Ironbutterfly
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 3,042
- 8,227
🤣🤣wacha tulime mpira,manake kiongozi wa nchi mwenyewe hana dira,naye anadandia vibe la mpira,ili akubalike🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpira ni ajira, ila kwa watu wachache kama wewe hamuwezi kujua hilo. Mnataka watu wote wakalie makaratasi hapana. Binafsi mimi Nina watoto likizo no tuition. Kila mmoja amechagua fani anakwenda huko. Michezo ina pesa Bwana.Unachopanda ndio utakachovuma.
Akili zimekuwa finyu sana. Miaka ya hivi karbun wanaume, wanawake watoto na kila mmoja ni mpira tu. Je huu utakuwa urithi wa watoto wetu. Wabongo akili yoote ipo kwenye Mpira, mtavuna mpira. Huu ndio ukweli na unawauma. Watu mnawekeza kwenye mipira, tena bora kamaunatengeneza pesa,ushabiki maandazi.
Tujitarhimini, haiwezekani hats ambao hatuna muda na haya mambo inatukera. Miaka hiyooo hutapata mwanamke akishabikia,walikuwa busy na malez ya Wana. Leo hii wanaelekea taifa kwa mkapa. Na najua watatoka Kapa, naombea uzima kule ila kunahatari ya wengine kupoteza maisha. Yaani Kila mtu ni Simba na yanga. Lkn mbona hata siku zote mnapiga kelele sima na yanga??
FT: Simba Day | Simba SC 2-0 Power Dynamos | Benjamin Mkapa | Agosti 6, 2023
Ni Siku Kubwa, Siku ya wenye Nchi, wengi Wanaifahamu kama "Simba Day". Tutakuwa "LIVE AND DIRECT" Hapa Kijiwe cha Soka "JAMII SPORTS" Kukuletea yote vanaondelea kutokea pale Benjamini Mkapa katika hii siku Kubwa, kwa wana simba. Simba Sc Imetangaza Kufungua Mageti ya Uwanja. Kuanzia Saa 2...www.jamiiforums.com
Kule kwa wenzetu.
Mapinduzi ya Niger: Bunge la Seneti laikataa hatua ya kijeshi, laionya ECOWAS na rais Tinubu
Bunge la Seneti limeomba Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, Rais Bola Tinubu na viongozi wengine wa eneo hilo kuchukua tahadhari wanaposhughulikia mkwamo wa kisiasa nchini Niger baada ya kuondolewa kwa utawala uliochaguliwa kidemokrasia wa Mohamed Bazoum...www.jamiiforums.com
Nchi Ina matatizo lkn hatuna muda nayo.
Kwa mara ya kwanza toka 1979 Tanzania inapata uhaba wa pesa za kigeni bila ya kuwa vitani
Mwaka 1979 baada ya Vita ya Kagera Tanzania ilipata uhaba mkubwa sana wa pesa za kigeni, uchumi ukayumba sana kutokana uhaba wa pesa za kigeni kwa ajili kununua vipuri viwandani, mafuta na bidhaa mbalimbali. Sasa wakati ule tulisema nchi imefilisika kwa ajili ya vita. Tanzania ilikopa sana na...www.jamiiforums.com
OvaWabongo sahv ni mipira na miziki tu
Ova
Wewe kama mimi aisee.Kwa kweli ina shangaza.
Mpira ulikua mchezo wa kiume na ulikua na mipaka yake lakini baada ya wanawake kuingia sasa imekua tatizo wengine hata kuucheza hawajawahi mbali na kuzijua tu Sheria 17 za mpira.
Umekua mchezo wenye machafu mengi kama kamari, ngono, hisia za ajabu ambazo wameleta wanawake.
Kuna dada juzi ofisi moja ya usafiri wa anga nilienda nikamkuta anabishana Simba na yanga huku akitegemea na mimi nitampa sapoti katika ile mada yao, kwangu ilikua red flag tayari.
Wengi wamekaribishwa kwenye huu mchezo na wanaume zao ambao hata wao wachache sana wanaujua huu mchezo vizuri.
Nadhani wengi pia wanatafuta kichaka cha ku- relief pain zao.
Kwangu mwanamke anaejua habari za mipira na kuzifatilia ni red flag na huwa siogopi kuachana nae kabisa.
Umeongea point lkn unadhan watapona?? Aunndio watakuwa adui namba moja??KWA AJILI YA KUILINDA AMANI YA HII NCHI...WACHA WAENDELEE WATANZANIA KUZUNGUMZIA MPIRA NA KUFUATILIA MPIRA... OTHERWISE WAKIZUNGUMZIA YALE MNAYOTAKA WAZUNGUMZIE...BASI HAKUTAKUWA NA AMANI TENA.
Wanavaa sufuria kichwani😂Kenya wenzetu hawana huu ujinga
Utaacha lini kujiona duni?Kila kitu akili Yao Iko juu sanaa
Hao wanaokusanyika na kuanza kurushia watu Mawe na kuleta vurugu ili bei z bidhaa zishuke ?Kenya wenzetu hawana huu ujinga