Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

Uwekezaji kwenye soka unalipa, ni biashara gani unaweza kuanza na mtaji wa elfu kumi halafu ndani ya siku ukafunga mahesabu na milioni 2

IMG_20230806_113645.jpg
 
Ni kweli kabisa mkuu imekuwa too much. Unaweza kuwaona kwa mbali watu wazima wapo serious wanaobgea, fika karibu yao sasa, utasikia " mukoko tonombe"
 
Unachopanda ndio utakachovuma.

Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.

Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??

Kule kwa wenzetu.

Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Hayatokei kwa bahati mbaya,
Utawala wa, kisiasa, unafanya makusudi ili wananchi wengi wabaki gizani, wayaone matatizo Yao kama kudra, za Mungu,
Kwanza serikali itakunyima elimu na huduma za afya Bora, pili itahakiksha vijana wengi wana kipato duni,ili watawalike kirahisi, wengi watataka kuwa machawa, pili watakuwa wanaanzisha haya matamasha ya mziki,burudani, mpira,ili mafukara waende wajiburudishe wasahau shida zao kwa muda, wakija Kuala, nchi yote imeuzwa,
Wa Toto wako hata ndoto za kuwa rubani,au kufanya kazi nchi za, nje Hana, Wa Toto wa wanasiasa, ni ma rubani tena kwenye mashirika makubwa, mtoto ana miaka 5,tayari ana passport, kijana wa kibongo, ana, 27,hata passport hajuhi apate vipi!kama, anajua, atawekewa vikwazo kibao, asiipate!
Ila ana simu ya bei mbaya, ya 2M! Ila kipato chake 400K, anashinda anasikiliza, zuena, honey nk
 
Ni wazi wewe ni shabiki wa siasa tena za upinzani, Ila nikuhakikishie sasa hivi wapinzani hawaaminiki tena na watanzania na sio upinzani tu, kifupi watanzania walio wengi hawashabikii vyama vya siasa tena wanaangalia uzalendo wa mtu na wako tayari kumfuata huyo mtu hata akiwa chama chochote.

JPM alikuja kuwafumbua watanzania akili na hapo ndipo tulipogundua wazalendo wa kweli na wale waigizaji waliojificha kwenye vyama vya siasa. Hivyo kutokana na watanzania kukata tamaa na wanasiasa wasiomika na wanaogeuka geuka kulingana na upepo wameona ni bora watafute furaha kwenye mpira maana huku kwenye siasa mara kadhaa viongozi wanewatumia kwa maslahi yao binafsi.
 
Ushabiki wa mpira umekuwa too much,hadi inashangaza!
Mwamko huu ungekuwa kwenye masuala muhimu ya nchi aisee Tanzania ingekuwa mbali sn kimaendeleo
Nyie imarisheni Mwamko kwny masuala ya muhimu ya Nchi na wengine kwny mpira na hii ndio Specialization na division of labor

Mkifa kwa msongo wa mawazo na mfadhaiko wa kuuzwa bandari na migodi basi Mashabiki wa Mpira wataleaMayatima na Wajane wa waliokuwa busy na masuala muhimu ya Nchi

Wengi wa waliopigania Uhuru wa South Africa walikufa kabla ya Uhuru na Watoto wao wamelelewa na wale waliobaki wakishabikia Pombe na Umalaya

Machifu kina Mkwawa na Abushiri walikufa wakipinga Ukoloni lakini Machifu wengine kina Mzee Nyerere walikubali kuwa Machawa wakapokea Ukoloni na akawapa Mtoto wake wamfundishe shule na akaja kuwa Rais, Mzee angekuwa serious na Wakoloni akakataa mwanae asisomeshwe na Wakoloni ingekuaje ?
 
Usijifanye uko serious sana na maisha,kuna wakati wa kazi na wakati wa kuenjoy acha kuvunga wewe muda wote unafanya kazi without time to relax,cha muhimu ni watu kuepuka vitendo vya hovyo basi ila kama kushabikia mpira tu sio shida bro punguza makasiriko.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anataka tuwe busy na Wanasiass ambao wakishapata ruzuku wanakuwa busy na mambo yao binafsi na maisha yao na Malaya zao
 
Unachopanda ndio utakachovuma.

Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.

Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??

Kule kwa wenzetu.

Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Sasa kwa nini usiitumie hii fursa ili utajirike wewe na watoto wako? Waache watu waishi maisha yao, na wewe ishi maisha yako.
 
Mpira Ni hobby ya watu wengi Duniani nikiwemo Mimi.Mtoa mada acha kuendekeza wivu kwenye hobby za watu.

Tafuta kitu Cha kufanya.
 
Hiyo zamani kabla wanawake hawajaanza kushabikia mpira mlifika wapi kama nchi??

Tuache kutafuta visingizio wajameni, viongozi wenu wa hovyo na chame lenu ndio sababu ya nchi kufika hapa.

Mfano hii simba day ni siku moja tu, ikipita wengi hutaona wakiushabikia sana hasa wanawake.
Wanawake wengi ni mashabiki kwa matukio tu, simba day, siku ya mwananchi, simba vs yanga basi.

Acheni watu wafurahi as long as hawavunji sheria.
 
Unachopanda ndio utakachovuma.

Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.

Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??

Kule kwa wenzetu.

Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Hakuna ushabiki mkubwa sana wa mpira hapa Tanzania kuliko Ulaya. Hapa watu wanahitaji kuhamasishwa sana kujaza uwanja wa mashabiki elfu 60
Mikoa mingine ndio hakuna kabisa.
 
Asilimia kubwa ya wabongo ni maskini.

Kwahiyo wengi wetu tumechagua mpira kama njia ya kutusahaulisha shida zetu.
Utalinganisha ushabiki wa Watanzania na Ulaya?
Huko kila mechi, kila mchezo hadi rugby🏉 watu wanajaa. Mpira wa wanawake, mashindano ya magari, mbio za farasi, tennis, basketball, nk.
Kwa ujumla kwa Tanzania ushabiki wa michezo bado sana. Na huku mikoani timu timu hazina mashabiki kabisa. Icheze Ihefu vs Mtibwa, Dodoma jiji vs Coastal union mashabiki hawafiki hata 500
 
Unachopanda ndio utakachovuma.

Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.

Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??

Kule kwa wenzetu.

Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Na CCM Wameshajua nao wanajichnganya humohumo ili mzidi kuwatukuza [emoji2957][emoji1787]
 
Unachopanda ndio utakachovuma.

Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.

Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??

Kule kwa wenzetu.

Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Mshairi wa enzi wa Waroma, Juvenal, katika kitabu chake cha Kejeli 10, aliandika kwamba, kuwatawala watu wa kawaida, mtawala anatakiwa kuwahakikishia mambo mawili, mkate (chakula cha chini kabisa kwa Warumi, kama Ugali kwetu) na michezo.

Bread and circuses.

Ukiwapa watu wa kawaida vitu hivi viwili, wanasahau kufuatikia mambo ya msingi ya nchi.

Mpaka leo watawala wetu, kwa kujua au kutokujua ushauri huu wa mshairi nguli Juvenal, wanaufuata.

Ndiyo maana utasikia rais Samia anafungua Simba Day, mara Waziri kafanya nini Yanga.

Wanawatuliza akili wakijua kuwa muda wowote mtakao jadili mpira, mtakuwa hamjadili DPW, hamjadili katiba, hamjadiki wizi serikalini, hamjadili ripoti ya CAG, etc.

Juvenal aliyasema haya katika "Satire X".
 
Back
Top Bottom