
Sijaelewa hata kidogo hiyo excuse, hainiingii kabisa.
Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
nimekuwa curious na neno 'husda' lilivyotumika.....
kama kuna mtu anaweza kulidadavua itakuwa bora saana....
kwa kawaida nimezoea 'watu wa aina fulani' kulitumia hilo neno....
nimekuwa curious na neno 'husda' lilivyotumika.....
kama kuna mtu anaweza kulidadavua itakuwa bora saana....
kwa kawaida nimezoea 'watu wa aina fulani' kulitumia hilo neno....
Mimi sioni sababu kwa nini hili saula ni gumu kujadilika...
Tunaongea na kujadili mambo mengi ila hili naona kuna watu wanataka tuliogope kama muungano wa Tanganyika na Zanzibar......
Kwa nini??
Babu DC!!
If you are proud and positive towards your job, you will have no trouble give him an invitation!!
Shida kubwa ni kwamba kuna watu hawako tayari kutaja kazi zao (hata kwa ndugu wa damu) even before the gun barrel!!
Hapo ndipo watu wanapokuwa na wasi wasi......
Husda ninavyoelewa mie lina intricacy ya kipekee kwamba linaweza kutumika kumaanisha vitu viwili tofauti ambavyo ni opposite.
Unaweza kutumia husda kwa maana ya kwamba kupenda, kama vile "jamaa anahusudu sana kofia hizi" au "yule dada namhusudu".
Hapo hapo husda ina denote wivu, kijicho. Hasa pale wivu na kijicho kinapotokea kwa sababu mwenzako kapata kitu ulichokitaka. Kwa mfano, mtu hajapata safari, mambo yake bongo hayamuendei fresh, anawaonea kijicho rafiki zake walio mtoni, hiyo nayo ni husda.
KunaArabic logic fulani imetumika hapo kuielewa mpaka ufikiri kiarabu.
asante kwa ufafanuzi
labda unaweza kutaja 'husda' kwa neno moja lipi la kiingereza?
is it envy?????