Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

🤣🤣wacha tulime mpira,manake kiongozi wa nchi mwenyewe hana dira,naye anadandia vibe la mpira,ili akubalike🤣🤣
 
Unachopanda ndio utakachovuma.

Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.

Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??






Kule kwa wenzetu.



Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Mpira ni ajira, ila kwa watu wachache kama wewe hamuwezi kujua hilo. Mnataka watu wote wakalie makaratasi hapana. Binafsi mimi Nina watoto likizo no tuition. Kila mmoja amechagua fani anakwenda huko. Michezo ina pesa Bwana.
 
Anzisha mapinduzi au vuguvugu la mapinduzi uone kama hujabinywa mipira hiyo..acha watu na burudani zao...wewe sadist jifungie ndani
 
Mimi kinachonishangaza zaidi ni kuwa ukiwa mfuatiliaji wa soka ukawaambia watu kuwa wewe si shabiki wa yanga wala simba hawakuamini kabisa! Yaani wanaamini kila shabiki lazima ahusike kwenye yanga na simba, hawataki kabisa kusikia unaishia kwenye habari za akina chelsea, arsenal, man u, man city etc. Yanga na simba zimekuwa kama dini nchi hii. Ovyo kabisa.
 
Kwa kweli ina shangaza.
Mpira ulikua mchezo wa kiume na ulikua na mipaka yake lakini baada ya wanawake kuingia sasa imekua tatizo wengine hata kuucheza hawajawahi mbali na kuzijua tu Sheria 17 za mpira.

Umekua mchezo wenye machafu mengi kama kamari, ngono, hisia za ajabu ambazo wameleta wanawake.
Kuna dada juzi ofisi moja ya usafiri wa anga nilienda nikamkuta anabishana Simba na yanga huku akitegemea na mimi nitampa sapoti katika ile mada yao, kwangu ilikua red flag tayari.

Wengi wamekaribishwa kwenye huu mchezo na wanaume zao ambao hata wao wachache sana wanaujua huu mchezo vizuri.
Nadhani wengi pia wanatafuta kichaka cha ku- relief pain zao.

Kwangu mwanamke anaejua habari za mipira na kuzifatilia ni red flag na huwa siogopi kuachana nae kabisa.
Wewe kama mimi aisee.

Sipendi kabisa kuwa na mwanamke anayependa na kufuatilia mpira, huwa nawaona wa 'hovyo' sana yaani! Unakuta ukumbi mzima mamen 200+ halafu lidemu moja au viwili! Pumbaf!
 
KWA AJILI YA KUILINDA AMANI YA HII NCHI...WACHA WAENDELEE WATANZANIA KUZUNGUMZIA MPIRA NA KUFUATILIA MPIRA... OTHERWISE WAKIZUNGUMZIA YALE MNAYOTAKA WAZUNGUMZIE...BASI HAKUTAKUWA NA AMANI TENA.
 
KWA AJILI YA KUILINDA AMANI YA HII NCHI...WACHA WAENDELEE WATANZANIA KUZUNGUMZIA MPIRA NA KUFUATILIA MPIRA... OTHERWISE WAKIZUNGUMZIA YALE MNAYOTAKA WAZUNGUMZIE...BASI HAKUTAKUWA NA AMANI TENA.
Umeongea point lkn unadhan watapona?? Aunndio watakuwa adui namba moja??
 
Back
Top Bottom